mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama Mwenye nyumba wangu anafungulia redio mpaka mwisho NIFANYEJE ahame?

    Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇 Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar toeni mrija wekeni bomba la kunyonya mali za watanganyika maana tumelala sana na kusikia kwa kenge ni mpaka masikio yavuje damu.

    Kwa utajiri wote wa taifa hili, bado mnatumia mrija wa muungano kutunyonya? Ni muda wa kuvunja mrija na kuweka bomba (pipeline) la neema moja kwa moja kwenda Zanzibar Kwakuwa watanganyika wamekosa uzalendo wanapigia magoti pesa na vyeo kuzidi taifa lao hio tayari ni tiketi ya kuweka bomba...
  4. JamiiForums Tanzania Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa:Muendelezo

    Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu weusi kushtuliwa usiku. DMZ ni code ya kijasusi
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  6. JamiiForums Tanzania True Story: Kutoka kwenye kuongea kithembe na kuguguma guguma Mpaka kuwa Mwalimu Mahiri wa Kwaya

    TRUE STORY: KUTOKA KWENYE KUONGEA KITHEMBE NA KUGUGUMA GUGUMA MPAKA KUWA MWALIMU MAHIRI WA KWAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama kuna jambo unadhani huliwezi, nakuhakikishia unaliweza. Kama unadhani kuna jambo unalihitaji na umekata tamaa kulipata. Nakuhakikishia huja haja ya kukata...
  7. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Siku kumi zimepita, Yuko wapi Gwajima jasusi la mbinguni?

    Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa. Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Gaza kuna Hamas huku kwa Palestine kuna nani mpaka majumba yao yanavunjwa na miti yao inang'olewa

    Hawa watu ni waovu na wenye laana ya kudumu. Matendo yao ya uovu daima huwa yanavuka mpaka wa uovu unaofanywa na binadamu wengine.Na siku zote ni wadanganyifu sana. Wakishakudanganya wakapata kidogo kutoka kwako wataendelea kukudai kilichobaki kidogo kidogo mpaka wakumalize uwe kama mtumwa wao...
  9. JamiiForums Tanzania Je hapa ccm haijamwaga OIL? AU MPAKA ABADILISHWE RAIS NDO KUMWAGA OIL?POLEPOLE NIJIBU.

    Ccm imebadili Katibu mkuu, imebadili Katibu MWENYEZI, imebadili Makamu Mwenyekiti Bara Je Bado haijamwaga oili mpaka ABADILISHWE Samia ndo.kumwagwa kwa oil kumefanyika Sawa sawa? Pole pole nijibu
  10. JamiiForums Tanzania Biashara kama ya kuuza shuka unasubiri mpaka mtu awe anaanza maisha

    Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hubiri la tatu na la mwisho: Twendeni mpaka Gilgali(Oktoba) ili tuuimarishe ufalme(Urais) huko mara ya pili

    Andiko kuu: 1 Samweli 11:14 1 Samweli 11:14 Kisha Samweli akawaambia watu, Haya! Na twendeni mpaka Gilgali, ili tuuimarishe ufalme huko mara ya pili. Usuli (Background) Sura ya 9 na ya 10 ya kitabu cha kwanza cha Samweli (1 Samweli), inatutambulisha juu ya kupatikana mfalme wa kwanza kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Njia mpya ya kuchipu PS4 yagunduliwa !! PS4 version 12 zinaweza kuchipiwa kwa mbinu ya CD.

    watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account, Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza. PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au...
  13. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki

    Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. nicheki WhatsApp/sms/call +255 0756704145
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

    HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
  15. JamiiForums Tanzania Pesa ndo kitu kinagombanisha mpaka ndugu

    Ukiona ndugu wanagombana mpaka kuuana hakuna kingine katikati hapo lazima utakuta sababu ni pesa.Aliyegundua pesa alaaniwe
  16. JamiiForums Tanzania HAPA KITU TUMEITOA KAMA TULIVODESIGN ,3BEDROOMS ALL SELF KARIBU UJENGE NASI +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM

  17. JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa serikali ya GHANA alitakiwa mpaka muda huu awe jela?

    ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hutakaa umuheshimu mwanamke mpaka siku utakayoshuhudia akijifungua

    Kwa hakika utaendelea kumchukulia poa mwanamke mpaka siku utakayomshudia akipitia maumivu ya kuleta mtoto duniani Ewe mwanaume ukipata fursa ya kumshudia mwanamke akijifungua mtazamo wako hautabaki kama ulivyokuwa hapo kabla Kama maneno matakatifu kutoka kwenye biblia yanavyosema kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

    Akiongea na East Africa huyu kijana anayeitwa Sir Samwel anasema anaingiza hadi Milioni 50 kutokana na Forex
  20. JamiiForums Tanzania Foleni Kimara Stop Over mpaka Suka - tarehe 16.08.2025

    Habari za jioni wakuu. Nimepita mida hii jioni leo tar 16.08.2025 mitaa hiyo ya Kimara Stop Over kuelekea Suka na kukuta kamba ndefu kiaina, lakini sababu leo ni gari dogo kuungua likiwa barabarani. Sijajua chanzo cha gari hilo aina ya Toyota Premio New Model kuwaka moto.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…