mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nimelala na wanawake 73 kutoka mwaka 2017 mpaka 2024

    Habari wana MMU, Poleni na majukumu ya kila siku, Ipo hivi mimi ni kijana 24 yrs old. Nimelala nimefanya mapenzi na wanawake wengi sana niliowazidi umri, walionizidi umri, agemates. Sikuishia hapo nimekula wake za watu pia mke wa braza nilimla kipindi niko form six. Ila nilichogundua kila...
  3. JamiiForums Tanzania Nimesoma Mpaka nimesahau afu Utumishi wamegoma kutoa pdf

    Ninesomea Ualimu Shule za msingi nakuhitimu 2019. Nimesoma kujiandaa na usahili mpaka nimesahau Mwezi uliopita nilisoma nini. Imegeuka adhabu utumishi kama hamkuwa mmejiandaa mngeacha tuu.nilijua usahili ungekuwa Mwezi uliopita September ndîo mahana nikajaza Dodoma kwani ndîo nilipo. Wiki ijayo...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu ni uchaguzi au ni kiini macho tu? Toka 1995 mpaka 2025.( Miaka 30)

    Tume ya uchaguzi ipo chini ya CHAMA x Mwenye kiti wa tume ni mteule wa CHAMA x Wasimamizi wa uchaguzi ni wajumbe wa CHAMA x Polisi wanaosimamia uchaguzi ni wa CHAMA x Usalama wa taifa upo upande wa CHAMA x Bajeti ya uchaguzi inatolewa na CHAMA x Vifaaa na vyombo vya usafiri kwa ajili ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mitano tena kwa Rais Samia Suluhu

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameonyesha sifa kadhaa ambazo zinaonekana kufanana na sifa za rais bora: Uadilifu: Rais Samia ameonekana kujitahidi kufuata maadili ya uongozi na kutoa kipaumbele kwa maslahi ya umma. Uongozi bora: Tangu kushika madaraka, Rais Samia ameonyesha uongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Baada yakujifungua miguu ikaanza kumuuma mpaka sasa!

    Ni mwezi wa nne sasa toka ajifungue baada ya kama wiki moja miguu ikaanza kumuuma, jitihada za kumpeleka hospital zikafanyika akapimwa nakuandikiwa dozi,katumia zaidi ya mara moja kapatiwa dawa mpk na daktari wa maswala ya wanawake wajawazito na waliojifungua!. kuna muda alipata nafuu mpk...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

    Wakuu, Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo? Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

    Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko. Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka...
  10. JamiiForums Tanzania Toka nakua na mpaka sasa sioni faida ya Mwenge wa Uhuru

    Kwa vyovyote vile nitakuwa wa mwisho na wakwanza kuajua faida za mwenge. Sioni faida wala umhimu wa huu mwenge kuwepo, mwenge umekuwa na karaha pale unapoenda sehemu yeyote. Kuna siku nimeitwa na mkuu wa Wilaya, wilaya flani akisema nitoe mchango wa mwenge nikamwambia mwenge unabajeti yake...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

    Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa Kwa Sasa sababu...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani ladai limetungua Makombora ya Iran, inadaiwa mpaka sasa hakuna Madhara yaliyoripotiwa

    US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official. The US currently has three guided-missile destroyers operating in the eastern Mediterranean: USS Arleigh Burke, USS Cole, and USS Bulkeley. US...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Adonai uwalinde wanajeshi wanaofanya kazi kutoka mpaka wa Lebanon mpaka jangwa la Misri ili kuwapiga adui zao

    Wadau hamjamboni nyote? Hii ndiyo sala maalumu kabisa ya kimapokeo inayomsihi na kumuomba Adonai awalinde na kuwapa ushindi Wana Israel wanaokwenda vitani kupambana na magaidi ya Hezbollah huko Lebanon. Adonai uwalinde wanajeshi wanaofanya kazi kutoka mpaka wa Lebanoni mpaka jangwa la Misri...
  14. JamiiForums Tanzania Member wa JF “Tumia Akili” alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu na kikatokeaa kweli. Mpaka leo naendelea kushangaa!!

    Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili” Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea. Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu wenzetu walivyo na uwezo usio wa kawaida!
  15. JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi wenye umri wa miaka 35 mpaka 37 ndoa zao zimevunjika nyingine zipo ICU

    Kama mada inavyojieleza Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
  16. JamiiForums Tanzania SACCOS kubwa zaidi Tanzania mpaka Disemba 2023

    1.Ngome SACCOS - Bilioni 150.84 2. URA SACCOS – Bilioni 136.43 3. TRA SACCOS- Bilioni 88.64 4. TANESCO SACCOS- Bilioni 71.53 5. ELCT ND SACCOS- Bilioni30.35 6. TPS SACCOS- Bilioni 30.09 7. Hazina SACCOS- Bilioni 28.29 8. Bandarini SACCOS- Bilioni 22.58 9. JKT Staff SACCOS- Bilioni 18.51 10...
  17. JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja kabla Hassan Nasrallah aliwaonya Hezbollah kutotumia simu

    Hezbollah walikuwa wakitumia simu kwa mawasiliano yao. Hassan Nasrallah akawaonya Hezbollah kutotumia simu kwani kuna ueezakano simu hizo zikawa compromised na Israel. Baada ya onyo hilo ndiyo wakahamia kwenye pagers (hutumika kwa text tu) na walkie-talkie (hii ni two ways radio hutumika...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe huyu Kiwi historia yake ni toka mwaka 1886 mpaka leo Brand yake haijashuka

    Wakuu za muda huu; Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini. Picha hapo chini zinajieleza. NB: Kwa yeyote anayejua maana ya KIWI naomba utiririke kwenye comment hapa chini.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  20. JamiiForums Tanzania Wadau mpaka leo manzi hajazaa...

    Iko hivi,kaona p mara ya mwisho December 04 kafanya mapenzi tarehe 17 anadai kapata mimba,ila mpaka saiz hajazaaa wataalamu hakuna kitu kizito hapaaaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…