mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waarabu wa Sudan waapa hakuna kusitisha mapigano kwenye ramadhani, ni mdundano na kuuana na mpaka kieleweke

    Wote dini moja, tena ndugu ila wataingia kwenye mfungo wa ramadhani na kuteseka na njaa yake ilhali wakiendelea kuuana Senior Sudanese Armed Forces General Yasser al-Atta has said there will be no truce in Sudan during the Muslim holy month of Ramadan unless the Rapid Support Forces (RSF)...
  2. JamiiForums Tanzania Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

    Tumeshatoka huko. Huko ambako Rais anatenga muda wa kukutana na wananchi wachache na kuzungumza nao juu ya shida zao. Kwa wakati huo, hizo shida za wananchi zilipata afueni? Jibu ni hapana. Jana imetangazwa kwamba Bi. Kiguu na Njia [nasikia jana katua Nigeria huko]naye ataanza tena huo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Back up system (bila solar) yenye uwezo wa kurun 140 Watts kwa masaa 7 mpaka 10 maximum

    Kama kichwa kilivyojieleza, Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo. Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

    Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
  6. JamiiForums Tanzania Nilichomfanyia Bosi wangu hatakuja kusahau mpaka kifo chake

    Ilikuwa miaka kama 6 hivi iliyopita, watumishi wa kada yetu tulikuwa wachache, muda wa kazi au masaa ya kazi kwa wiki au mwezi yalikuwa mengi zaidi ya yale masaa ya shirika la kazi duniani. Hatukulipwa posho ya muda wa ziada (extra duty allowance). Tulikuwa tunafanya kazi mpaka unahisi homa...
  7. JamiiForums Tanzania APHFTA: Tutasitisha huduma za NHIF kuanzia saa sita usiku, wagonjwa mahututi tutawaongezea saa 48

    Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini mstari huu kwenye ramani ya Kenya umepinda, ilikuwa kwa nia gani?

  9. JamiiForums Tanzania Houth nao sasa hawashikiki. Meli zawaka moto na nyengine yazama. Saudia waachia kombora liende mpaka Eliot

    Kila siku zinavyokwenda mashambulizi ya Houth dhidi ya Israel na washirika wake yanazidi kupamba moto. Hali hiyo inaongeza mashaka juu ya uwezo na athari ya yale mashambulio ya kila mara yanayofanywa na meli za kivita za Marekani na Uiengereza. Meli kubwa ya mizigo iliyopigwa Jumatatu...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Financial freedom: Shilingi bilioni 1 inaweza kumfanya mtu mwenye nidhamu ya pesa aishi maisha standard mpaka 2060?

    Muhimu: thamani ya pesa inashuka kulingana na muda, shilingi 50 ya 2000 ilikuwa nauli ya daladala kwenda na kurudi lakini hauwezi fananisha na ya 2020 onayonunua pipi moja tu. Ikiwa mtu ana sifa hizi. Kashajenga umri miaka 35.... watoto wanne: first yupo la tano, second yupo la nne, third...
  11. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Jeshi la Israeli limeshikilia 70% ya Gaza

    Katika Vita Vya Israeli - Hamas, idadi ya magaidi waliouwawa yaelekea 10,000 kulinganisha na wanajeshi wa Israeli 236 toka vita ianze hiyo October, 30,2023. Huku 90% ya miundombinu ya Hamas ikiharibiwa huko Gaza. ........ The IDF now holds control over approximately 70% of Gaza, significantly...
  12. JamiiForums Tanzania Mwijaku: Nikifa nisizikwe mpaka Rais Samia aje kwenye msiba wangu kunizika

    Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika. Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake wa "X", "WOSIA-ikitokea nimetangualia mbele ya thki kabla ya Rais wetu Samia Tafadhali familia...
  13. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa tuna wajane wangapi wa viongozi?

    Hii mada imenifikirisha sana maana ule msemo wanaume tunawai kufa mapema ni kweli kabisa tena ukiwa na majukumu mazito ya kujenga familia mpaka nchi. R.I.P wote wasio viongozi na viongozi
  14. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  15. JamiiForums Tanzania Waimbaji wa Injili wamekosa Dira mpaka wamevamia content zetu za minyanduo ni hatari kwa Ukristo siku za usoni

    Ukristo wageuka dini huria, kila mtu afanya atakalo, uongozi wa kiroho umegeuka biashara. Content za minyanduo zavamiwa na waimbaji wa Injili. Dunia uwanja wa Fujo. Yes apewa character ya kunyanyua na kunyandua mchana kweupe Yesu mwamba anaelekezwa afanye kuwanyandua waimbaji. Toba Toba...
  16. JamiiForums Tanzania Misri waanza ujenzi wa ukuta mkubwa kwenye mpaka wa Rafah

    Wakimbizi ambao hawataamia kwenye kambi zinazojengwa na Israel, wameachiwa wajifie huko Rafah ============= Egypt is constructing a wall along its border with the Gaza Strip in Rafah, where 1.3 million civilians remain displaced as Israel clashes with Hamas terrorists, Egyptian officials told...
  17. JamiiForums Tanzania Mtu mpaka unakuja kuitwa muheshimiwa maghayo au Nyani Ngabu(PhD) unapitia Mengi sana

  18. JamiiForums Tanzania Naipenda Valentine Day mpaka naumwa mapenzi

    Habari, mnisamehe wapendwa nawapenda wote miamia. Yaani naipenda hii siku hadi naumwa mapenzi hapa nilipo nshapiga konyagi kubwa lao mbili nakula vibez kama zote. Ni mimi Baharia Wadiz
  19. B

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO na DAWASA mpaka mchukue roho zetu wakazi wa Mbezi Beach ndio mfurahi?

    Salaam kwenu wana JF, TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii dhulma mnatufanyia? Yaani hili fukuto ndani kukaa mateso nje huwezi kukaa mbu zikufanye chakula...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaniaminisha mwanamke aliye kwenye mahusiano huwezi kuchati mpaka saa nane usiku

    wakuu ni Adje. Mechi ya South Africa na Nigeria tulikuwa tunacheki mshkaj wetu mmoja akawa kuna demu anamfukuzia, sasa mpaka usiku mrefu anachat nae akawa anatuambia demu anasema yupo na mtu wake. Jamaa wangu mmoja akajibu hivi. Hakuna mwanamke aliyepo kwenye mahusiano na anaishi na mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…