mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inaonyesha dunia kwa wanadamu zama zote mpaka kufikia hapa na maendeleo tulikuwa kama wanyama wanavyo ishi

    Kama kuna ukweli ambao dunia ingekuwa wanadamu wamezidi kuishi mwaka bilioni 1 moja tu ambayo wameishi wanyama na wengine wamekosa basi tungekuwa na mambo mengi. Siwezi kukubari kuwa mwanadamu alikuwa miaka ya bilioni zaidi ya wanyama. Ina maana kuwa kuna viumbe vilikuje hapa kutengeneza watu...
  2. JamiiForums Tanzania Simba uwanja wa elfu 15 mpaka sahivi bado hawajaujaza

    Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokono
  3. JamiiForums Tanzania ADUI YAKO MWOMBEE NJAA..NA ZNZ MNAFUNGWA NA BERKANE KUANZIA GOLI 2+ NIKO KWA SUGUYE NAOMBEA MAADUI ZANGU MPAKA SAA NNE HAPA NIMEANZA KUWAPASUA WATEKET

    MUNGU WA BABA YANGU SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA SIKU TATU MWISHO KESHO NASEMA HIVI TUNAHARIBU MAADUI ZETU WOTE TUNAKEMEA WASHINDWE LOLOTE...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

    Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa. Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani. Taasisi hiyo ni Open Society Foundation. Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa. Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena...
  5. JamiiForums Tanzania Wazo la JKt ni wazo la Uganda kipindi cha Amimi

    JKT imetengezwa kama livyo tengezwa uganda. Vita vya Kagera kuna vitabu vingi na mambo mengi ambayo yalifichwa sana. Ila Uganda kulibeba ukabira mpaka ukafikia sasa kudai udini. Mimi sio mzuri sana wa kuweka mambo mengi ila kisa cha Museveni na Sudani wa Al Bashuri ilikuwa ukabila na udini...
  6. JamiiForums Tanzania Raphinha tunatamba nae mpaka 2028

    Leo kaongeza mkataba WA kusalia Barcelona mpaka 2028
  7. JamiiForums Tanzania Video: CHAUMMA waimba wimbo wa CHADEMA mkutanoni Ubungo Plaza 'CHADEMA nitakulinda mpaka kufa'

    Wakuu Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa mkombozi aliyebaki wa nchi yetu ni mwananchi mzalendo

    Ndugu zangu kwa hali hii sasa ma papa wamejipanga kupeana vitengo wao kwa wao kwa mipango yao. Tayari wanataka waonyeshe kwamba kuna demokrasia kumbe ni hakuna kitu. Mwananchi wa kawaida kazi yake ni kulipa Kodi kuwalisha ma papa. Ukombozi wa nchi hii upo mikononi mwa WANANCHI wazalendo...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea mdaiwa wa HESLB hajawahi kuajiriwa mpaka maisha yake yote anazeeka lile deni inakuwaje?

    Naomba majibu wakuu kuna mtu wangu wa karibu hajawahi kuajiriwa huu mwaka wa 22.
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru nchini umepitiliza mipaka mpaka akina Heche wanatukana Polisi na Wanaharakati wakivuka mipaka kuja kuleta uchochezi nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  13. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpaka sasa Uchaguzi nchini 2025 sio huru na haki!

    Tundu Lissu ameshafanikiwa big time. Historia kashaiandika kwa kupitia kuelimisha UMMA kuhusu NRNE - a big move! Watoto wengi wa Chuoni wanaosoma Sheria na Utawala wameshapewa desa, limewaingia. Hakuna atakayebadilisha principles za muundo wa Tume Huru za Chaguzi zetu. Wameshaeleweshwa dosari...
  14. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  15. JamiiForums Tanzania Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?

    Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
  16. M

    JamiiForums Tanzania CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

    Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa? Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nimetafakari mpaka nimeogopa: nimeshindwa kukijua chanzo cha MUNGU na kule alikotokea, nimeogopa zaid kutokujua chanzo chake

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Leo nikiwa nimekaa nimetulia ndan, hii ni baada ya mvua kubwa kunyesha na kinikwamisha kwenda parokian, kanisan kusali Lakini mda huo ambao nikiwa nimekwama kwenda kanisani kwa sababu ya changamoto ya baraka ya mvua nikawa nawaza ivi MUNGU MWENYEZI alitokea...
  18. JamiiForums Tanzania Tunamuombea Ambaye alisema Yupo mpaka Yesu atakaporudi apate fursa ya kwenda kumsalimia kukidhi matarajio yake

    Maombi rasmi ni kwamba aendelee na dharau na kufuru wao wapo hadi siku ya ujio wa Yesu kristo.
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

    Sabato Njema! Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana. Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote. Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
  20. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa ina mawe mazuri ambayo yanaweza kujenga barabara na mitaro mpaka vijijini lakini tumeshindwa

    Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko. Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…