mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dr Willbrod Slaa alikua sahihi na yuko sahihi mpaka kesho

    Wasalaam. Kufuatia kushupaza shingo kwa bwana mbowe na kuamua kugombea uenyekiti wa chadema licha ya familia yake na wazee wenye busara kumsihi asigombee nimekumbuka maneno ya Dr slaa aliposema mbowe na genge lake ni wachumia matumbo na hawapo pale kwa ajili ya kupigania haki, uhuru na...
  2. JamiiForums Tanzania Wasomi wanamageuzi wa nchii wapo wapi? Mpaka mtu aliyepata division 0 anaongza taasisi kubwa hivi miaka 20?

    Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.? Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ?? Nina mashaka...
  3. JamiiForums Tanzania Nitampigia Kampeni Lissu mpaka ashinde

    Baada ya Mh Mbowe kutangaza rasmi kuwa atagombea Uenyekiti wa chama, naahidi kumpigia kampeni Lissu mpaka ashinde. Na nikiona anafanyiwa figisu nitamshauri ajitoe awe mwanachama wa kawaida.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Sikumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na silaha mpaka za kuua, sasa nimuogope Lissu kwa lipi?

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha. Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi...
  5. JamiiForums Tanzania Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta? Mtoto wa Rais anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake?

    Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake. Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko...
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Mbowe ndo GOAT , Greatest of all time katika siasa za upinzani

    Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema. Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi. Linda heshima yako usikubali kudanganyika . Umri wako Heshima yako Financial status Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wenje kasuburi mpaka Lissu aliposema anaegombea nafasi ya makamu mwenyekiti ndio aliempleka Abdul nyumbani kwake ili amuhonge?

    Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya. Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako? Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri...
  8. JamiiForums Tanzania Unapomuomba namba mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake anakupotezea mpaka unajisemea

    Pale unapomuomba no mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake Anakupotezea mpaka unajisemea mimi ni wakupuuzwa hivi na mwanamke tu kweli 😀 Mwanamke akiwa anaenda au anatoka kwa mwanaume ampendaye ndugu yangu achana naye hatakusikiliza...
  9. JamiiForums Tanzania Wazo: Je, tunaweza kuifuta form six? Yaani Mwanafunzi akianza form one (Non-stop) aende mpaka form five, alafu anajiunga na chuo?

    Good Afternoon my dear brothers and sisters out there. Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo?? Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five. Karibu kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Je mtaji wa ml.8 unatosha kufuga layers 600 mpaka waanze kutaga?

    Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa hesabu, Kuna magari mangapi yaliyosajiliwa Plate Number A mpaka E?

    Kuanzia Plate number AAA mpaka E ya mwisho, kuna magari mangapi Hint: Kuna herufi za platenumber huwa zinarukwa
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimepita mitaa ya Lumumba, wamerelax baada ya mahasimu wao kuanza kutukanana wao kwa wao, mpango ni watukanane mpaka 2027

    Nimepita mitaa ya Lumumba, watu wanakuna vitambi tu huku wakipapasa vioo vyao vya simu kusoma jinsi watu wa Chadema wanavyovurumishiana matusi, kutupiana makopo, chupa na uchafu. Sasa inaangaliwa namna ya kuwafanya watukanane mpaka walau 2027
  13. JamiiForums Tanzania Mengi Yanasemwa Kuhusu Mbowe, Lakini Kuyaamini Mpaka Nitakapoona Amechukua Fomu.

    Mbowe aliahidi kuwa mwaka 2023 ungekuwa mwaka wake wa mwisho kuiongoza CHADEMA kama mwenyekiti wa chama. Wengi kama si wote, tuliunga mkono uamuzi wake huo maana kuwa kiongozi haimaanishi kukaa kwenye uongozi kwa miaka nenda rudi, bali kuwa na uwezo wa kuwatengeneza watu wengine kuwa viongozi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini baada ya miaka 20 bado CHADEMA wengi wanaona Mbowe hana mbadala?

    Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa. Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra. Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwaheri 2024, Karibu 2025, Matukio katika picha. Mpaka sasa kataa ndoa hana goli, mpinzani wake anaongoza kwa goli 3

    Hongera kwa Afande, Hivi kufuta hii kitu tena ukiwa umepiga magoti na mikono miwili tena kimahaba, huwa ina maanisha nini kwenye ulimwengu wa kiroho ? Hii picha nimeangaliaaaaa, nikawaaaza, nikaangalia tena, nikawaza. Jibu la haraka haraka likaja kwamba ndio champagne salute au inaiitwaje...
  16. M

    JamiiForums Tanzania STORI YANGU; Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na Mama yake!

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na mama yake

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  18. JamiiForums Tanzania Nani anajua nauli ya kutoka Kigamboni mpaka Kisiju

    Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua. Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie Ni issue muhimu sana Nimefanikiwa
  19. JamiiForums Tanzania Siku ilikuwa nzuri mpaka Kibu alipokuja iharibu

    Ilikuwa inaelekea mwisho mzuri. Huyu dogo Kibu Denis akaja iharibu mwishoni kabisa. Simba kutoa draw ingenifanya nifurahie sababu wote sisi tungekuwa hakuna wa kumcheka mwenzie. Lakini. Dk za jioni Kibu Denis anakuja kuipatia simba bao la ushindi. Sikupenda na sikufurahishwa. Ila nikubali...
  20. JamiiForums Tanzania Binti amegoma kukutana kimwili {sexy} mpaka aolewe

    Leo kabla ya Mechi ya Yanga Kuanza. Kuna mteja alikua anahitaji Bidhaa Fulani Tulipofikia Makubaliano ya Hiyo Bidhaa nikakubaliana nae kumfikishia anapoishi( deliver). Sasa Mara Baada ya Kufika, nikakutana na Mteja wangu, Tukaingiza mzigo ndani tukamkabizi mzigo wake. Akamuita Baby( Mpenzi )...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…