msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MSAADA: Ni Bank gani?

    Ni Bank gani isiyokuwa na makato katika huduma ya Internet Banking? Manake kuna Bank FEDENGE kila unapo log in kuangalia salio wanakula buku tano manina zao. Sasa sijui ni Bank gani yaweza kuwa rafiki isiyo kuwa na makato ya kiduanzi. Kwa yeyoye anaye fahamu anaweza kutupa mtonyo hapa hadharani.
  2. JamiiForums Tanzania PSRS naombeni msaada wa ufafanuzi kwenye hili tafadhali

    Kwanza hongereni kwa kufanya kazi yenu vizuri sana! Kwa kweli kwa kipindi hiki, kwa style hiyo ya interview imeondoa kubebanabebana!! 1. Kwa uzoefu wangu ni kwamba, huwezi kupata cheti cha NIDA bila kuwa na cheti cha kuzaliwa. Sasa mimi nikiwa nina cheti cha NIDA alafu cha kuzaliwa sina, iwaje...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu mzazi wangu Anakosa msaada Kwa sababu ya usanii wa kipuuzi

    Yupo mzazi huko kijijini amekuwa Na usanii wa kuongea uongo, Mimi Na ndugu zangu wawili tumekuwa tukimpa msaada Kadiri ya uwezo wetu lakini mwisho wa siku Hali yake Ni Bora zaidi ya Jana, ukimnunulia nguo anauza, ukimnunulia vitu vya thamani anauza....nipo mbioni kumkatia Bima ya afya, Kituko Ni...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwongozo: MSc Data Science UDSM

    Wakuu habari ya muda huu Mimi ni mwajiriwa serikalini nimeomba admission UDSM ya Msc in Data Science na Mungu amesaidia nimepata. Naomba mwongozo kwa wazoefu waliosoma au wanaosoma hii kozi hapo chuo. Ni nini ugumu wake, gharama za zaidi ukitoa ada ni zipi (zile zinazohitajika zaidi kulipwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgogoro wa Ardhi Lindi: Wananchi Muhimbili Juu tunadhulumiwa maeneo yetu bila kupata msaada wowote

    Habari, Wananchi wa Mtaa wa Muhimbili Juu, Kata ya Rasibula, Manispaa ya Lindi, tunataka kunyang’anywa ardhi yetu katika mgogoro ambao umedumu tangu mwaka 2022. Mtu anayejulikana kwa jina la Kahawa kavamia maeneo yetu. Katika utatuzi wa awali, ilipendekezwa kuwa atufidie wananchi au...
  6. JamiiForums Tanzania USAJILI TELEGRAM TATIZO, NAOMBA MSAADA.

    Kwema wakuu, hivi hapa nifanyeje ili niweze kujisajili bila kulipia?
  7. JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA: WhatsApp Cloud API (Access Token, Phone Number ID na App Secret)

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa WhatsApp Cloud API na Meta Developers. Nimejaribu mara nyingi ku-set up WhatsApp Cloud API kwa matumizi yangu binafsi, lakini nimekwama kupata Access Token, Phone Number ID na App Secret kwa sababu Meta ime-restrict account yangu. Niliomba...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kumpata mtu aliyepokea muamala kimakosa

    Kuna jamaa yangu kamtumia Mtu 700,000 badala ya 70,000. Jamaa alifanya naye biashara ni chinga. Tunduma. Sasa jamaa amegundua siku 2 baadae. Akamcheck chinga akagoma, wakakubaliana waonane amuonyeshe Muamala. Akazima simu. So, anawezaje mtrace? Maana hata namba amesajilia ya mtu mwingine.
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye jambo langu na Bima ya afya

    Salaam wakuu. Nilifunga ndoa ya kanisani mwaka 2022,baadae nikawa na migogoro na mke wangu jambo liliopelekea kutengana. Bila kuvunja ndoa nikapata mwanamke mwingne nikazaa nae mtoto mwaka2023 na nikafunga nae ndoa ya serikali mwaka 2024. Wakati wa kusajili ndoa kwa mkuu wa wilaya niliulizwa...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji betri aina ya ER 34615

    Nahitaji betri aina ya ER 34615 ambalo kwa jina lingine inaitwa non-rechargeable D-size -Lithium Thionyl Chloride (Li-SOCl₂). Naomba kwa anayejua duka ninaloweza kupata naomba nijulishe, au kama kuna mtu anauza naomba nicheck, iwe ni kampuni yoyote ile ila iwe na uwezo wa 19,000 mAh (19Ah)
  12. F

    JamiiForums Tanzania KERO Kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.

