mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkakati wa kurahishisha maisha ya watoto: Nawezaje kufanya mtoto apate uraia wa Zanzibar?

    Sote tunajua Mzanzibari ni mtu mwenye nafasi kubwa sana nchi nzima ya kupata ahueni ya maisha. Tukianza kazi Wazanzibari walioelimika hata kidogo tu wakija kuomba kazi bara huwa wanapewa kipaumbele kikubwa kwasababu ya kuwa Wazanzibar. Ukija hata jeshini huku wazanzibar huwa wanapewa upendeleo...
  2. JamiiForums Tanzania My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

    2018 Siku moja nilikua bored home, nikajiunga BADOO nikakutana nae. Tukawa friends then Fuc* mates. Maisha yakasonga, nilichompenda yeye alikua hapendi hela na ni mrembo kweliii. Kwenye hela na matumizi yake yaani unajiongeza wewe, unapiga show siku kadhaa unalipia siku kadhaa na outing na...
  3. JamiiForums Tanzania Hai: Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA aachiwa huru kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi baada ya DNA kuonesha Mtoto aliyezaliwa sio wake

    Mahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Marire. Akisoma hukumu hiyo Leo, Hakimu Mkazi wa Wilaya...
  4. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mkulima awamiminia risasi mke na mtoto wake, sababu zaelezwa

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Alson Shangali (61) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kimashuku kata ya mnadani katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anatajwa kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi mke wake Magret Shangali (51) na mwanae Albert Shangali (28). Chanzo Bongo five
  5. JamiiForums Tanzania Kuzaa kila mtoto na baba yake ni kudhihirisha ukahaba

    Thamani ya ndoa itabaki palepale sababu ndoa ni mpango wa Mungu ndoa ni kielelezo cha utu na heshima ya mwanadamu ndoa ni kilele cha malengo na matarajio ya mwili wa mwanadamu.Ndoa ni jambo muhimu kwa maisha ya binadamu na kizazi chake. Moja ya dalili mbaya ya mmonyoko wa maadili na kukithiri...
  6. JamiiForums Tanzania Bima ya mtoto wa mtumishi wa umma itasaidia matibu ya Moyo Taasisi ya Jakaya Kikwete?

    Habari wana JF, na poleni kwa msiba pia. Mwanangu mwenye miezi 10 kaonekana ana shida ya moyo na madakitari wa BUGANDO wamesema suala lake lipo serious inabidi kupewa rufaa ya Taasisi ya Moyo ya JAKAYA. Hivi Bima ya mtoto itasaidia gharama zote za matibabu na Operation?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa kufanya Mapenzi katika kipindi cha ujauzito ina faida kwa Afya ya Mama, Baba na mtoto?

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu kufanya mapenzi au tendo la ndoa kama ni salama ama si salama katika kipindi cha ujauzito. Makala hii fupi imelenga kukufahamisha faida za kufanya mapenzi katika kipindi cha ujauzito Faida zake Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito kuna faida nyingi. Hizi...
  8. JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia, mtu aliepata mtoto pasipo kuwahi kuishi kabisa

    Unaweza kufikiria ilikuwaje mtu ambae hajawahi kuishi kupata mtoto? Familia moja huko marekani ilipata mtoto na baba alipoamua kufanya kipimo cha DNA majibu yalimshangaza Hakuwa baba wa mtoto Familia iliamua kufanya kipimo maalumu cha 23andMe na matokeo yaliwashangaza zaidi Baba halali wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 13 amebuni huu mji wake. Hivi ni vipaji vya ubunifu vinatakiwa kuendelezwa

  10. JamiiForums Tanzania Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

    Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linamchunguza dereva wa basi la wanafunzi, Yohana Mwambene, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka mitano. Dereva huyo anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya St. Anne Marie Academy iliyopo Mbezi kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

    Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi. Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida kwa mzazi kumchukia mtoto wake, je nini chanzo?

