Haujambo mwana Jf? Mimi ni mzima buheri wa afya, namshukuru Mungu kwa ulinzi wake na kunipa uhai mpaka sasa. Moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo.
Tangu kifo cha Rais wa awamu ya Tano , Hay. Dkt. John P. Magufuli, kama taifa tumepita kipindi kigumu sana hasa kwenye katiba yetu. Katiba yetu...