mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

    Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi...
  2. JamiiForums Tanzania Balance ya maendeleo ikikosekana Dar itakuwa kimbilio la kila mtu mpaka wasio na ajira

    Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar. Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
  3. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanya jambo gani la hovyo mpaka ukajutia?

    Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
  4. JamiiForums Tanzania Mtuelewe tuna nia nzuri tu, tutauana hivi mpaka lini?

    Bodaboda ndio chanzo cha uzi huu. Hawana za kuendesha hivi vyombo. Reckless driving. Wanakunywa, wanavuta mavi ya ng'ombe. Hawa usalama barabarani wana nini lakini? Ni mara ngapi mnaambiwa mtafute mbinu hamuelewi? Ni vyombo muhimu but why you people are dumb?! Mtuelewe tuna nia nzuri tu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

    Napenda kila mtu ajuwe Kiongozi ni mwanadam kama sisi ila sote hatuwezi kuwa viongoz nilazima mtu mmoja asimame kwa niaba ya wengine kwa mataifa ya Dunia ya kwanza nafasi nyeti za kitaifa kuzipata unapita ktk moto na mara nyingi Huwa ni elite people wanapata hizo nafasi. Wenzetu wana angalia...
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu hawamiliki magari? Huo si uchizi?

    Yaani inakera hivi kweli mtu mpaka leo Hamiliki magari au Gari? Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama kinoma yaani kutomili Gari miaka hii huo ni ukora na uchizi kupitiliza. Yaani mimi sihangaiki kupiga stories na mtu ambaye...
  7. JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

    Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them. Ili...
  8. JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu wanatumia Tecno na Infinix

    Enyi watu badilikeni basi inakuaje mpaka leo kuna watu wanatumia tecno? Kuna jamaa mmoja nimepishana nae njiani eti linatumia tecno aisee nilishikwa na kichefuchefu nusura nitapike yaani jinsi nilivyokerekwa na kuchukia baada kumuona linatumia tecno hebu badilikeni. Yaani mimi nikimuona mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa yale ambayo ameyafanya Rais mpaka sasa anafaa kupongezwa sana

    Tufikie hatua tuweke pembeni tofauti zetu. Naona kuna mwanga mkubwa mbeleni kwa mwenendo ambao unaonekana kwa matendo ya Rais. Ni Rais mchapa kazi na ana nia ya dhati ya kufanya kazi na watanzania wote. Naamini akiendelea hivi kuna siku tutakuwa na nchi nzuri huko mbeleni. Hili la kuruhusu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania ILE TIMU ISIYOKUWA NA PESA MPAKA MABASI YAKE KUSHIKWA KUWEKA KAMBI DUBAI

    ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai. Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
  11. M

    JamiiForums Tanzania HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

    Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huku watumishi wengi wakipata nyongeza ya chini ya elfu 70 kuna watumishi wameongezewa mshahara mpaka 90% ya mshahara wao

    Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee. Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
  13. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  14. JamiiForums Tanzania Mpaka mwanamke aharibu, basi nyuma yake kuna mwanaume/wanaume walishaharibu

    NB.. siandiki haya Kwa sababu labda nawapendelea Wanawake , au natafuta Wanawake, la Hashaa, Nina Mke na nina Wanawake zangu Kadhaa huku nje tunasogeza life bila stress !!. Turudi kwenye Mada,. Unajua tangu ulimwengu kuumbwa, Mwanaume akapewa ,Ufalme, Uongozi ,Umiliki na Utawala Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania JamiiForums msaidieni Umughaka, kazi yake ilindwe na haki miliki

    Ninachofahamu kazi zote zinazotumwa na wanachama hapa jamvini ni mali ya JamiiForums. Kijana wa Kikurya UMUGHAKA ameonyesha kipaji na kipawa cha hali ya juu kwenye uandishi wa riwaya. Lakini hizi kazi zake zinalindwaje dhidi ya maharamia? UMUGHAKA aelekezwe BASATA na umuhimu wa kusajili kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Tuacheni kuwa Wanafiki kwahiyo tulisubiri mpaka Pele 'Akate Moto Mazima' ndiyo tumpambe kwa hii Misifa?

    Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini? Hakuna Kitu nachukia kama Unafiki. Na hasa hasa tabia hii tunayo Sisi Miafrika ila zaidi kabisa Sisi Mitandania...
  17. JamiiForums Tanzania Moto moto wamechokoza wenyewe, yani mpaka wajute, Yanga tunakiwasha

    Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine, Yaani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya Azam, yaani atakaye pata shida ni azam sio yanga, ebu imagine yanga...
  18. JamiiForums Tanzania Kweli Hali Ngumu mpaka Muda huu 0-0

    No Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
  19. JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu kwa hii pumzi maana tumeweza kufika mpaka leo tar 25/12/2022

    Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega. Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema...
  20. JamiiForums Tanzania CCM mtaogopa siasa za wazi hadi lini?

    CCM ni chama kikongwe kwa vyama vya ukombozi kusini mwa jangwa la sahara na Afrika kwa ujumla. Kilipaswa kuwa mfano bora kwa vyama vingine vya siasa kutokana na kuishi kwingi na kuona mengi. Ajabu ndicho chama kinacho ogopa siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini,kwa kulitambua hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…