Mahakama va Hakimu Mkazi Lindi imemhukumu Alli Hamsi Mbelenje (30), mkazi wa Kijiji cha Makonde, Kata ya Mtama, Wilaya ya Lindi, kifungo cha maisha Gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumlawiti mtoto wa kiume, Mwanafunzi wa darasa la nne mwenye umri wa miaka nane
Hukumu hiyo...