Inafahamika kuwa unapokuwa umemuasili mtoto Kisheria, anakuwa na haki zote kama watoto wako wa damu. Kuanzia majina, urithi na haki zinginezo za watoto wa kwenye familia.
Kama jina lako ni Mapema Akili, na mtoto uliyemuasili anaitwa Sahihi, majina yake kamili yatasoma Sahihi Mapema Akili...