mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baadhi ya matukio 40 ya mtoto wa Diamond na Zuchu

    Fahamu matukio mbalimbali yaliyojiri
  2. D

    40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana...
  3. Mtoto wa Zuchu na Diamond Platinumz atangazwa kuwa balozi wa GSM

    Mtoto wa wasanii nguli wa muziki nchini, Diamond Platnumz na Zuchu, ametangazwa rasmi kuwa balozi mpya wa kampuni ya GSM. Chapa ya GSM Beverages, imetangaza kumpa ubalozi mtoto wa Zuchu na Diamond Platnumz, Sandrah katika sherehe ya mtoto huyo.
  4. M

    Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  5. Africa tuna viongozi wa ajabu sana. Malawi wamempeleka mtoto wa waziri kushiriki shindano la Miss World, badala ya mshindi halisi wa taji hilo

    Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi. Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers. It wasn’t. Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
  6. MTOTO WA RAIS SAMIA AKIWA KWENYE BIASHARA YAKE YA MATAIRI NA RAIS WA UGANDA

  7. Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  8. Kama msichana primary anajua matusi ya nguoni unategemea aolewe na atulie kweli?

    Toka nitembelee na kuishi mikoa ya mwambao wa bahari hasa pwani, lindi na Dar.. Nimekutana na tabia mbaya sana kwa kweli, na hili hata sio la kuwalaumu watoto. Ndugu zangu sijui kwanini hata sijawahi kuona watu wanalizungumzia hili swala, sijui ndo kwa sababu sisi watz we don't care ama nini...
  9. M

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  10. Huenda Abdul mtoto wa Samia akachukua nafasi ya Nchimbi

    Nawaza tu.
  11. Mtoto wa Museveni awa Askofu. Mamlaka ya Mapato Uganda 🇺🇬 yatumia ukurasa mzima kumpongeza.

  12. Lindi: Alli Hamisi Mbelenje (30) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama va Hakimu Mkazi Lindi imemhukumu Alli Hamsi Mbelenje (30), mkazi wa Kijiji cha Makonde, Kata ya Mtama, Wilaya ya Lindi, kifungo cha maisha Gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumlawiti mtoto wa kiume, Mwanafunzi wa darasa la nne mwenye umri wa miaka nane Hukumu hiyo...
  13. Civilañ-Coin: Sitarajii kuoa mtoto wa Obama(USA) maana siwajui hawanijui na siwataki tu

    Kauli HIZO amezitoa mwenyewe Civilian-Coin akikanusha kuwa hajawahi kukutana Wala kuonana na watoto wa Rais mstaafu wa marekani Barack Obama na Hana mpango huo labda nafsi ikifunguka.
  14. Nilimnyima siti mtoto wa Rais Rutto( Charlene)

    Week hii miongoni mwa story kubwa mitandaoni ni kuchumbiwa kwa mtoto wa Rais Samuel Ruto na ndugu yetu wa kitanzania Isaya Yunge. Kupitia story hiyo nikakumbuka kisa changu cha sekunde kadhaa na binti huyo. Mwaka 2023 October nilikwenda Mombasa kushiriki mkutano mkubwa wa program ya...
  15. Ni laana kulea mtoto wa mwanaume mwenzio anaepumua kwa bondi ya mbunye kutoka kwa mamaake

    Bora ukaathiri yatima Hela zako bora unywe pombe Ukishindwa kabsa kampe mwamposa Ukzidiwa sana nenda riverside Kama vipi bora humchangie kanji ujenzi wake kule Mumbai Lakn kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ambae bado anavuta oxygen hapa dunian ni ulofa wa kiwango cha lami
  16. Watoto wa 2000 vs Mishangazi

    Nasimama na mishangazi asee inajua inajua tena, Niko tayari kuoa mshangazi ndio vitu vyangu asee nipe nikupe
  17. M

    Tetesi: Kijana Kitanzania kumvisha pete Mtoto wa Rais wa Kenya,Charlene Ruto

    Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunk(g)e anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila( Koito ak chaik) itakayofanyika leo Jumamosi huko Narok, Kenya. Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa...
  18. L

    Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  19. Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    "Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza" Sheikh Kulunge
  20. Kitaalamu ipo vipi? Mtoto wa mwaka 1 kuwa na meno 16

    Ana mwaka 1 na mwezi 1 ana meno 16!! Je hii ni kawaida ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…