Aliyekuwa mpiga picha wa New Habari (2006) Ltd iliyokuwa ikizalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba, Silvan Kiwale, amefariki dunia Jumatatu, Novemba 16, 2026, mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, baada ya kupata ajali ya bajaji.
Kiwale, aliyewahi kufanya kazi katika vyombo mbalimbali...