mtandao

  1. Mtandao wa Halotel wanafanya wizi wa kutisha kwenye bundle za wateja kuanzia leo saa 6 mchana tarehe 05.01.2023

    Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha. Kwa MB 490 ukiangalia video...
  2. Msaada jinsi ya kutumia Mtandao wa Twitter

    Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua...
  3. NIDA yaanza usajili wa Vitambulisho kwa njia ya Mtandao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni. Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
  4. TRA rekebisheni mtandao wenu

    Mtandao wa TRA hasa kwenye efiling system unasumbua sana. Unaweza kutumia zaidi ya siku mbili bado hujaweza kufanya malipo. Halafu kuna suala la faini ; ukichelewa kufile return faini, ukichelewa kulipa fani bila kujali usumbufu wa mtandao wao. Mnapaswa kujua kuwa mfumo huo ndio njia ya...
  5. T

    Natafuta Walimu wa hisabati kupitia mtandao wa zoom

    Natafuta walimu wa hisabati kupitia mtandao wa zoom. Wanaoweza kufundisha kuanzia kidato cha kwanza na zaidi
  6. Twitter imeanza kufunga akaunti za waandishi wa habari wanaomkosoa Elon Musk

    Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na mmiliki wake mpya Elon Musk. kuwanyamazisha waandishi wa habari kwenye Twitter huku wakidai kuwa...
  7. L

    Watangazaji wanauza machungwa moja kwa moja kwenye mtandao mkoani Hunan China

    Mavuno mazuri ya machungwa yamepatikana mkoani Hunan, China, na watangazaji wanauza bidhaa hizo moja kwa moja kwenye mtandao ili kuwasaidia wakulima kuongeza mapato yao.
  8. B

    MSAADA: Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya maeneo

    Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya sehemu inashika sehemu zingine haishiki haswa haloteli ndo haishiki kabisa Naombeni msaada nifanyaje.
  9. D

    Bodi ya Mikopo (HESLB) wanakata zaidi ya deni, ukiwafuata unaambiwa omba kurejeshewa kwenye mtandao na usubiri kwa miezi mitatu

    Makosa wafanye wao kukata zaidi ya deni mnufaika unalodaiwa halafu ukiwafuata wanakupa statement wenyewe inaonyesha kweli umekatwa zaidi. Badala ya kuhakiki deni lako na kukuandika hundi wanakwambia rudi nyumbani na kajisajiri kwenye mfumo udai kurudishiwa makato yaliyozidi. Wanakwambia subiri...
  10. Watu milioni 7.8 wataka Trump arudi Twitter, Elon akubali kumrejesha

    Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi. Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni 15,085,458. Kura 7,844,438 zimetaka Trump arudishiwe akaunti yake huku Kura 7,241,019 zikimkataa Rais huyo...
  11. Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  12. Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
  13. A

    Nini unaweza fanya na pesa zilizotumika nunulia mtandao wa Twita takriban Trilioni 102 Tsh?

    Siku chache baada ya tajiri mkubwa duniani kukamilisha ndoto yake ya kumiliki mtandao wa twita wengi wetu ambao hizo namba tunaona ni pesa za kawaida ila sio hivyo kwani tukija mezani unagundua hiyo pesa ya twita tu mwamba Elon musk akiamua tumia bilioni kila siku kwenye matumizi yake, kula...
  14. Safaricom yazindua mtandao wa 5G nchini Kenya

    Kamouni ya Mawasiliano ya Simu ya Safaricom leo Alhamisi imezindua mtandao wa 5G Wi-Fi mbadala wa huduma za nyumbani na huduma ya 4G Wi-Fi. Kampuni inalenga makazi na ofisi za biashara katika maeneo ambayo kwa sasa hayahudumiwi na mtandao wake wa Fibre. ====================== Safaricom will...
  15. Watumiaji wa simu, intaneti waongezeka Tanzania

    Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kuongezeka nchini ikielezwa kuwa ni kutokana na mazingira wezeshi katika sekta ya mawasiliano kuelekea uchumi wa kijidali. Hayo yamebainishwa katika ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyotolewa leo Oktoba 25 jijini hapa. Kwa mujibu wa...
  16. Mtandao wa WhatsApp haupatikani hewani kwa muda

    Watumiaji wengi wa mtandao wa WhatsApp wameripoti kushindwa kutuma wala kupokea ujumbe wowote asubuhi hii. Kwa mujibu wa Downdetector, zaidi ya watu 12000 wameripoti uwepo wa tatizo hili hadi kufikia mida ya saa 4:30 asubuhi. Hata hivyo, hakuna taarifa yoyote rasmi iliyotolewa na Kampuni ya...
  17. Postpaid ya mtandao wa Voda, Halotel, Airtel

    Kichwa cha habari chajieleza, naomba mwenye kufahamu gharama za kujiunga postpaid ya mitandao tajwa hapo juu anisaidie chati yake.
  18. J

    Watumishi wa Umma watakiwa kujilinda na Uhalifu wa Mtandao

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Watumishi wa umma na binafsi wametakiwa kuwa makini na chochote wanachofanya mtandaoni ili kujilinda na changamoto za uhalifu wa mtandao ambapo katika zama hizi za kidijiti taarifa binafsi au za taasisi zimegeuka kuwa malighafi muhimu kwa wahalifu wa mtandao...
  19. J

    Serikali kuimarisha Usalama wa Huduma Mtandao

    SERIKALI KUIMARISHA USALAMA WA HUDUMA MTANDAO Na Faraja Mpina, WHMTH, DAR ES SALAAM SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaendelea kuhakikisha inaimarisha usalama wa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao ikiwa ni pamoja na biashara mtandao ili wananchi...
  20. Network mtandao wa Tigo unasumbua maeneo ya Kimara a hakuna kitu mnafanya

    Yaani nikiwapigia watu simu inakata Napigiwa na watu simu inakata Nilijiunga na bando ka Home internet gb 40 nimeshindwa kabisa kufanya chochote Yaani ningekuwa naweza ningewashitaki huu mtandao😡
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…