mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. 7

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
  2. JamiiForums Tanzania Luhaga mpina alicheza kama Pele hasa bunge linavyoipakata Serikali

    Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand...
  3. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

    ni Chama Cha Mapinduzi CCM. Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana. Sera zake za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Makonda wananchi wa King'ori na Kikatiti watanyanyaswa mpaka lini

    Mh. Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda mabasi yanayotakiwa kwenda Kikatiti na King'ori maarufu km Covid hunyanyasa sana wananchi wanaoenda njia tajwa. Hqya magari vibao vinaonesha yanatakiwa yaende mpaka King"ori badala yake huishia Maji ya Chai. Latra mkoa wa Arusha ni bomu, wamelalamikiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi NASACO ingekuwepo mpaka leo haya ya bandari tungekuwa tunalalamika kweli

    Nafikiria nchi inavyokwenda mpaka unaweza kujiuliza hivi hii CCM iliyopo madarakani imeharibu vitu vingapi ambavyo vingekuwa msaada mkubwa leo. Hujuma zinazofanywa na ripoti za CAG zilishawahi kufanyiwa kazi? NASACO iliungua na ukawa mwisho wake...
  6. JamiiForums Tanzania Ndege iliyopotea iliyombeba makamu wa rais wa Malawi itatafutwa mpaka ipatikane

    Shughuli za utafutaji na uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyotoweka iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la kusini mwa Afrika alisema. Chilima, 51, alikuwa ndani ya ndege ya kijeshi na wengine tisa walioondoka Lilongwe, mji mkuu, saa 9.17...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa Mwanasiasa Bora Nchini Tundu Lissu ni Top in the List.

    Pamoja na kwamba tuna Siasa zenye mapungufu Afrika na Tanzania Pia bado tuna wanasiasa wenye nafuu kwa ubora. Japo pia tuna wanasiaaa wazuri ndani ya Tanzania lakini Tundu Lissu anaendelea kujitanabaisha kama Mwanasiasa Bora kwa wakati huu. TUndu Lissu pamoja na wanasiaaa wachache ndio ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

    Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na huenda ukiulizwa kuyasema, kwasababu ya muda na ufinyu wa platforms, usimalize kuyaorodhesha...
  9. JamiiForums Tanzania Nanunua google play console mpaka Tsh. Milioni 1

    Habari, nanunua google play console yenye zaidi ya mwaka bei 500,000 mpka 1M. ikiwa na live apps +sourcecode& keystore itapendeza zaidi
  10. JamiiForums Tanzania Tuko kanisani tunaandika majina ya maaduui zetu wachomwe moto tuma majina ya maaduiwasiwe mke ama mumeo la

    NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO VYAKO WEKA HAPAA NIWAANDIKE MUNGU ANASEMA ANAKWENDA KUPANDANA NA ADUI ZETU WANAOKUFANYA USISHIKE HELA...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kufumaniwa naye akanipenda mpaka leo hajali kama nina mke mwingine!

    Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi tu. Bhana ngoja nitoe stori yangu moja hivi. Mwaka 2018 nilikuwa Bukoba najishughulisha katika...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Kigoma pekee wanaulizwa sana utaifa wao kuliko mikoa mingine ya mipakani?

    Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani. Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hamas kafanya tena, amevuka mpaka wa Israel na Kushmbulia Camp ya Jeshi

    Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital...
  14. JamiiForums Tanzania Michuano ya AFCON ya 2025 imesogezwa mbele mpaka Januari 2026

    Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeahirisha rasmi michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na badala yake itafanyika Januari 2026. Uamuzi huu umefanywa ili kuepusha mgongano wa ratiba na Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, linalotarajiwa kuanza Juni 15 hadi Julai 13, 2025...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Hadithi ya kusikitisha na kufurahisha ya vijana wa Tanzania: Kutoka vijana walalamikaji mpaka watatuaji

    Hadithi ya kuhuzunisha Changamoto Za Vijana Tatizo la ajira kwa vijana ni kilio kilichokosa mfariji wa kudumu. Japo kwa Afrika kilio cha ajira machozi yake ni damu Tanzania Vijana wanaongezeka na tatizo linaendela kukua uku wazazi wengi ambao walifurahia ujio wa watotot wao kwa kuwapa majina...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kivule mpaka Msongola. Bajeti ni milioni 5 na kisipungue sqm 300

    Habari wadau. Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola. Bajeti yangu ni milioni 5. Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru. Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake. Pesa ipo mfuko wa shati
  17. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

    - Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa makubaliano ya siri yalowekwa na raisi wa Msumbiji, Felipe Nyusi, na raisi wa Rwanda, Paul Kagame...
  18. JamiiForums Tanzania Siri ya mkopo wa Korea kwa Tanzania mpaka 2070

    Mkopo Tanzania uliopata huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama wasio-wazalendo wanavyopotosha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

    Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

    Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…