mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Agent wa kusafirisha mzigo toka UK mpaka TZ.

    Naweza kupata contacts za agent anbaye anasafirisha mizigo, pamoja na parcels toka UK kuja Dar. Awe na ofisi UK na Dar.
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa JF, mmekula mpaka mmevimbiwa!

    Ndugu zangu, nimefanya bidii mchana na usiku, kuwapa chakula kitamu mfululizo. Naona mmekula mpaka mmevimbiwa! Kwa sababu hiyo, naomba nisitishe tena kwa muda kuandika mada hapa JF, nipate nafasi ya kujiandaa kwenda kugawa chakula katika maeneo mengine ya dunia. Lakini kabla sijaondoka, nitakuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fursa za uchaguzi wa CCM toka asubuhi nimeuza Kangala mpaka nimechoka.

    Wajumbe ni watu wema sana. Leo wamekula mitungi acha kabisa tangu saa moja asubuhi. Wamenipigia kangala mixer na kitoko, ambiance, Kigogo na kila kilichopita mbele yao. Sasa hivi wapo hoi wanasubiri majibu. Kesho ndio nitaenda kufundisha vijana wenu.
  4. JamiiForums Tanzania CCM wamesahau kuwa waliunda mpaka bunge la Katiba?

    CCM wanaposema kuwa hakuna muda wa kurekebisha Katiba, wamesahau waliunda mpaka bunge la kurekebisha Katiba?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi ni waume za watu

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu. Nilipoingia darasa la sita, familia...
  6. JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna Watu wanamaslai yao, wamemzunguka Rais watatendelea kusema tena mpaka 2035

  7. JamiiForums Tanzania Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

    Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
  8. JamiiForums Tanzania Umenifanyia kitu gani mpaka sasa?

    Natumaini mko good maisha yanasonga,iv kwann wadada na wanawake wanapenda kuuliza ili swali "umenifanyia kitu gani mpaka sasa" kuna msichana nipo nae, kwenye mahusiano sasa tuna mwezi jana tumepishana kauli akaanza kuuliza ili swali ikabidi nimwambie kwaiyo upo na mimi ndo kuna lengo unataka...
  9. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima & Polepole watajificha mpaka lini?

    Watoke hadharan wahojiwe nn kinawaficha? Kama wanahofia usalama wao mahabusu zipo salama kabisa. Wanapata hifadhi
  10. JamiiForums Tanzania Petabytes 633 ndo kiwango cha data kilichotumika na wananchi 2024/2025. Lakini mpaka leo huna cha kuuza mtandaoni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Takwimu%20za%20Mawasiliano%20za%20Robo%20ya%20Mwaka%20Inayoishia%20Juni%202025_1752572004.pdf
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi na namna ilivyokuwa mpaka kufikia huko

    Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
  12. JamiiForums Tanzania Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

    Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu. Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Wastaafu huku mtaani wanalalamika mpaka leo ni Bilabila. Nini Kimetokea?

    Kwa wanaoelewa nini kimetokea maana Wastaafu mpaka leo 26.07.2025 kila wakichungulia vibubu vyao hawaoni kitu wakati kuanzia tarehe 20 vibubu vinakua tayari vimeshajaa. Nini kimetokea huko Hazina?
  14. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Mpaka Kati ya Thailand na Cambodia Uendelea kwa Siku ya Tatu

    Mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia umeingia siku ya tatu, huku pande zote mbili zikiendelea kurushiana risasi na silaha za moto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kwanchi hizo kujizuia kulipa mashumbulizi. Cambodia imeitaka Thailand “kusitisha mapigano mara moja”...
  15. JamiiForums Tanzania 45M MPAKA ROOFING 4BEDROOMS DESIGN NZURI NA KALI SANA FIT 20X20M PLOT CALL US +255624004650 KUPATA DESIGN NZURI NA UJENZI WA KIWANGO

    DESIGN YA VYUMBA 4 , 1. LOUNGE 2.DINNING & KITCHEN 3.2BEDROOMS SELF 4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM 5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM 6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA VERSATILE 45M TUNAPATIKANA SINZA PALESTINA CALL/WHATSAP +255624004650
  16. JamiiForums Tanzania Mke agoma kurudi hadi atumiwe Laki na nusu

    Ndoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele, Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi wakasuruhisha lakini mwanamke kagoma Rudi kwa jamaa mpaka ATUMIWE LAKI nanusu.. WAtoto kaachiwa jamaa...
  17. JamiiForums Tanzania Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

    Huwa na jiuliza. Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini? Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi. Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu. Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndio hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne...
  18. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kuwajengea uelewa wataalamu wa Tanzania na Burundi

    Serikali imesema kuwa, mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Burundi yanalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya wataalamu wa nchi hizo mbili. Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Julai 2025 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka leo mitaala ya elimu yetu ni ile wanasoma Bunsen burner

    Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu. Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tutasogeza tarehe mpaka uchaguzi uwe mdomoni. Game itakuwa Over

    Halula! Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…