mtakatifu

The Chama cha Mariamu Mtakatifu (Community of St. Mary of Nazareth and Calvary), (CMM) is a large Anglican religious order operating within the Anglican Church of Tanzania, and with its headquarters at Masasi, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Uteuzi: Baba Mtakatifu amemteua Padre Joseph Mashaka Triphon kuwa Askofu wa Jimbo jipya la Nzega

    Hongera kwa kupandishwa cheo Hongera kwa uteuzi Menu Baba Mtakatifu Vatican Kanisa Ulimwengu Chagua lugha yako Youtube Instagram Rss Tafuta Tafuta Le Dieu cachè RatibaPodcast Askofu Joseph Mashaka Triphon, C.S.Sp., Jimbo Katoliki la Nzega, Tanzania Vatican Askofu Joseph Mashaka Triphon...
  2. V

    Somo la ziada kuhusu kinena kwa lugha/kujawa Roho mtakatifu

  3. Heci

    Je, unafahamu kwamba kuna MTANZANIA ambaye ni MTAKATIFU? Haya tiririka nami

    Mtakatifu Yohane Maria Muzeeyi (pia anajulikana kama John Mary Muzeyi) alikuwa Mkristo Mkatoliki kutoka Tanzania ya sasa, na wa mwisho kati ya Wafiadini wa Uganda kuuawa kwa ajili ya imani yake. Maisha na Historia Kuzaliwa: Alizaliwa Kagera (Tanzania), katika kitongoji cha Kyanumbu, kijiji...
  4. Nyendo

    Vatican: Kifundo cha pafu la Baba Mtakatifu, Papa Leo XIV kilichoondolewa wakati wa upasuaji kilikuwa na saratani

    Kijiwe (fundo) cha pafu la Baba Mtakatifu Papa Leo XIV kilichoondolewa wakati wa upasuaji kilipatikana kuwa na saratani, imeeleza Vatican. 'Upasuaji huo umekamilika kwa mafanikio, kulingana na ratiba na kama ilivyopangwa, na Baba Mtakatifu amerejea chumbani kwake,' ilieleza taarifa kutoka ofisi...
  5. J

    Mtakatifu Paulo Mtume Je, Yote Inaweza Kuwa Hadithi Iliyotungwa?

    Myahudi aliyeitwa Sauli? Mtume aliyeitwa Paulo? Au ni hadithi iliyotungwa tu? Kutoka kuwa mtu aliyekuwa akiwafuatilia na kuwakamata wapinzani wa dini, hadi kuwa kiongozi mkubwa wa kanisa; kutoka kupambana na wanyama huko Efeso, hadi kuuawa kwa kukatwa kichwa huko Roma—hadithi ya Paulo ina...
  6. J

    Unaweza kubatizwa na usipokee Roho Mtakatifu.

    Unaweza kubatizwa na usipokee Roho Mtakatifu. Unaweza kupokea Roho Mtakatifu kwa kuwekewa mikono au la. Mambo haya yamekuwa yakiongelewa na baadhi ya watu, bila majibu sahihi. Hebu tuyaangalie kwa mujibu wa maandiko. Matendo ya mitume 8, yanasema: 14 “na Mitume waliokuwako Yerusalemu...
  7. W

    Baadhi ya Wanafunzi katika Chuo cha SAUT wapata wasiwasi baada ya matokeo yao kutopandishwa na Wahadhiri

    Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA). Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
  8. R

    Mapadri na wanatheolojia wakatoliki mbona mnatofautiana kuhusu Utatu Mtakatifu?

    Jana jumamosi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Tunu Zetu radio Amani ya jimbo katoliki Arusha. Padri alikuwa na mada ya Utatu Mtakatifu ambayo aliianza na ataendelea nayo. Niliwahi kupeleka hoja kwa Madrid, maaskofu na wanateolojia wakatoliki kwamba Mungu ni mmoja aliyejidhihirisha katika...
  9. Yoda

    TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

    Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Yale tuliyopaswa kumuuliza Roho Mtakatifu, siku hizi watu wanaiuliza AI. Je huku ndio kumkufuru Roho Mtakatifu?

