mshahara

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwezi huu unachelewa Kuna taitizo ?

    Mshahara wa Mwezi huu unachelewa Kuna tatizo ?
  2. JamiiForums Tanzania Kupata kazi yenye mshahara mnono kunachangia kujituma

    Wadau poleni na majukumu Mimi ninahoja kama 3 naomba tujadili kidogo.Hivi wadau kwa aliyewai kufanya kazi akapa mshahara mnono na package nono alifanyaje ilikuwa ni bahati au connection nauliza hivyo sababu mimi sijawai kupata hiyo bahati ila kazi uwa napata hilo namshukuru Mungu kingine hivi...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Habari Wana JF kwa mshahara wa laki tano mkopo naweza patiwa shingapi??
  4. JamiiForums Tanzania Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  5. JamiiForums Tanzania Mshahara umeingia lakini umeshaisha tayari

    Namna gani asee, hela haikai, mshahara haukai hata masaa 72. Huu mwezi ni kama sijalipwa chochote kile. Mnatoboa wadau?
  6. JamiiForums Tanzania Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

    habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
  7. JamiiForums Tanzania Vp mshahara umeingizwa tayari NMB?

    Wakuu vp huko kwenu mshahara tayari umeingizwa wale ambao tunatumia NMb? Maana kwangu bila bila aisee
  8. JamiiForums Tanzania mpenzi wangu anaficha mshahara wake! ushauri jamanii

    ushauri wenu jamaniii mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Februari, mbona wengine hawajapata hadi leo

    Wadau.Mpaka saa hizi kuna kundi kubwa tu la watu hawajapata Ujira wa Mwia wakati wengine wamepata tangu jana jioni. Shisa nlni nn.
  10. JamiiForums Tanzania Mil.800 mpaka bil.1 mshahara na marupurupu ya mbunge,si upinzani wala fisiemu wanalizungumzia

    Habari wakuu Sijsikia viongozi wa upinzani wakiliongelea hili kwa nguvu,wala fisiemu Marupurupu kuwa makubwa yasio akisi hali ya wanaotuwakilisha ni chanzo cha kuwa na vibaraka sio tuu wa kuacha serikali ifanye inavyotaka,lakini kuwa muhuriwa mambo ambayo hayana maslahi kwa nchi yetu au...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sikujua kupendeza ni uraibu, Anatumia laki 4 kwenye mavazi kila mwezi kwenye mshahara wa laki 9

    Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9 Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita. Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿 Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

    kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k. Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada , je Huu si uchepushaji wa Mshahara?

    Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara. Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake . Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa clinical officers 2

    Habari Wana JF Naomba kuliza kiwango Cha mshahara wa clinical officers 2 kwa serikalini wanalipa shingapi
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa clinical officers 2

    Habari Wana JF, Nauliza mshahara wa clinical officers 2 hua nishingapi kwa sasaivi kwa mwajiriwa wa serikalini
  18. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiona mfanyakazi anamiliki vitu havilingani na mshahara wake hiyo ni Red flag

    Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wasiwasi , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake. Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
  20. JamiiForums Tanzania Kuwazidi mshahara kidogo tu kumenitengenezea maadui kazini.

    Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi. Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata namba zangu. Hr wa kampuni (B) alisistiza kuwa wanahitaji huduma yangu, na mimi pasina kusita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…