Waziri wa Elimu nchini Kenya, Julius Migos Ogamba, amepinga madai kuwa msimamizi wa mitihani ya KCSE aliyeshambuliwa katika Kaunti ya Kwale alilengwa kwa kukataa rushwa ya KSh50,000 iliyodaiwa kutolewa ili kuruhusu udanganyifu wa mitihani.
Akizungumza Jumatatu, Novemba 16, 2026, alipokuwa...