mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Afikishwa Mahakamani kwa kumbaka na kumuambukiza VVU mtoto

    Deogratias Wiliam (45) Mkazi wa Mombasaraha Kata ya Butundwe Wilaya ya Geita amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Geita akishtakiwa kwa makosa mawili ya kumbaka na kumuambukiza Virusi vya Ukimwi mtoto wa miaka 17. Mbele ya hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Nyakato Bigirwa Wakili wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanne washikiliwa kwa tuhuma za kumteka mtoto na kudai milioni 50 kwa baba yake ili wamwachie

    Jeshi la polisi mkoani Katavi linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumteka mtoto wa kike, mwenye umri wa miaka 9 mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mizengo Pinda iliyoko manispaa ya Mpanda kwa kumfungia chumbani na kudai pesa kwa baba yake kiasi cha Shilingi milioni 50 ili...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Huwa unaruhusu mtoto wako kupigwa picha na watu mbalimbali ikiwemo ndugu? Unajua madhara yake?

    Wakuu kwema? Inaweza kutokea ndugu yako akaomba kumpiga picha mtoto wako akisema mtoto amependeza au mtoto wako mzuri picha zitatoka vizuri, wakati mwingine inaweza kuwa hata kwa majirani au watu ambao huwajui kabisa. Dunia imebadilika, huwezi kujua unayemruhusu ampige picha mtoto wako...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa unampongezaje mtoto wako akifanya kitu cha kukufurahisha?

    Hello Africa, Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi akili zao ni kama za watoto wadogo. Unapowaeleza jambo elezea kama unamueleza mtoto mdogo.

    Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au...
  6. JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.
  7. JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika

    Siku ya Mtoto wa Afrika: Kupaza Sauti kwa Haki za Watoto Tarehe 16 Juni kila mwaka, bara la Afrika linajikusanya kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Siku hii ni maalum sana kwetu sote kwa sababu inatukumbusha umuhimu wa haki za watoto na jukumu letu la kulinda na kukuza ustawi wao. Mtoto ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Clement Mzinze apasua mtihani wa darasa la nne

    Mtoto wa mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzinze (19) (jina kapuni) amepongezwa na ukurasa rasmi wa shule yake kwa kufanya vizuri katika mtihani wa darasa la nne wa katikati ya mwaka kwa kupata A nne na B pekee. Itakumbukwa kuwa mtoto huyu sio wa Kwanza kufanya vizuri, kwani kipindi cha nyuma...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Ipo siku wazazi wangu watanyanyua vichwa vyao na kutizama mbingu kwa furaha watasema "ahsante sana Mungu kwa kutupatia mtoto huyu"

    UTANGULIZI Andiko hili ni maalum kwa vijana wote wapambanaji wenye ndoto ya kurejesha, amani, furaha ya familia iliyopotea, dhiaka, dharau na kulipa madeni wazazi wetu waliyokopa pindi wanatuhangaikia. Ungana nami kwa kusoma nilichokiandika ukivutiwa nacho naomba usapoti andiko hili kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba mzazi hamtaki mtoto wake wala kuzungumza na mzazi mwenzake

    Habari za Jumatatu, Naomba ushauri kuhusu rafiki yangu huyu. Huyu rafiki yangu alizaa na mpenzi wake miaka ya tisini mwishoni, lakini hawakufanikiwa kuwa pamoja, Baba alioa mwanamke mwingine, akabaki kuhudumia mtoto wake tu japo alikuwa anaishi na mama yake. Ila huyu mzazi mwenzie ambaye ni...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Unapataje ujasiri wa kumuacha mke mwenye mtoto mdogo unayempenda?

    Mke mmeshashindwana kwa kila namna; kiuchumi hamuendi, kisocial hamuendi, kinidhamu n.k hamuendi, yaani ni tabu tupu na umeshafanya maamuzi kichwani ya kumrudisha kwao mara baada ya mavuno maana si kwa kutoelewana huku. Yaani katika wiki maelewano yanaweza kuwa ya siku mbili tu, siku zingine...
  12. JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Haki Sawa 50/50 hakuna kulipa Faini ukimpa Mwanamke mimba au mtoto

    ULIMWENGU WA HAKI SAWA 50/50 HAKUNA KULIPA FAINI UKIMPA MWANAMKE MIMBA AU MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Umemzalisha mtoto wetu, lipa sijui FAINI, sijui lipa vitu gani. Sasa Sisi Watibeli tukitaka kuonyeshwa huyo Binti aliyezalishwa analetwa Mwanamke MTU mzima kabisa zaidi ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mtoto atumbukia shimoni, afa maji

    Mtoto Lameck Yohana (6) amekufa maji baada ya kuteleza kwenye dimbwi alipokuwa akichota maji na kufanya idadi ya watu waliokufa maji tangu Januari mpaka sasa kufika 12 mkoani Simiyu. Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Bunamhala mjini Bariadi ambapo mtoto huyo akiwa na wenzake walienda kuchota...
  14. JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto adaiwa ‘kupooza’ mkono baada ya adhabu ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Miririni Wilaya ya Meru

    Mwalimu anayefahamika kwa jina la Nkya mtumishi katika Shule ya Msingi Miririni iliyopo Wilayani Meru Mkoani Arusha anatuhumiwa kufanya ukatili kwa Mwanafunzi ambao umesababisha mkono wa kulia wa mtoto 'kupooza' hasa sehemu ya vidole. Mwanafunzi aliyejeruhiwa ametambuliwa kwa jina la Milcah...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?

    Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto afanyiwa ukatili Mkubwa uliosababisha Majeraha sehemu zake za Siri

    Mtoto mmoja (12) mkazi wa kijiji cha Migato Wilayani Itilima, anadaiwa kufanyiwa vitendo vya ukatili na mtu asiyejulikana hadi kumsababishia majeraha makubwa sehemu zake za siri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP Edith Swebe, amasema kuwa katika tukio hilo mpaka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa bingwa wa kucheza mchezo gani ulipokuwa mtoto?

    Wakuu, Watoto na michezo ni kama samaki na maji, wengi tushazama kwenye michezo mpaka tukaja kufatwa na fimbo huko tulipokuwa. Wakati mwingine mzazi mpaka anapata wasiwasi labda mtoto kapotea, kumbe mtu kazama kwenye kombolela huko? Katika michezo yote niliyoweza kucheza rede nilikuwa fundi...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke Jela miaka 29 kwa kumbaka mtoto mdogo wa kiume mwenye miaka 8

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Lumuli wilayani Iringa, Desderia Mbwelwa (57) (katikati) miaka 29 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingoni (grave sexual harassment) mtoto wa kiume mwenye miaka nane wakati kijana huyo akiwa anachunga ng’ombe ndipo mama...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Mama mzazi anapigania haki za afya kwa mtoto wake

    MAMA MZAZI ANAPIGANIA HAKI ZA AFYA KWA MTOTO WAKE Imeandikwa na.Mwl.RCT UTANGULIZI Watoto wanapaswa kupata huduma bora za afya na haki zao zinapaswa kulindwa. Katika simulizi hii, tutakutana na mama mzazi ambaye anapigania haki za afya kwa mtoto wake. Mama huyu atakabiliana na changamoto...
  20. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kivuli cha mtoto wa kike kinavyoathiri malezi na ndoto za mtoto wa kiume

    Na Norberth Saimoni Chanzo:NSPCC Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya mwanaume na mwanamke katika nyanja zote kijamii,kisiasa,kiuchumi na kitamaduni. Jitihada hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…