    Nini tofauti kati ya AI na nafasi ya Roho Mtakatifu?: 1. Asili ya Kiungu dhidi ya Mashine Roho Mtakatifu: Ni Mungu hai, mwenye hisia, mapenzi, na uwepo wa milele. Yeye ni Nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu. AI: Ni programu ya kompyuta iliyotengenezwa na binadamu. Haina uhai, haina roho, na haina...
  11. U

    Ni nguvu ya Roho Mtakatifu ndiyo maana kanisa la Wasabato ni kanisa pekee duniani ambalo waumini wake hawaami kwenda makanisani mengine

    Niwatakie Sabato njema enyi watu wote wa Mataifa
  12. M

    Hili ndio kanisa la Mashoga la Mtakatifu Sergius na Bacchu

    Watakatifu wa kikristo Sergius na Bacchu ni mashoga wawili walipendana zama za utawala wa kirumi mnamo karne ya 3 Walipokufa wakafanywa watakatifu katiak dini ya ukristo, na leo hii kuna makanisa duniani kote kuwaenzi kama watakatifu wawili wa kiume waliokuwa wanapumuliana visogoni...
  13. wilcoxon

    TEC yaahirisha kongamano la Kitaifa la Utoto Mtakatifu, sababu ikiwa ni “alama za nyakati”

    Kuna barua rasmi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) – kupitia Ofisi ya Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari Taifa (PMS) inayoonesha kuahirishwa kwa Kongamano la Sita la Kitaifa la Utoto Mtakatifu. Kongamano hili kubwa lilitarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 22 Juni, 2026 huko...
  14. Zee la madawa

    Eti mtakatifu kashia utuombee, hauwezi kukuta bwana Mabula kutoka Manolea Tabora wazungu kumkiri ni mtakatifu, Waafrika bwana ni shida kwelikweli

    Mtakatifu Rita alizaliwa tarehe 22 Mei 1381 huko Kashia (italia). Alibatizwa akaitwa Margarita, tangu utoto wake aliazimia kumtumikia Mungu katika Konventi ya Mt. Austino huko Kashia, lakini alipokuwa na umri wa miaka Kumi na miwili, alilazimishwa na Wazazi wake na kuolewa na Kijana mmoja...
  15. Mshana Jr

    Udongo na Pumzi: Muungano Mtakatifu wa Mwanadamu na Ardhi

    Siri kuu na ya kustaajabisha ya kuwepo kwa mwanadamu imefichwa katika mchanganyiko wa kipekee wa mavumbi ya ardhi na pumzi takatifu ya Uzima. Kabla ya mwanadamu kuwa kiumbe hai kinachotembea na kufikiri, alikuwa ni udongo tu usio na umbo uliolazwa mikononi mwa Muumba. Katika wakati huo wa...
  16. Tochuku

    Mtakatifu PAPA LEO anatembelea nchi za Afrika, ila Tanzania hapo kwenye list yake, hio ni signal Kubwa na nzito

    Tumsifu Yesu Kristu, AsalamAleykum Warramatulahi Wabaraktuh NAONA ziara za Mtakatifu Papa Leo akidhuru Barani afrika, hata ameweza kwenda Cameroon ambapo rais wake ana miaka 90 na Bado ni rais(dikteta), Cameroon ambayo wananchi wamegawanyika, ila amekwenda. Swali la kujiuliza, kwanini...
  17. canular

    ADONAI Mtakatifu

    Ewe Bwana Mungu, Baba Mtakatifu, Mwenye Nguvu Zote na Mwenye Huruma, ambaye umeuumba vitu vyote, unaojua vitu vyote na unaweza kufanya vitu vyote, ambaye hakuna kilichofichwa kwako, ambaye hakuna kisichowezekana kwako; Nina mshitaki kwako Huyu mwanamke Samia Suluhu Hassan aliyepokea uongozi...
  18. Fbn

    Muujiza wa Mtakatifu Francis Xavier na Kaa wa Msalaba

    Hadithi ya Mtakatifu Francis Xavier na Kaa Mnamo mwaka 1546, Mtakatifu Francis Xavier alikuwa akisafiri kwa njia ya bahari kuelekea Malacca (katika Malaysia ya leo). Safari iliyoanza kwa utulivu ilibadilika ghafla na kuwa ya kutisha. Mawingu meusi yalitanda, upepo ukavuma kwa nguvu, na mawimbi...
  19. Keynez

    Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  20. Setfree

    Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

    Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?" Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
Back
Top Bottom