Habari wana jukwaa natumaini mpo salama!
Mfungwa Mussa Mangu aliyekua anatumikia adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika katika mauaji ya Bilionea Erasto Msuya ameachiwa huru jana baada ya kukata rufaa yeye na wenzake wanne.
Mahakama ya rufaa imeamua Mussa Mangu kuachiliwa huru mara moja...
Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa...
Utangulizi
Katika Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Sura ya 29; ndoa imetafsiriwa kuwa ni ‘muungano wa hiari’ kati ya mwanamke na mwanaume unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote. Kumbe, mojawapo kati ya mambo ambayo wanandoa wanapaswa kuyaweka vema katika fahamu zao ni kuwa, lengo la uwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.