Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki kuingiza milioni tatu ilikuwa kawaida na angeweza kuvuna kila wiki kwa miezi mitatu.
Mimi zao langu...
Habari, Nimekua na mahusiano na huyu binti kwa muda wa miaka mitatu sasa ila jana ameniambia maneno ambayoa yamenifikirisha sana na kunifanya nisipate usingizi jana.
Jana jmos asubuh tuliongea akanambia amenimiss ananihitaj niende kwake ila kutokana na majukumu ya kikazi nikamwambia sitoweza...
Habari wakuu.
Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare...
Ndugu zangu hali niliyonayo sasa naona sio nzuri, kama nilivyowaambia hapo kwenye juu kama kutakuwa kuna mwenye mbinu mpya anipe.
Nimekuwa na mwanamke wangu ambaye kiukweli nilidhani mi napenda mapenzi lakini niligundua mimi sipendi mpaka nilipokutana naye huyo.Eeh bhana yule mwanamke anapenda...
Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢
Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi)
Nishaurini jmn....😟😟
Naamini mko poa wajuba,,, issue iko hv,, mda si mrefu nilikuwa na mpenzi wangu tunapiga story za hapa na pale na nikiri tu kuwa huyu Demu nampenda kinoumah na siwezi maliza siku bila kuhitaji nikutane nae tupige stori.
Sasa tumepiga story na story zikafika tamati, nikaamua nimsogelee kifuani...
Siku za nyuma niliandika kisa cha mapenzi na safari yangu ya kuanza maisha upya ndani ya mkoa mpya.
Update: nilipo fika mkoa X mambo yangu kwakweli hayajaenda vizuri kama ilivyo kua matarajio yangu lakini napambana kwakua najua nilikotoka nimemuacha mpenzi wangu anaishi kwangu gettoni.
Siku ya...
Nimebahatika kuwa na mtoto na mwanamke niliyekua naye awali lakini hatukuweza kuendelea na mahusiano yale. Mtoto anasoma madarasa ya chini na nmemchukua kukaa naye na kwa sasa nina mwanamke tuna mwaka mmoja pamoja na ambaye tuna matarajio ya kusogea hatua za mbali ikiwemo kufunga ndoa...
Nyota wa Bongo Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefunguka kuhusu utata uliozingira kuzaliwa kwa binti yake Zulekha Nasra.
Alipokuwa anafafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo zilizo kwenye albamu yake ya pili 'High School' hivi majuzi, mwanamuziki huyo alifichua kwamba kuzaliwa kwa...
Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila unfortunately ndio only mpenzi nilidate nae kwa muda mchache.
Ni mrembo haswa na ana self...
Hivi ukiwa na mpenzi unakuta mmepanga mambo mengi saana lakini unaona mwenza wako!
Kama haelekei hivi umepanga kumuoa, unamchunga ili mabaharia wasje vuta waya yeye hapndezew kuchungwa anasma yeye akiwa bado hajaolewa ni wa wotee kwahyo niache kumchunga kam nikiona hahatulia ni ruksa...
Habari wana JF
Hapa nimebakia njia panda muda huu leo baada ya kumpigia mpenzi wangu simu! Ambaye tulipendana saaana, siku za nyuma hapo tulikosana lakini tukapatana tena maisha yakasonga leo hii nimempigia simu ananijibu majibu ya mkato sana. Nikituma sms anajibu kwa mikato nikimuulza shida...
Hii ni wiki Sasa jaman nimekuwa nikipokea txt za I miss you , uko wap sikuhiz , njoo kwangu
Hizo zote nimeogopa kujibu kwasababu nimehisi ananitaka kimapenzi na mengine naona Hata haibu kuandika humu, lakini naomba ushauri je nipite nae jaman au nifanyeje?
Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..
Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?
Heshima zenu wadau wa jukwaa hili.
Juzi niliandika thread iliyo kwenda na title ya uliwezaje kuachana na mpenzi wako uliye mpenda baada ya kutoa kisa Changu na kusikiliza maoni ya wadau kupitia comment.
Shida yangu ni moja guys, Kuna mishe nataka kwenda kupiga mkoa tofauti na niliopo na kwa...
Nimemkuta huyu mpenzi wangu akiwa na mtoto mmoja na sasa ni kipindi cha miaka saba sasa.
Cha ajabu tulitumia miaka mitatu tulikuwa tunafanya kila kitu lakini aligoma kabisa kusex na mimi.
Tulikuwa tunaenda chumbani au tunakaa kwenye gari tunafanya kila kitu ila ukimwambia msex hataki kabisa...
Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata mwanaume lakini yeye hataki na hayupo tiyali kuhama roma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.