    Naomba nitoe kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro. Kuna taasisi ambazo, kwa madai yangu, hutangaza zabuni lakini mchakato wake unaonekana kuelekezwa kumpendelea mzabuni fulani. Mzabuni mwingine anaposhinda badala ya yule anayependelewa, zabuni hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA.

    Nina tatizo hapa,shemeji yangu kawapigia TANDAO FULANI kwa simu ya kwangu ambayo yamezani na kuwalaghai password na huo mtandao waka reset password na kaweka mpya kisha kaamisha fedha zote. Mimi nipo mbali ila kuna mtu kanitonya,sasa nikawapigia (HUO MTANDAO) kwa namba nyingine ninayo tumia...
  14. JamiiForums Tanzania Noamba msaada na ushauri ndugu zangu

    Habari, wakuu, naomba ushauri kwa jambo langu, hapa ambalo naona linaenda kutokea hivi karibuni, Nimeajiliwa sehemu flan nafanya kazi, nimeajiriwa, toka mwaka 2016, had leo hii Maisha yako safi tu, sasa nimefanya kazi kwa, muda 2016-2022 kwa malipo ya mshahara, Tukaingia 2023 tukaweka...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliniambia kuwa hizi dola trillion 2.6 ambazo Afrika ilipokea kama msaada tokea mwaka 1960 ndizo zilizo changia Afrika kuwa ya kiduanzi zaidi

    Picha imejitosheleza maelezo
  16. JamiiForums Tanzania Merry Patrick Daniel afariki Dar es Salaam, Ndugu zake wanatafutwa

    Merry Patrick Daniel, ambaye kwa mujibu wa taarifa zilizopo amefariki dunia na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, Dar es Salaam, aliwahi kusema akiwa hai kwamba yeye ni mwenyeji wa Arusha. Hata hivyo, bado haijafahamika alikuwa akishi au anatokea eneo gani ndani ya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

    Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta. 1.Nachukiwa bila sababu kazini 2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima 3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama...
  18. JamiiForums Tanzania JF MSAADA KUHUSU UZI WA STORY ZA MAISHA YA MOSHA JAMAA ALIPATA ULEMAVU NAUTAFUTA MSAADA NIUPATE.

    Habari wadau, Naomba nipate uzi wa yule jamaa aliepata changamoto ya ajali akivunjika uti wa mgongo akiwa Chuo Mweka Moshi jina lake simfahamu msaada wakuu niupate ule uzi niweze kusoma msaada nilishia katikati sijaumaliza Admin JF nisaidie...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada nautafuta uzi siupati.???

    Habari wakuu, Kuna uzi unahusu jamaa alipata changamoti ya uti wa mgongo alisoma Chuo cha Mwika akapata accident akiwa chuo uko Mwika moshi ndo ikawa mazima changamoto ya uti wa mgongo naitafuta sana uwo uzi msaada...
  20. JamiiForums Tanzania Zai kama upo humu JF natumaini ulipata msaada ambao ulikuwa unahitaji. Sikuwahi kujua kuwa mwanaume anaweza mkimbia mwanamke sababu ya kutaka sex sana

    Kama ni pepo, kama ni high libido , kama ni tabia tu unajua mwenyewe aisee ila haukuwa wa kawaida. Kilichonichosha ni wewe kupendelea kutumia sex toys nikuchomeke kwenye jagina na MAKEBO yako huku nikiwa nakufanyia romance. Kila fikra iliomo kichwani mwako ni ngono na kila hamasa ya kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…