mpango

  1. Pudental

    Nani yupo nyuma ya mpango wa sakata la CWT??

    Tarehe 25-05-2026 Viongozi waandamizi(wakuu) wa chama cha walimu Tanzania yaan kuanzia Raisi wa chama,katibu mkuu pamoja na muweka hazina Taifa ikiwa ni sambamba na viongozi waliopita (Rais na katibu mkuu wake) walifikishwa mahakaman na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumu na matumizi mabaya ya...
  2. Mshana Jr

    Mpasuko wa Ndani: Jinsi Kitchen Party Gala na Vikao vya Wanaume Vinavyotumika Kama Mpango wa Siri wa Kusambaratisha Mshikamano wa Familia

    Taifa linaelekea wapi? Hivi hatuna watu wenye akili, hekima, busara, tafakuri na maono ya kukemea haya mambo? Tunataka tuwarithishe nini watoto wetu? Mshikamano au utengano? Hivi tunajua madhara yake kiroho na kijamii? Hivi mpaka viongozi wa kidini hawaoni kwamba nyuma ya pazia la sherehe za...
  3. Best home tutor

    Nini mpango wa serikali kuthibiti hoja zenye kuleta mgawanyiko hasa kutoka kwa Zanzibar?

    Salama. Imekua too much sasa maana imefika hatua haiwezi kuvumilika hasa kauli za viongozi kutoka Zanzibar Mwanzo walisema wawafurushe watu wanaofanya kazi mahotelini ambao sio wazanzibar Leo tena kama sio mzanzibar hautatibiwa bure Sasa hizi kauli zisipothibitiwa zinaongeza uhasama na...
  4. Gulio Blog

    Kwa mujibu wa Biblia, kufa chini ya miaka chini 70 sio mpango wa Mungu

    Habari wadau Kwa wakristo waliompokea Yesu kama neno linavyosema kwamba kufa chini ya 70 inaonekana sio mpenzi ya Mungu hasa maisha ya sasa ambayo RIP ZA vijana zimekuwa nyingi sana Karibu tujadili
  5. S

    DOKEZO Serikali itaanza lini utekelezaji mpango wa mabasi maalum ya wanafunzi? Wanaathirika na gharama baada ya mafuta kupanda bei

    Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
  6. Echolima1

    Mpango wa Amani na Iran huenda Israel ikasimama Kivyake

    Baada ya Trump kutangaza kuwa wako karibu kufikia Muafaka na Magaidi ya Serikali ya Mapinduzi ya Iran, Israel kuna uwezekano mkubwa wakashindwa kukubaliana na makubaliano dhaifu yanayokwenda kutiwa saini na Trump na magaidi hao wa Iran. Mpaka asubuhi hii hakuna tamko rasmi kutoka serikali ya...
  7. October 2pm

    Mpango wenu kumtoa Mafwere kafara na wenzake wanne hatuukubali

    Hehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali. Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo...
  8. M

    Ulega: Kwa ajili ya AFCON, kuna mpango wa kuweka Taa za Barabarani Dar na Arusha za Bilioni 40

    Tutajenga na kuweka Barabara nyingi Taa za barabarani kwa ajili ya maandalizi ya AFCONMkwa mfano hii Dar na Arusha tu peke yake matarajio yetu ni taa za karibu Bilioni 40, na hii ni mipango tu, na hii itafanikiwa kwa kupitishiwa bajeti hapa bungeni. Hii ndiyo Mipango ya Wizara ya Ujenzi...
  9. Crocodiletooth

    Ufanyike mpango ili tuwe tunajisajili na mitandao yetu kwa kutumia IDs za NIDA.

    Hili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania, Thank...
  10. Stability

    Ongezeko na video za shughuli za wadada kushereheshwa na mashoga sio ishu ya bahati mbaya, ni mpango mzima wa kudhalilisha uanaume halisia.

    Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake. Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
  11. Zack Abdul

    Mpango wa Maji 2026/2027: Mikakati

    MPANGO WA KUIMARISHA VYANZO VYA MAJI NCHINI Katika mwaka 2026/2027, Wizara ya Maji imepanga kujenga na kukarabati mabwawa 33, kubuni mabwawa mapya 34, pamoja na kufanya tathmini ya athari za kimazingira kwa mabwawa mawili. Aidha, itachimba visima virefu 300, kuhamasisha wananchi kuvuna maji ya...
  12. Stability

    Tila tila ndio mpango mzima kwa wadada sasa hivi, kila mmoja wao anapenda kuwa nayo

    Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
  13. Lycaon pictus

    Huu mpango wa Dangote kujenga refinery East Africa umekaaje?

  14. DogoWaNjombe

    DOKEZO Responded Mpango wa Serikali kuendeleza upya maeneo ya Sinza unahitaji uwazi na uwajibikaji

    Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na kuwepo kwa viashiria vya shinikizo na ukosefu wa uwazi. Kwa muda sasa, wananchi wa Sinza tumekuwa...
  15. M

    Madiwani Tunduru wapinga mpango wa Rais Samia kubana matumizi hasa kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa. Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo. Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
  16. Lycaon pictus

    Kuna mpango wa kutumia bomba la TAZAMA kusafirisha mafuta humu nchini?

    Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili...
  17. M

    Salma Kikwete: Majaliwa hakutimiza ahadi ya kujenga barabara ya lami, Serikali ina mpango gani?

    Salma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5? Serikali: Kwanza...
  18. Ritz

    Iran yasema Marekani inakubali mpango wa pointi 10 wa kukomesha vita

    Wanaukumbi. Iran ilisema mapema Jumatano kwamba Marekani "kimsingi" imekubali pendekezo la pointi 10 linalolenga kukomesha vita, kulingana na ripoti za mtandao wa Utangazaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) unaoendeshwa na serikali. Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran lilisema katika...
  19. Funny boe

    JF tuanzishe mpango wa kuwapa au kuwatafutia kazi za kufanya. Sasa inakuaje mtu yupo online JF masaa yote 24/7. Kazi anafanya saa ngapi?

    Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja chafya ngumu min -me
  20. N

    Mpango na mikakati ya maendeleo ifike hatua ione aibu. Wizara, wabunge! CCM oneni aibu!

    Wakuu sijawah kuongelea siasa, wala kutanabai uwezo wa viongoz wa CCM kutawala nchi na kuzitapanya kama si kuzibananga rasilimal za nchi kwa maslah yao binafsi. Ila kwa hili naomba niliseme tu! Kusini maenedleo hali sio nzuri, uchawi uchawi! Kila Ng'anya basi N'ganya, viongoz wanaotoka kule...
Back
Top Bottom