mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini biashara ya kitumwa ilichelewa kuharamishwa nchi za kiarabu na mpaka sasa inaendelea kimagendo ?

    Uingereza - 1833 Ufaransa - 1848 Marekani - 1865 Saudi Arabia na Yemen 1962, Oman 1970 Mauritania 1981 Hadi leo Biashara hizi zinaendelea kimagendo -Libya -Western Sahara Kwa nchi kama Saudi Arabia mpaka leo kuna unyanyasaji unaendelea kama kuporwa paspoti, vipigo, kubakwa, kulalishwa njaa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, wana Simba SC Wenzangu mpaka hapa bado tu hatujajua Wasaliti wetu kwa Wachezaji na Uthibitisho kuwa Tunafungwa nao kwa mengi ya Nje ya Uwanja?

    NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC "Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule. Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali imeshindwa kukanusha madai kuwa inawaondoa Wamasai ili ardhi yao apewe Mwarabu

    Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu? Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua. CCM must go!
  4. JamiiForums Tanzania Vyuo vya tanzania havina uwezo wa utanuzi wa mawazo mpaka kwa wanao wafundisha

    Vijana wamemaliza vyuo lakini ukiwangalia ni kama wameingia chuo kujifunza. Nina kijana kasomea IT mtoto wa ndugu yangu yani hakuna lolote kama kazubaa. Mwengine jirani yangu kasomea uhasibu hakuna la maana kwenye ofisi ni shot kwenda mbele.
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: DP world hawakupewa bandari za Tanganyika bure. Nakataa

    Tanzania raha sana, matukio ni mengi, na watu wanakwenda na matukio. Tukio moja lina trend wiki 2 , mwezi, miezi 3 na kubwa sana linachukua miezi 4-6 kisha linazimika. Issue ya ukodishaji wa bandari za Tanganyika especially Dar es salaam port kwa DP world ilitrend kwa muda mwingi na sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Wasomi na vyuo haviaminiki ndomana Sasa hivi ajira mpaka interview (Usajili)

    @wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01. Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga raha sana kuanzia Kocha mpaka wachezaji wote wana furaha, tazama video hii

    Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi. Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji. Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi itakula goli nyingi sana pale Chamazi. . Makolozidadi endeleeni kununa.😛😛😛
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpaka sasa unaipa CHADEMA alama ngapi kisiasa kutokana na yanayoendelea?

    umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema? Je, uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango...
  9. JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakakushangaa kuwa na wewe kumbe umo ila huvumi.

    Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu? Mimi nakumbuka tulikuwa kidato cha nne, ilikuwa mchana , madam g alikuwa yuko darasani kwetu mkondo A, alikuwa mwalimu wa somo la...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

    Mpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali zinasema kuwa alikamatwa na jeshi la polisi. Wananchi mbalimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sana...
  11. JamiiForums Tanzania Naapa kutomkopesha Mtanzania hela mpaka naingia kaburini

    1. Mligo wa njombe 600000/= 2. Evodi wa kibaha 100000/= 3.Elibariki wa moshi kati ya 280000/= umenirudishia 15000/= 4. Dotto wa kibaigwa 45000/= 5. Mama Thadeo wa ilemela 68000/= Haya madeni yana miaka miwili na zaidi Mungu atanilipa. Ila mligo wa njombe ushapata adhabu yako hapahapa duniani...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

    Olympics Gold Medal tally Tanzania: 0 Kenya: 4 Ethiopia: 1 Uganda: 1 Burundi: 0 Rwanda:0 DRC: 0 S. Sudan: 0
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya awamu ya tano na hii ya sita. Ni ipi imeongoza kwa raia kutekwa na kupotezwa? Kumbukeni mpaka sasa Azory Gwanda hajaonekana

    Hii ilikuwa mwaka 2019. Mpaka leo hatujui alipo. Au ndio aliliwa na wanyama huko Katavi?
  14. JamiiForums Tanzania ENOKO: Duniani mpaka mbingu ya 10

    Ukisoma kwenye Biblia, ni watu wawili tu ndiyo ambao hawakuwahi kuonja mauti, nao ni Nabii Eliya na Enoko. Mungu hakutaka kuwaua, aliwatwaa na kuwapeleka mbinguni. Sasa kama ilivyo kwa manabii, wafalme wa zamani na watumishi wengine kuandika vitabu vyao, basi naye Enoko aliandika kitabu chake...
  15. JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa akili aliingia saluni na kujifuta kichwa na taulo kisha akaondoka

    Habari wakuu? Iko hivi kwa ufupi, Mimi sio muandishi mzuri Kuna saloon napenda kunyoa pande flani za Sakina Arusha(nimetaja jina Ili kama kuna Wana JF walioona wajazie nyama) Pale saloon tulikua watu watano kinyozi alikua akimnyoa dogo mmoja na sisi watatu tumekaa kwenye sofa huku tukisubiria...
  16. JamiiForums Tanzania Iran wabaguzi mpaka kwenye msiba

    Ona sasa msunni abaguliwa iran imegoma kumzika sunni katika ardhi ya shia hii deen ya haq changamoto sana. --- The Islamic regime didn’t allow for Ismail Haniyeh the Sunni to buried in Iran. The Shia’d shipped his body to Qatar. Spit in the face
  17. JamiiForums Tanzania Yanga Sports tatizo ni nini mpaka sasa?

    🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu? Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi. Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba. Na Walianza kuuza...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume mpaka wanazeeka hawajawahi kupendwa.

    We kama umetumia kigezo cha hela kumpata mwanamke wewe hujapendwa, umekubaliwa tu, kukubaliea si kupendwa. Kuna sisi, wazee wa love on the first sight , yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa, anakuelewa moja kwa moja, mambo ya pesa ni baadae hiko ndo uanaweza shtuka. Unatumia swaga vizuri...
  19. JamiiForums Tanzania Namba ipi ya jezi huwa unaipenda nje ya namba 1 mpaka namba 11?

    Mimi huwa napenda namba 39 na aliyefanya niikubali hii namba ni Toni Kroos wakati akiwa Bayern Munich. Wewe huwa unapenda ipi kubwa nje ya namba 1 mpaka 11?
  20. JamiiForums Tanzania Hiyi hali inatokana na nini nikiwa mbali nae hujikuta namuwazia sana mpaka roho inauma

    Wakuu nimepatikana hata kama Ni kupenda hiyi Ni too much Iko hivi Nina mpenzi nimezaa nae Mara ninaposafiri kuwa mbali na yeye zikipita siku tatu hujikuta namuwazia sana Na nikiendelea kujikausha nisimtafute hujikuta roho inaniuma sana Ila nikimtafuta tukaongea basi nakuwa na amani Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…