msimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wajue maswahaba waliosimamia msimamo licha ya mateso waliokumbana nayo

    Katika historia ya Uislamu, kuna Maswahaba wengi walioteswa sana na makafiri wa Makka kwa sababu ya kusilimu kwao. Walipigwa, kuchomwa moto, kufungwa minyororo na kunyimwa chakula, lakini waliendelea kushikamana na imani yao. 1. Abu Fukayha (رضي الله عنه) Alikuwa mtumwa wa Safwan bin Umayyah...
  2. Kesi ya TunduLissu imenifundisha: Haki, Msimamo, Ujasiri na thamani ya uhuru!

    Wakuu. Habari za wakati huu, wale wapenda haki na usawa najua tumeumia sana na kilichoamuliwa leo na Mahakama kuu kuhusu mwenendo wa kesi iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Kila jambo linalotokea kwenye maisha yetu au katika hii dunia hutokea na...
  3. M

    Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  4. K

    Gharama ya Msimamo: Kwanini Kusimama Peke Yako Ndio Kipimo cha Mwisho cha Uadilifu na Uongozi

    Ndugu zangu wa JamiiForums, salaam, Kuna usemi mzito na usiochuja unaosema: "Ni lazima usimamie kile unachokiamini, na wakati mwingine inakulazimu kusimama pekee yako." Katika ulimwengu wa sasa—iwe ni kwenye siasa, maeneo ya kazi, au hata kwenye jamii zetu za kila siku—shinikizo la kufuata...
  5. Msimamo wangu kuhusu viongozi wa Chadema ni tofauti kidogo!!

    Sijuani hata na mmoja wao, hata kwa sura tu sijawahi kuwaona live. Nipo upande wao kwa sababu mara zote mimi nipo upande wa kundi linaloonewa. Huu msimamo wangu popote pale. Naumizwa sana na anayopitia Mh. Tundu Lissu gerezani. Nimekuwa nikimuombea sana. Naumizwa sana na hawa wengine...
  6. Tambua kama mwanaume kila msimamo utakaochukua lazima ukugharimu na hakuna namna ya kukwepa hili katika kutengeneza familia na ufalme.

    Swali ni unaweza kubeba na kubembeleza consquences za maamuzi yako au utasukumia kwa wengine kinamna.
  7. Jeska Kikumbi aweka wazi msimamo wake kuhusu Fredi Vunjabei

    Mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa baa za Kitambaa Cheupe, Jeska Kikumbi, amefunguka kuhusu sababu zinazowafanya watu kumhusisha kimapenzi na mfanyabiashara mwenzake, Fredi Ngajilo maarufu kama Fredi Vunjabei, huku akieleza msimamo wake kuhusu suala hilo. Jeska amezungumzia mada hiyo...
  8. A

    Je, kusamehe usaliti kwenye mahusiano ni ishara ya upendo au kukosa msimamo?

    Jamani jamani, eti kuna watu wanaamini kuwa ukimpenda mtu kwa dhati, unapaswa kuwa tayari kumsamehe hata akikusaliti. Wengine wanaona kuwa kumsamehe na kuendelea na uhusiano ni kujidharau. Sasa mimi najiuliza, kwani kusamehe kunamaanisha udhaifu? Au ni ishara ya ukomavu na uwezo wa kumpa mtu...
  9. Ufafanuzi kuhusu msimamo wa kisheria kuhusu "nyumba ya wanandoa"

    UTANGULIZI Nimekutana na video mitandaoni ikimuonesha mwanadada aitwaye Frola Shija akifafanua kuhusu nyumba ya wanandoa. Katika video hiyo ameeleza kwamba mwanaume akijenga nyumba kabla ya ndoa halafu akaoa mke na kwenda kuishi naye kwenye hiyo nyumba inakuwa ya kwao wote. Pia ameeleza kwamba...
  10. M

    WANAKUPENDA KWA SABABU HUNA MSIMAMO

    #.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole. #.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu. #.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu. Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna msimamo. Anayependwa na kila mtu hana msimamo kwani Mwenye msimamo lazima kuna watu...
  11. K

    Makala ya Kihistoria na Kijamii: Urithi wa Mtwa Mkwawa na Mmomonyoko wa Msimamo wa Kihehe Kupitia "Uchawa"

    Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
  12. Linda Mgongo Wako na wa Jamii Yako: Msimamo wa Dudubaya ndiyo msimamo wa Watanzania wote.

  13. Jumuiya ya madola (common wealth) yatoa msimamo kuhusu Tanzania

    Katika taarifa yake ya kikao chao cha Septemba 20, 2026 CMAG imesisitiza yafuatayo: 1. Kuendeleza mchakato Unaojumuisha pande zote, unaoaminika na unaowezeshwa kupitia ushirikiano kati ya vyama vya siasa. 2. Kulinda Uhuru wa kiraia, Uhuru wa kisiasa na Uhuru wa vyombo vya habari. 3...
  14. M

    Mkurya akishakuwa na msimamo ni ngumu sana kuununua msimamo wake, Tuombeane uzima yasije yakajirudia ya Chacha Wangwe

    Nimeishi na Wakurya, wakiwemo Wanzanaki na koo mbalimbali ambazo wakati mwingine hujitambulisha kama makabila tofauti, lakini ukiangalia kwa karibu utaona ni wale wale tu wote wanaitana MURA ! mambo mengi wanafanana kuanzia majina, mila, tohara na mambo mengine mengi. Kwa kifupi, wote ni kina...
  15. Msimamo wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu unavyoweza kuchochea mpasuko ndani ya chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
  16. M

    Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  17. Chid Benz msimamo wake kwa Katambi umeleta gumzo. Jamaa hajaonesha unyonge

    Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana Wengine wamesema ameonesha kumdharau aliyemwita au ameonesha kutojali pengine baada ya kuona ameitiwa...
  18. Eti Msimamo?...hakuna msimamo wa tukio moja kupitia vyombo vya habari!

    Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio. Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu. sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
  19. M

    Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
  20. K

    AMBUZI: Kauli ya Ndlozi na Msimamo wa Botswana Dhidi ya Rais Samia SADC: Je, Klabu ya Kulindana Inavunjika?

    Ndugu wana-Jamii Forums, Katika hali iliyoleta taharuki na mjadala mpana kwenye anga za kisiasa za ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC), mwanasiasa machachari na msomi kutoka Afrika Kusini, Dkt. Mbuyiseni Ndlozi, ametoa kauli nzito inayomgusa moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…