    Ni kipi kinachosababisha wazazi kuwachukia watoto? Kuna jirani yangu ana mtoto mdogo, Kama mwaka mmoja na miezi michache, mtoto hupigwa, huteswa, husimangwa yaani ni mateso. Akiona mama yake anakuja huanza kulia kwa Hofu. Mtoto anakuwa na amani anapokuwa kwa watu baki lakini si kwa mama yake
  13. JamiiForums Tanzania Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    Meghan, mke wa Prince Harry amefichua kuwa familia ya kifalme Uingereza iligoma kumkabidhi mwanaye haki za kuwa Mwanamfalme (Prince) kwa kile alichotaja kama hofu ya ngozi ya Kiafrika. “Nikiwa hata bado sijamzaa mwanangu, tayari walikuwa wameanza kusema kwamba itifaki (protocol) hazitaruhusu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto kucheka usingizini ina maana gani?

    Habarini! Nashuhudia hii tabia ya haka katoto kangu ka miezi mi5 ya kuchekacheka na kutabasamu kila anapokuwa amelala. Amekuwa na tabia tangu mapema sana, yaani tangu alipokuwa na mwezi mmoja. Ni mara chache ameonyesha hali ya kama kutaka kulia hivi. Wazazi wazoefu na wajuzi, hii ina maana gani?
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amepoteza fomu ya usajili kidato cha nne private je hatua ni zipi?

    Wakuu, Mtoto wa kaka yangu amepoteza karatasi yake ya NECTA private yaani ile ambayo unapewa baada ya usajili halafu unaambiwa upige copy upeleke kituo unachofanyia mtihani na ni muhimu sana. Je tumsaidieje?
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina mtoto analelewa na baba mwingine

    Habari wakuu, Leo ngoja niwashirikishe jambo hili lililonitokea miaka kadhaa nyuma. Mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha 6 nikiwa katika kipindi cha kusubiria kujiunga na chuo nilikutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano. Nakumbuka tulikutana kwa bahati tu kwa maana nakumbuka ilikua siku ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeona aibu kwa niaba ya master aliyepigwa na mtoto

    Wadau kuna ligi ya kick boxing inandelea Azam Sports, kwa sasa kila Alhamisi kuna mapambano. Alhamisi iliyopita kuna masta mmoja ambaye wanasema ni mkali wa Kung Fu, Shaolin na Gujuluu aliingia kupambana na kijana mdogo, master akagongwa knock out Ushauri kwa ma-masta wengine aisee watoto ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa umri gani anapaswa kuvaa barakoa?

    Watoto wenye umri wa miaka 5 kushuka chini hawatakiwi kuvaa barakoa Hii ni kwa sababu ya usalama na uwezo wa mtoto kutumia barakoa ipasavyo bila msaada wa mtu mzima. WHO na UNICEF wanashauri kwamba uamuzi wa kutumia barakoa kwa watoto wenye umri wa miaka 6-11 unapaswa kuzingatia mambo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye maambukizi ya Korona hawezi kumuambukiza Mtoto kwa kumnyonyesha

    Tafiti zinaonesha kuwa virusi vya Korona haviambukizwi kupitia njia ya kunyonyesha Hivyo mama aliyethibitika au kuhisiwa kuwa na Virusi vya Korona anaweza kuendelea kunyonyesha mtoto wake isipokuwa atazingatia yafuatayo:- Kuosha mikono mara kwa mara na sabuni na maji tiririka au kwa kutumia...
  20. JamiiForums Tanzania Sodoma na Gomola ni cha mtoto kwa dunia ya leo

    Historia na maandiko yanasema kwamba Sodoma na Gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao, kinyaa kibao, ushenzi kibao... Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa Ila nionavyo mimi..kwa dunia hii ya leo.. Wale wa Sodoma wakasome... Kuna muvi moja ya xxx naiangalia hapa daaaah!!! Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…