mtandao

  1. Kipato kupia simu janja na mtandao kinatengenezwaje?

    Leo asee nimekaa pekeyangu wakati nimejawa na ukimya binafsi na baada ya shughuli ya kila siku nikapatwa na wazo "iv wenzangu kupitia simu zao huwa wanajitengenezea kipato kwa namna gani au wao ni kushinda online badae unafunga data huna ata mia". Nikawaza upande wangu daah! Kwel ukitumia akil...
  2. Nape kwahiyo ulikuwa unasubiria Utumbuliwe jana na Rais Samia ndipo Uufunge ghafla Mtandao wako wa X ( zamani ) Twitter?

    Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza. Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
  3. Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka Duniani kwa sasa, Kwamba Mtanzania huyo Mzalendo na mwenye uthubutu, Bwana Kumbusho Dawson, ameifungulia kesi Serikali ya Tanzania Pamoja na Mamlaka za mawasiliano kwa jambo lile la kishamba la mwaka 2020 ili Mahakama ichukue hatua na itamke kwamba jambo kama...
  4. Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

    Salamu wakuu................... Jazeni nafasi wazi apo juu Kwanzaa. 😂😂😂 Anyway, straight to the point 👉 Kama kichwa kinavojieleza je, wewe uliufahamuje mtandao huu Binafsi nilikuwa kila nikisearch vitu kwa lugha ya kiswahili kwenye google nikawa naletewa matokeo ya mada hizo yashajadiliwa...
  5. Mtandao wa Threads hauna faida yeyote kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta inahaja ya kuufunga

    Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni mtandao wenye faida zaidi ya zile zinazopatikana X Ifuatayo ni mitandao ya kijamii (social...
  6. Naomba maelezo zaidi kuhusu mtandao wa haloteli.

    Uku niliko mitandao mingine imekuwa tabu sana ninafanya mawasiliano network inakuwa chini mno Isipokuwa halotel sasa juzi nimesajili haloteli na kiufupi iko vizuri. Lakn kuna mdau akanambia ningesajili laini ya chuo coz ina ofa kabambe mf: yeye hupewa 3000Tsh kila mwanzo wa mwezi. Je hii ni...
  7. L

    Naomba kusaidiwa kwanini mtandao wa Twitter haufunguki Kwangu Tangia jana?

    Ndugu zangu Watanzania, Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa. Leo...
  8. Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  9. Kupush hashtags mtandao wa x

    Habari ndugu zangu, Nimejaribu kushinda sana twitter sasa X siku ya leo. Huwa naona sana matangazo ya siasa au biashara. Tukae haswa kwenye siasa. Baada ya kufatilia maongezi mengi, na kubadirishana mawazo kupitia comments. Kwanza naona mtandaoni siku za sikuhizi wamejaa sana vijana wa makamo...
  10. TCRA yafuta akaunti yake ndani ya X/Twitter. Je, ni maandalizi ya kuifungia mtandao huo wa kijamii?

    Japo hatua hiyo inaweza kuwa imetokana na sababu nyingine, ukweli kwamba imetokea katika kipindi hiki cha vuguvugu kubwa kuishinikiza serikali iifungie X/Twitter unweza kuyumkinisha kuwa hizi ni dalili za awali za mtandao huo wa kijamii kufungiwa. Hata hivyo, wakati viongozi mbalimbali wakuu wa...
  11. Msaada kuhusu kupata Award Verification Number(AVN)...Ni mtandao wangu au Mfumo ndio unasumbua?

    Habari wakuu, Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB. Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua inayofuata ya kupata CONTROL NUMBER nakwama. Sasa najiuliza ni swala la mfumo ndio haujakaa sawa au mtandao...
  12. Serikali yazuia mtandao wa X na TikTok, walazimika kutumia VPN ili kupata huduma kwenye mitandao hiyo

    Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok. Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
  13. Unaweza kutengeneza pesa mtandaoni kupitia uandishi

    Ndio, unaweza kutengeneza pesa kupitia uandishi mtandaoni. Kuna njia kadhaa ambazo unaweza kutumia kufanya hivyo: 1. Blogu: Unaweza kuanzisha blogu yako na kuchapisha maudhui kuhusu mada zinazokuvutia au zinazohusiana na ujuzi wako. Unaweza kupata pesa kupitia matangazo ya Google AdSense...
  14. N

    SoC04 Mtandao wangu

    Kijiji cha Songambele ni kijiji kilichopo nje kidogo na mji mkuu wa nchi. Wananchi wa kijiji hiki wamekua wakijihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji ili kuweza kujikwamua na wimbi la umaskini Kwan imekuwa ni gumzo hali hii ilipelekea vijana wengi kushindwa kuendelea na masomo kutokana na...
  15. Mtandao wa airtel ndio unaongoza kwa kutumiwa na matapeli wa mtandaoni

    Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini?? Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi...
  16. Ushauri kwa Nape Nnauye, Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kwa sababu zifuatazo

    Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kama Watanzania wanavyodai hii ni kwasababu zifuatazo 1:Mtandao wa X unatumia teknolojia ya Algorithm inamaana kwamba mtumiaji hawezi kuona maudhui ambayo hayafuati yeye au hayatazami au kuyatafuta yeye ndani ya mtandao huu ndio maana yapo makampuni, taasisi na...
  17. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  18. UVCCM wapo busy kupambania mtandao wa "X" (zamani Twita) Ufungwe Lakini siyo kujitokeza kulaani, ulawiti na mauaji ya Albino

    Hapa JUZI tulisikia kiongozi mmoja aliingia kwenye tuhuma na kashfa za kulawiti mwanafunzi wa CHUO Lakini UVCCM hawakujitikeza na kulaani jambo Hilo. Tukasikia tena Mtoto kapotea na ghafla mwili wake umeokotwa ukiwa baadhi ya viungo vya mwili vimenyofolewa Cha ajabu UVCCM hawakujitokeza hata...
  19. H

    SoC04 Kuwekeza kwenye matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia pamoja na kuboresha matumizi ya (internet) mtandao kwa kuweka gharama nafuu kwa wananchi

    Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
  20. Waziri Nape akiri kufuatilia mijadala inayoendelea kuhusu mtandao wa X kufungiwa, asema TCRA itatimiza wajibu kuhakikisha watoto wanakuwa salama

    Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania na hususani kizazi cha Watoto kipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…