mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Wakuu habari za saivi Shida niliyonayo ni gari yangu haiziidi speed ya 40 na engine ina nguruma sio kawaida ninaomba idea zenu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kujifariji sana ni tatizo, utajifariji mpaka uongo

    WATU WANAOJIFARIJI SANA WANA HATARI YA KUBAKI WALIPO MAISHA YOTE. #Wale ambao kila kitu ni mpango wa Mungu hata kama ni uzembeo wao. #Wale ambao wanajipa matumaini ya kufanikiwa ilihali hawana juhudi zozote #Wale ambao wanajidanganya uongo wenye matumaini na kukwepa ukweli wenye uhalisia #...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaishi vipi na Mwanamke anayekupangia siku za kupiga shoo?

    Kwa zaidi ya miezi 5 nimepewa shoo mara tano wastani wa kila mwezi mara moja na hata shoo nikipewa inakuwa chini ya kiwango tofauti na muda tulikaa bila kufanya... najionea mauza uza.. Sasa basi na mimi nimepanga akinitaka yeye kama kawaida yake nimkazie mchezo tuone itakuwaje sijui nitajenga...
  4. JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA MAKONGO/DAKIKA 10 TUU MPAKA MLIMANI CITY/KIPO TAMBARARE NA JUU

    Kiwanja kinauzwa Makongo CCM Kilomita moja kutoka Makongo Road Kiwanja kina njia pande mbili/Conner Plot Kiwanja kipo juu tambarare Kiwanja kina SQM 1500+ Kiwanja kinauzwa Milioni 210 tu(maongezi yapo) Kiwanja kimezungukwa na nyumba za kisasa Dakika 10 upo Mlimani city ☎️+255 699 255 530 Beach...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

    Kwema wajumbe? Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home. Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni. Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi...
  6. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Mbowe isiyokuwa na agenda maalumu na kutomaanisha wanachosema inapendeza kuwa upinzani sio Tawala mpaka ijitambue

    Naendelea kusisitiza tu hoja zangu Kwamba Cdm ya Mbowe bado haimanishi kile inachisema Walilalmika JPm kutaka kujiongezea muda wa uongozi huku Mbowe akibadilisha kipengele Cha ukomo na kumiliki Cha kisiasa Kama kampuni yake halisi Walioinga ufisadi baadae wakampa uraisi waliyemuita fisadi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  8. JamiiForums Tanzania Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

    Majanga, na wao, wahala! Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria? Kwani wadada wa Tz wana shida gani? Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri Angalia current girl friend jamaan Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu...
  9. JamiiForums Tanzania Nilijua nimeona vyote mpaka pale nilipoona Msukuma amechora tattoo ya ugali

    Kweli tembea uone kila siku utaona mapya na hutoyamaliza mengine ya kuelimisha kuburudisha na kusisimua hakika dunian ni sehemu ambayo unapata full package kujifunza, kuburudika n.k Mchana mwema ndugu zanguni.
  10. JamiiForums Tanzania Watu 53 wamepotea kuanzia Agosti mosi mpaka Agosti 31, 2024

    Jumla ya watu 53 wamepotea kuanzia Agosti mosi mpaka Agosti 31 mwaka 2024, ambapo jumla hii ni kwa wale tu waliofika kwenye ofisi za ITV Mikocheni Dar es Salaam, na taarifa zao kutangazwa kupitia kipindi cha Yu...Wapi?. Mgawanyo ya Watu waliopotea Chini ya miaka 18 - 21 (Wanawake 8, Wanaume 13)...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa sasa usikubali kukamatwa na mtu yeyote hata kama anavielelezo ,na usikubali mtu akamatwe mbele yako pigana mpaka kufa hatuna Tena wa kumuamini ,

    Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa kusikojulikana ! Pigana kwa siraha zote uhai Hauna nyongeza sisi sote ni wazazi tuna watoto na wazazi...
  12. JamiiForums Tanzania Kazi imeanza mpaka wa Jordan na Israel.Walinzi watatu wa Israel wauawa.

    Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan. Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby Shooting attack at the West Bank-Jordan...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROAD Morogoro, Zebra ya Msamvu imefutika madereva wanatumia uzoefu kusimama Ili watu wavuke na mamlaka zimekaa kimya mpaka watu wagongwe?

    Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
  14. JamiiForums Tanzania Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

    Huyu Masai Hana muda sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4 . Diamond, Millard, Wema, Shilole na wengine hasipokuwa wabunifu anaenda kuwapita followers Kama upepo Je huyu ni nan? Ana mvuto gani mpaka aongoze...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mtu akakuita Mwanaume wa Dar es Salaam, jitahidi upigane mpaka ushinde hilo pambano

    Jiji hili limedumaza sana ujasiri ,ueledi na uanaume kwa ujumla . Kuna tukio nimekutana nalo nimewaza sana I stand to be corrected labda tukiwasema watabadilika .
  16. JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

    Habari ndugu zangu Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi...
  17. JamiiForums Tanzania Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024. CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Rais Samia yamenibubujisha Machozi ya furaha kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli. Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna...
  19. P

    JamiiForums Tanzania CCM kufanya Kikao cha Kamati Kuu Sep 1, 2024. Wamepata kisingizio cha kukimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu Star TV

    Wakuu, Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho. Kazi kwelikweli! === Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Series/movies tano na kukuletea mpaka ulipo

    kwa bei ya 3000 tu, uhitaji series au movies yoyote popote nitumie list ya movies/series unazohitaji kwa gharama ya 5 kwa 3000 tuu na kukuletea ndani ya dar es salaam. whatsapp: 0685068828
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…