Pamoja na kuwa Mama Samia anaweza kuwa anayo nia njema na ya dhati kuhusiana na haki, uhuru na usawa wa watu, kizingiti kitaendelea kuwa wale wahafidhina wanaomzunguka.
CCM hao watakuwa ndiyo walio waasisi wa ile salamu yetu pendwa ya "Kazi Iendelee" na hata kile kidokezo chetu cha "JPM =...