mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Foleni Kimara Stop Over mpaka Suka - tarehe 16.08.2025

    Habari za jioni wakuu. Nimepita mida hii jioni leo tar 16.08.2025 mitaa hiyo ya Kimara Stop Over kuelekea Suka na kukuta kamba ndefu kiaina, lakini sababu leo ni gari dogo kuungua likiwa barabarani. Sijajua chanzo cha gari hilo aina ya Toyota Premio New Model kuwaka moto.
  2. JamiiForums Tanzania Kuna watu wenye Viburi wanaenda kushushwa mpaka chini, chini kabisa. Hawatainuka tena

    Sabato Njema! Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia kuwa sipaswi kuandika tena habari hizo wala sipaswi kuwabembeleza watu hao. Kwani wameamua...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia kumbe iliwafunga Kimyakimya Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Gerezani Kwa sababu tu Walihamasisha Ndugu zao wasikubali kuhamishwa

    Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita. Yaani ni...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga hawajapongeza ushindi wa Karia mpaka sasa - Simba na timu zingine zote wamempongeza Rais wa TFF kwa ushindi mnono

    Bango limejieleza hapo juu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu ni kuwashambulia Wakristo wote

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura? Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja Maaskofu...
  6. JamiiForums Tanzania Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

    Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Website sio mpaka uwe na kampuni, biashara unaweza kuwa na website kwaajili ya familia, watoto, wazazi, au hata yako mwenyewe.

    Wakuu, Habari! Watu wengi hufikiri kuwa na website ni kwa watu wenye biashara na makampuni tu… lakini si kweli! Unaweza kuwa na website kwaajili ya familia yako, watoto, wazazi, au hata wewe mwenyewe. Faida za kuwa na website yako: Hifadhi kumbukumbu zako: Picha, video, na mafaili mengine...
  8. JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Madini, Kiruswa: Hatutaondoka mpaka tuhakikishe watu wote 25 waliokwama chini wametoka salama

    Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku mmoja kati ya wanne waliookolewa, Emanuel Kija (27) akifariki dunia. Naibu Kiruswa ameyasema hayo jana...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
  11. JamiiForums Tanzania Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

    Kijasusi zinaitwa psyops. Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea. Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Namna nilivyoondoka nyumbani Kwa wazee mpaka kujitegemea

    Mnamo miaka kadhaa huko nyumba nilisoma sekondari nikiwa naishi Kwa ndgu. Sehemu ya makazi ya ndugu wale ninzaidi ya kilometa tatu. Nilivumilia mwaka mmoja mwaka wa pili nikahamia kwa Mzee ambaye tulikuwa na ukaribu upande wa mama. Tumuite Mzee Hasan, Mzee wangu huyu alikuwa akiishi peke yake...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kufanya kampeni ni lazima,kwa nini CCM wasisubiri tu mpaka siku ya uchaguzi watu wakawapigie kura

    Niseme kwanza sitoshiriki kupiga kura,lakini naona ni jinsi gani viongozi wanamatumizi mabaya ya pesa,hii gharama ya kuzunguka inchi nzima kwa msafara wa viongozi na wapambe CCM wanashindwa kukaa nyumbani kuokoa gharama halafu wajitokeze tu siku ya kupigiwa na kupiga kura,maana kwa hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  15. JamiiForums Tanzania Mambo ni mengi lakini mpaka sasa hakuna aliyeweza kuzifungua code

    Mambo yakiwa bado ni mengi katika jamuhuri ya watu wa giningi, gafla kunatokea tukio ambalo linaleta maneno na hisia nyingi kwa wanagingi Wengine wanasema jamaa alikua anajiandaa kuja na bonge la movie 🍿 ambalo lingetikisa tasinia ya movie industry katika jamuhuri ya watu wa Giningi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais anasikitika wananchi wanafurah hii Ina maana Gani kwa Rais, naomba wakamatwe wote mpaka tuzike ndo watoke rumande

    Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
  17. JamiiForums Tanzania Nikiongea nae anatabasamu tu bila kunijibu Chochote. Mpaka nilipoambiwa huyo ni Kiziwi, Hakusikii

    Wakuu, hivi ushawahi kukutana na mtu yuko poa sana ila tatizo lake ni moja tu hasikii. Mimi niimewahi kukutana na changamoto hii kama mara mbili hivi. Moja kuna Mama mmoja mtu mzima sana nilikua kila nikipita nyumbani kwake namkuta anashughulikia bustani yake ila kila nikipita nikimsalimia...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Namuona Samia Suluhu akitawala muhula wa 2025 mpaka 2030

    HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025 Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti Misimamo yangu sitakubali nafasi yeyote ile ya kupewa ķutoka serikalini iwe ni Ubunge wa kuteuliwa Ukuu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  20. C

    JamiiForums Tanzania Agent wa kusafirisha mzigo toka UK mpaka TZ.

    Naweza kupata contacts za agent anbaye anasafirisha mizigo, pamoja na parcels toka UK kuja Dar. Awe na ofisi UK na Dar.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…