mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

    Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani. Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa. Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali. Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Eduardo Camavinga alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 11

    Kulikuwa na uvumi kuwa kiungo wa Real Madrid, Eduardo Bamavinga ana umri wa miaka 19 na mwanaye ana miaka 8. Hali inayooonesha kuwa alimpata mtoto huyo akiwa na miaka 11. Picha1: Camavinga akiwa na mtoto aliyehisiwa ni mwanaye Picha2: Camavinga akiwa na wazazi wake na ndugu zake
  4. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Mtoto wa Rais mstaafu afungwa miaka 12 kwa ufisadi wa Tsh. Trilioni 5.1

    Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1. Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha watu wengine 11 waliokutwa na hatia ya ufujaji na utakatishaji fedha za Mradi huo uliotajwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Osama Bin Laden apasua Ukweli. Asema hawaamini USA na pia kuna mambo yalimkwaza kwa baba yake

    Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha? Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya. ====== Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Museveni Kainerugaba atema cheche kuhusu Rwanda na DR Congo. Afrika Mashariki wanyamaza

    Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa. Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

    Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea! Hivi chekechea mtoto anahitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Angola: Serikali yaidhinisha kukamatwa mtoto wa Rais wa zamani, Dos Santos

    Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo. Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

    Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme. '....unarushaje live mikutano ya mama ili hali...
  10. JamiiForums Tanzania Iringa: Afungwa jela miaka mitatu kwa kumchoma mikono mtoto wa kambo

    Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Edward Uphoro ametoa adhabu kwa mshtakiwa Bruce Karistus aliyekiri kutenda kosa hilo dhidi ya mtoto wake wa kufikia. Kwa mujibu wa Mashtaka imeelezwa kuwa Oktoba 21, 2022 Karistus alimjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mtoto mwenye miaka...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 8 aomba kazi apate pesa ya kutimiza malengo yake

    8-year-old boy applies for restaurant job to buy Xbox Nash Johnson applied to be a dishwasher at Drake's in Kentucky, (Credit: Drake's) LEXINGTON, Ky. - At only 8 years old, Nash Johnson knows the value of hard work and its rewards. This is why he had no problem applying for a job as a...
  12. JamiiForums Tanzania Una mtoto wa nje? Wahi hapa!

    Habari wana JF, tumaini langu mnaendelea vyema. Chapu tushuke kwenye mada. Ni jambo la furaha kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mtu ulievutiwa nae katika mazingira yoyote na kwa lengo lolote liwe la ndoa au lah! danga and run /eat and run)). Ni jambo la huzuni sana pale kwa pamoja...
  13. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Mtoto wa Masikini anapokosa Mkopo wa Elimu ya Juu

    Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa. Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni? Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

    Habari. Mtoto wa mwanamziki mashuhuri Davido Amefariki akiwa anaogelea Kwenye Swimming pool. RIP little Young. Music icon, David Adeleke aka Davido has sadly lost his first son, Ifeanyi David, he had with Chioma Rowland aka Chef Chi. Ifeanyi who only recently celebrated his 3rd birthday...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Muigizaji Jackie Chan avaa fulana yenye picha ya Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais Museveni

    Muigizaji Jackie Chan ameonekana akiwa amevaa fulana yenye picha ya Muhoozi kainerugaba, Mtoto wa Rais Museveni.
  16. JamiiForums Tanzania Nkasi: Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka saba

    Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka saba. Akitoa hukumu hiyo leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa mahakama...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Museveni ana ajenda gani ya siri dhidi ya nchi za EAC?

    Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika Mashariki kuunga mkono hoja yake ya kutaka Nchi za Afrika Mashariki ziungane na kuwa Taifa moja...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeyakanyaga kwa mtoto wa kishua, napasuka kibunda kujifanya ninazo

    Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest. Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa. Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tamaa zinaenda kunipa mtoto wa tatu

    Naenda kupata mtoto wa tatu na mwanamke ambaye sikuwahi fikiri nitazaa naye! Ipo hivi mwaka jana katika safari zangu za biashara nilijikuta nalala hotel moja Mbeya, sababu ya kulala hapo ni ubora wa huduma zao na unafuu wa gharama zao nikilinganisha na wengine kwa hapo Mbeya. Kwahiyo baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Usingizi akiwa darasani ulivyomuokoa mtoto wa miaka mitatu katika mauaji

    Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aitwae Emmy ,alikua amesinzia huku amemuegemea rafiki yake darasani katika shule iliyoshambuliwa kwa risasi huko Kaskazini mwa Thailand , wakati muuaji alipovunja mlango na kuingia ndani alhamis wiki hii. Darasa hilo lililokua na wanafunzi takribani 11 wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…