msimamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Anahitajika msimamizi wa ofisi DODOMA

    Anahitajika msimamizi wa ofisi (Ofisi Supervisor) mwenye elimu ya kidato cha nne au sita. Sifa kuu: AWE ANAJUA KUTUMIA COMPUTA VIZURI. AWE MKAZI WA DODOMA MJINI KAZI ZAKE NI PAMOJA NA 1. Kupokea simu, barua, na wageni 2. Kufuatilia masuala ya ofisi na wateja au wadau. 3. Kufanya kazi ndogo...
  2. O

    CS Ogamba Akanusha Madai ya Msimamizi Aliyeshambuliwa Kwale

    Waziri wa Elimu nchini Kenya, Julius Migos Ogamba, amepinga madai kuwa msimamizi wa mitihani ya KCSE aliyeshambuliwa katika Kaunti ya Kwale alilengwa kwa kukataa rushwa ya KSh50,000 iliyodaiwa kutolewa ili kuruhusu udanganyifu wa mitihani. Akizungumza Jumatatu, Novemba 16, 2026, alipokuwa...
  3. O

    “Alikataa Rushwa ya KSh50,000, Akapigwa Karibu Kufa!” Msimamizi wa KCSE Atekwa na Kushambuliwa Kwale

    Msimamizi wa mitihani ya Kitaifa ya Kidato cha Nne (KCSE) katika Kaunti ya Kwale anauguza majeraha makubwa baada ya kudaiwa kutekwa nyara na kushambuliwa na watu wanaoshukiwa kuwa wanafunzi wa Kidato cha Nne na washirika wao, kufuatia kukataa rushwa ya KSh50,000 iliyolenga kuruhusu udanganyifu...
  4. R

    Ona kosa la msimamizi wa haki. Kama anaweza kufaya hii akijua inakwenda hadharani, ya ndani je! Tarehe ya hukumu! Mwezi wa 19 & 21 Septembr, 2026

    Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje? Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
  5. A

    KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  6. P

    Kinyozi wa saluni ya kiume anahitajika Kigamboni

    Habari. Natafuta kinyozi wa saluni ya kiume ambaye atakua pia msimamizi iliyopo Kigamboni Geza ambaye tutalipana kwa mtindo wa hesabu. Aliye tayari na mwaminifu anicheki inbox.
  7. G Sam

    PostGE2025 Ni roho ngumu tu, ila Rais Samia angekuwa na UTU, angeondoka Ikulu kwa haya mauaji na ubakaji uliotokea akiwa Kiongozi Mkuu wa nchi

    Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI! Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
  8. Tech Max

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) Nitakuwa naweka maudhui ya picha na video pia nitakuwa najibu maswali ya wateja, n.k. Nina ujuzi wa IT (Information Technology), graphics design na masoko ya mtandaoni Mawasiliano: 0756704145 Napatikana Mkoa wa Dar es...
  9. N

    Unahitaji Msimamizi wa Miradi ya Ujenzi Mwanza hasa UKEREWE.

    Tunaye hapa Msimamizi wa miradi ya Ujenzi (Majengo na Barabara) Fundi Sanifu Mwenye uzoefu wa siku nyingi. Kwa Mwenye miradi huku Mwanza hasa UKEREWE tuwasiliane mwanzahuduma7@gmail.com
  10. Tech Max

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) ambapo nitakuwa naweka maudhui ya picha na video mtandaoni, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Gharama yake ni 150,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana: Dar es salaam. Mawasiliano: 0756704145
  11. Tech Max

    Msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager) nipo

    Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager), Nina uzoefu wa kutosha, elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering). Pia najua website hosting na management (kusimamia tovuti kuanzia kulipia Hadi ufundi) Naishi: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  12. Tech Max

    Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical engineering) 0756704145
  13. Tech Max

    Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  14. Masalu Jacob

    Msimamizi wa Majiji Tanzania: Tanzania City Authority

    Oooh habari Tanzania ! Pole kwa majukumu Mtanzania ya hapa na pale. Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu kuwa hapa Tanzania miji inakuwa kwa kasi sana na kupelekea kupata changamoto kubwa hususani kwenye Majiji yetu mfano; Msongamano mkubwa wa vyombo vya...
  15. T

    Msimamizi wa uchaguzi s/mitaa: wagombea wote wa ccm walikosea kujaza form tulilazimishwa tukawajazia.

    Nimekutana na aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji wa mwaka 2024 ambaye ni mkuu wa shule mojawapo katika mkoa wa tabora, kwa masikitiko makubwa ameeleza namna viongozi wa serikali walivyowalazimisha kujaza form za wagombea wote wa ccm ambazo zote zilikosewa kujazwa...
  16. S

    Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  17. R

    PreGE2025 CHADEMA wanafahamu hata wakishiriki uchaguzi hakuna msimamizi atawatangaza kushinda hata kata moja licha jimbo

    Kama mwaka jana wagombea wa Chadema na ACT waliondolewa uchaguzi wa serikali za mtaa unadhani wasimamizi wale wale wataweza kumtangaza diwani wa upinzani? Uchu wa madaraka umekuwa mkubwa lakini undugu na ufamilia umeongezeka sana nchini jambo ambalo linapelekea utu kuondoka mioyoni mwa wajukuu...
  18. MamaSamia2025

    "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  19. Street Hustler

    Nahitaji bwana shamba awe msimamizi wa shamba

    Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe -Awe anajituma -Mwenye kufanya kazi Bila kutumwa -Awe mbunifu na kujiongeza Tabia njema na uaminifu -Awe ametoka na...
  20. nipo online

    Sisikilizwi hapa kazini mimi ni msimamizi kijana.

    Kiumri wamenizidi ila kielimu nimewazidi karibia wote. nipo katika kiwanda fulani hivi hapa Kanda ya kusini, nimepangiwa kusimamia wafanya usafi lakini kila nikiwakusanya na kuwapa maelekezo wananidharau. Naomba ushauri je hali kama hii naikabili vip, nimeita adi vikao kadhaa lakini mahudhurio...
Back
Top Bottom