mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katavi: DC Jamila asitisha zoezi la uwekezaji mpaka taratibu ziwekwe wazi

    Wananchi wa Kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamemgomea mwekezaji anayetaka kuwekeza katika maeneo ambayo yapo karibu na mto ambapo maeneo hayo ndio tegemeo la kuhifadhi chanzo cha maji ya mto huo. Bosco Chamtepa, Mwajuma Bashiri na Abel Mazuke wamesema...
  2. JamiiForums Tanzania GAZA: Tukiendelea kuwatia adabu mpaka wataondoka wenyewe

    Wapiganaji wa Al-Qassam (H@M@S)wakilenga wanajeshi 10 wa Israel waliojificha nyuma ya kifaru. Source TRT Source Aljazeera Pamoja na kusaidiwa na Nchi za Magharibi kubomoa maghorofa, kupiga mahospitali, mashule, kuuwa wasio na hatia, waandishi wa habari (Journalists), walimu, watoto, wamama...
  3. JamiiForums Tanzania Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

    Nimeanza kuamini kuwa inawezekana serikali nayo ipo nyuma ya hizi tetesi za hovyo hovyo zinazosumbua nchi. Kukaa kwake kimya kuhusu jambo linalomhusu Makamu wa Rais liliibua sintofahamu kubwa hadi alipojitokeza hadharani Kuanzia juzi tarehe 17 kumezuka taharuki mitandaoni ambapo wanaoeneza...
  4. JamiiForums Tanzania Usafiri wa Bunju mpaka Posta/Upanga

    Habari wana Jf, Je kuna mtu anatoa huduma ya usafiri kutoka Bunju au Boko kila J3 mpaka Ijumaa kuelekea Posta au Upanga??? If yes then gharama ya usafiri ikoje? Tusaidiane ili tuwahi makazini
  5. JamiiForums Tanzania HIVI INACHUKUA MDA GANI MPAKA UTAKE TENA

    Guys, ukiwa na girfriend wako uka do nae inatakuwa u do nae tena baada ya mda gani, maana huyu wangu namuomba kwa wiki mara 4 anasema nampleka sana na hata sijamuoa, nikioa si ndio atakuwa hafanyi kazi zingine ni kunipa tu. Ndio nawaza mda gan upite ili mtu asione uko na ugwadu sana
  6. JamiiForums Tanzania Kutoka kua Mfagiaji, Mdeki Choo cha kunuka cha walevi, Mlinzi binafsi mpaka Cheo kikubwa Ofisi kubwa yenye kiyoyozi

    Coming Soon Mods tuheshimiane msifute.. Mimi sio mwandishi na msimuliaji mzuri tuvumiliane,
  7. JamiiForums Tanzania Messi alimdhalilisha sana Ronaldo, ona hii Clip mpaka huruma 😄

    458KB Messi kawadhalilisha sana wachezaji 😄😄
  8. JamiiForums Tanzania Je, unajua ukiwa na Tsh elfu 30 tu unaruhusiwa kwenda kuomba escort ya polisi ikupeleke mpaka unapoenda?

    Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda . Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu, eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
  9. JamiiForums Tanzania Mfahamu Pata Seca: Kutoka kuwa Mbebesha Mimba mpaka Alama ya Ukombozi

    Habarini Wanajukwaa! Uzalishaji wa watumwa ulikuwa ni jambo la kawaida sana kutokea haswa kuanzia miaka ya 1619, jambo hili lililotokea huko Marekani, ambapo wamiliki wa watumwa wangezalisha Waafrika waliokuwa watumwa kwa madhumuni ya kuongeza thamani yao ya kiuchumi kama sehemu ya utendaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa vifo vya watu 17,997 vimeripotiwa Gaza, je HAMAS palikuwa na huu ulazima?

    Uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi ulikua na ulazima wowote? Hivi vifo vingeepukika, na bado wanaendelea kufa... The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks on the Gaza Strip has climbed to 17,997 since Oct. 7, the Health Ministry in the enclave said Sunday. Speaking at a press...
  11. B

    JamiiForums Tanzania WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

    Juzi kati nliingia chobiksi, katika harakati zangu za kusaka mbususu. Daah nlikutana mdada Mmoja huyo, alikuwa anajiuza barabarani halafu bei cheap, nilimla, yule mdada ana personality nzuri, ana tabasamu nzuri, nikashangaaa nkajisemea kweli humu duniani kuna uchawi, yani mdada kama yule...
  12. JamiiForums Tanzania Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

    Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo Na declare interest. Mimi ni mfuasi wa dini za jadi za kiafrika. 1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha) 2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani"...
  13. JamiiForums Tanzania Mugumu huwa hatuweki chumvi kwenye chakula mpaka tumalize kuzika

    Naaam, Msiba ukitokea katika jamii za watu wa Mugumu, basi hapo msibani watu watakula chakula kisichokuwa na chumvi mpaka siku marehemu atakapohifadhiwa ndio tutarudi kwenye utaratibu wa kawaida. Labda ikitokea mwili ukakaa mochwari miezi miwili, basi tutakula chakula miezi yote miwili bila...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu. Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya...
  15. JamiiForums Tanzania Waafrika kushindwa na wakoloni na kugeuzwa wakristo na waislam inasababishwa na weak civilization? Tumsikilize former Singapore PM Lee

    Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo. Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo. Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe fidia watanzania wanaopata madhara wakiwa wanahojiwa na polisi. Ni wangapi ni vilema mpaka sasa kwa kipigo ?

    Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu! Jeshi la polisi halina mbinu nyingine ya kipelelezi lazima watumie virungu? Interjensia inayosemwa kila siku...
  17. JamiiForums Tanzania Niagize samaki sato/sangara/dagaa wa kukaanga nikutumie mpaka ulipo kwa uaminifu

    Natumaini mmeamshwa salama. Karibuni mnitume samaki toka mwanza sangara, sato (wabichi au waliokaangwa) na dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi. Kwa wanaohitaji wabichi mara nyingi wanatumwa kwa ndege. Moja kwa moja mimi siuzi samaki direct ila natoa huduma ya kwenda kumnunulia mteja samaki au...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

    Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
  19. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

    Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama zisituingilie ndoa za kikristo, ni kifo ama usaliti ziwe sababu za kuvunja ndoa ama kuoa tena, adhabu ya kukiuka iwe kifungo cha maisha

    Ndoa tumekubaliana kufunga ya kikristo na tumekula kiapo ni mpaka kifo ama moja akisaliti, iweje tukimbilie mahakamani kuzivunja kwa sababu zilizo nje ya kiapo ? Nashangaa mahakama zinaingilia sana mambo ya dini za watu badala ya kuyaachia makanisa kusolve ndoa za kikristo. Sheria za kanisani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…