mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kutenguliwa kwa laana iliyotolewa kwa mtoto wa kike

    Leo nimeshuhudia namna laana inavyo tenguliwa kwa mtoto wa Kike, mfano mtoto wa kike kuna maneno yaliyo nenwa kwa ajili yake akiwa msichana mdogo au mkubwa lakini anapoolewa ndoa yake inakuwa na misukosuko matatizo na mengi ambayo yanamfanya akate tamaa au mwenza atamani kumuua au kumfukuza...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya sanza kwa mtoto

    Nahitaji dawa ya mtoto kutoka mfereji kichwani (nzasa).
  3. Y

    JamiiForums Tanzania utamjibuje mtoto akikuuliza hivi???

    natumai hamjambo. wakuu ikiwa mwanao atakuuliza haya maswali utamjibuje?? #mama ulimpendea nini baba mbona anasura mbaya na wala si type yako? #baba ulimpendea nini mama mbona hana chura wala si type yako?? tiririkeni kama wazazi na wala si kama mateja.
  4. JamiiForums Tanzania Daudi Bashite akipokea taarifa za ugonjwa wa mtoto wa Mbowe

  5. JamiiForums Tanzania Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

    Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha. Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
  6. JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda: Mbowe ameahirisha mikutano ya CHADEMA baada ya mwanaye kuambukizwa Corona

    Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona. Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa. Juzi Rais Katoa agizo kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Mtoto wa miezi 10 miongoni mwa visa vipya vya virusi vya corona Rwanda

    Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga wa miezi 10. Maambukizi hayo yanaifanya Rwanda kuwa na idadi ya visa 17 vya maambukizi ya virusi vya corona. Walipatikana na maambukizi hayo wote walikua wametoka katika...
  8. JamiiForums Tanzania Wanyakyusa bana kila mtoto anayezaliwa now anaitwa Mwacorona

    Siwaweziii mashemejii zangu, mna ubunifuu hatareee.
  9. JamiiForums Tanzania Mpe mtoto au mbwa jina baya limharibu/ Give a child or a dog a bad name and spoil it

    Hakika Chadema inateseka kutokana na kaulimbiu na tambulisho inazotumia! Makamandaa kunja kunja kunja ngumi! Bado sijaona/sijasikia! piiipoooz, pawa! Sasa ni NO HATE NO FEAR! Ni majina mabaya ambayo baba "mwamba" anayafyatua kadri atakavyo bila kuwaza vyema! Tatizo hili liliwahi kuikumba CUF...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu anakohoa sana

    Mtoto wangu ana miaka5 ana tatizo la kukohoa hasa usiku lakini cha ajabu mchana hakohoi.nimejaribu kumpa dawa kama mucolyne lakini imedunda nimejaribu kumpa zecuf nayo hazina msaada nikawaza labda ni kile wanaita kimeo nikaenda kumkata lakini bado imeshindikana bado anakohoa sana..sijui shida ni...
  11. JamiiForums Tanzania Herode wa Bongofleva anamtafuta mtoto ambae amezaliwa

    Herode anamtafuta mtoto ambae amezaliwa. Herode alifadhaika Sana moyoni, kusikia mfalme Yesu amezaliwa katika Bethlehem nchi ambayo Herode aliitawala. Mtoto mfalme alie tabiriwa kuchukua ufalme wa Bongo Fleva, amezaliwa usiku wa Jana tarehe 14 March 2020 @ Mlimani City
  12. JamiiForums Tanzania Usimpatie maji, mtoto mchanga chini ya umri wa miezi 6

    Mtoto mchanga chini ya miezi sita hapaswi kupewa chochote kile tofauti na maziwa ya mama, mtoto mchanga chini ya miezi sita hatakiwi kupewa maji, kwasababu maziwa ya mama yana maji yakutosha ndio maana mtoto anakojoa, na ukitaka kufahamu kwamba maziwa ya mama yana maji ya kutosha yakamue kisha...
  13. JamiiForums Tanzania Madaktari na manesi wamempa heshima mtoto wa miaka 11 kwa ujasiri wake

    Mtoto wa miaka 11 alitibiwa kansa ya ubongo. Alipofahamu kuwa hatapona aliamua kuchangia moyo na figo zake kwa watoto wanaozihitaji. Mauti yalipomfika jopo la madaktari na manesi waliomtibu walimpa heshima kubwa. An 11-year-old boy with brain cancer's wish to donate his organs moved his...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Baba na mtoto wanavyowazianaga

    Life bwana kuna muda unawaza daaah..!! "hivi kwa mfano BABA Angekuaga MO DEWJ sahvi maisha mtelezo tuu!! " Wakati huohuo baba nae unakuta anawaza hivi mfano "MWANANGU angekuaga SAMATTA "loooh..!! Ningekua nakula maisha tu... Yaani we acha Halafu kuna kipindi MTOTO Anawaza "dingi akifa tu nauza...
  15. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumuacha huyu msichana

    Ndugu zangu mim ni mwanafunzi wa chuo ambae nipo kwenye mahusiano na msichana ambae ni mdogo kiumri kwangu pia bado mwanafunzi yupo form6 fedha girls saivi na ni msichana ambae kwao kuna uwezo na mimi nipo kwenye standard level. I mean maisha ya kati but mwanzo nilimfata baada ya kuwa tuna...
  16. JamiiForums Tanzania Kitovu cha mtoto kuangukia sehemu mbaya limekaaje kisayansi

    Kumekuwa na imani kuwa kitovu cha mtoto kikiangukia mahala fulani mtoto huyo anakuwa hanithi na hata hivi karibuni Haji Manara amepost video ya Boban akimtuhumu Jerry Muro kuwa huenda wakati anazaliwa kitovu chake kiliangukia sehemu mbaya sasa kisayansi limekaaje
  17. JamiiForums Tanzania Askari aliyembaka mtoto wa askari mwenzake afukuzwa kazi

    Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Willium Mwakatage anayedaiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba, ambaye ni mtoto wa askari mwenzake amefukuzwa kazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni amesema taratibu za kijeshi zimekamilika ikiwa ni pamoja na kumfukuza kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tiba ya vipele kwa mtoto wangu

    Samahani naomba mnisaidie ushauri kuhusu huyu mwanangu ana 2 years amepatwa na vipele usoni, shingoni masikioni nk. Vingine vikikauka vinatoka vipya tena vingine. Nilimpeleka hospital huku wakampa Ethromycin na Pricostant Cream ila bado hali inaendelea na dawa zimeisha. Vipele vipo vinakuwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi inayokuwezesha kujua kama mtoto ni wako au sio wako

    Unaweza kujua mtoto sio wako kwa jaribio rahisi tu. Nalo ni kutumia blood test. Angalia chati hii: Kutoka kwenye blood group chart: 1. Kama ukipima na kukuta group la mtoto linaendana na magroup ya damu ya wazazi, sio guarantee kuwa mtoto ni wa kwako. Kwa sababu kuna uwezekano wa mwanaume...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Namhesabu anaepewa mtoto kuwa ni mwenye bahati kuliko wote duniani!

    1. watu wanahangaika kutafuta watoto kwa gharama kubwa mno.......... 2. watu wanafikia hatua ya kuiba watoto mahospitalini na mitaani na kukimbia nao ili wakawe na furaha.... 3. watu wanafikia hatua ya kuweka matambara ili waonekane wana mimba, ukifika muda anaibwa mtoto mahali na kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…