mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka aliyetoa amri watu wasiokuwa na hatia wakauliwa akikiri hadharani kuwa alifanya kosa ili kutetea urais wake ndio watanzania watakaa kimya

    Mwabukusi sijakuelewa. Unataka viongozi wasiongelee yaliyotokea Oktoba 29? Au ninyi mumeelewa vipi? Kutoneshana kunatoka wapi? Watu wameuliwa majumbani kwao sababu tu watu wasalie madarakani.
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jesca Magufuli sina amani, nawindwa mpaka Nyumbani

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likiwa na ujumbe wenye nukuu inayosema “ Jesca Magufuli sina amani nawindwa mpaka Nyumbani”je ni upi ukweli wa chapisho hili
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti. Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu ni ushenzi na upumbavu na wahusika wanajijua, wanajua kwa matendo yao baadae wataona uchungu...
  4. JamiiForums Tanzania Nilisema wapinzani hawa wa kudandia kila jambo hawataingia Ikulu mpaka Yesu atarudi. Washahamishia majeshi kwenye dhahabu

    Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu. Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu. . Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani. .Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi. .Hawajui kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni adhabu Gani uliyowahi kupewa ukiwa shuleni mpaka ukatamani upigwe yaishe

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza Naomba leo tujikumbushe kidogo adhabu tulizowahi kupewa mpaka ukatamani Bora akuchape tu yaishe 1) Binafsi nakumbuka kipindi tukiwa shuleni siku Moja tulichelewa kufika Basi siku hiyo ilikuwa zamu ya mwalimu mmoja hivi Yule mwalimu akatuambia Mimi sitoweza...
  6. JamiiForums Tanzania Nimekaa na Popcorn hapa mpaka zimeisha nimeagiza korosho , Marekani na Israel wanavizia mtu asinzie kama Maduro

    Kila wakipiga jicho wanaona Muiran amekodoa macho akisubiri apate sababu ya kuingamiza Israel ukweli ni kwamba hata wao Marekani wanafikiria je ikitokea moja ya meli zao kuzamishwa je aibu hii wataificha wapi Kila Nchi imekataa kutumika anga lake kuwa kama kificho ,wamezoea mtindo wao wa...
  7. JamiiForums Tanzania RC Makame ashtukiza mpaka wa Tunduma 'Sijaridhika'

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndugu Jabiri Makame, amefanya ziara ya kushtukiza katika Mpaka wa Tunduma kukagua utekelezaji wa Maagizo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba kuhusu upanuzi wa barabara ya kuelekea Mpaka wa Tanzania na Zambia kwa njia nne ili...
  8. JamiiForums Tanzania Chuma kilichoinyoosha CHADEMA mpaka ikapoteana.

    Happy birthday mamy . Nakuelewa sana mama Samia. Waliotaka kuufanya uongozi wako kama punching bag wameparaganyika. Hawaamini macho yao . Awe NABII, sheikh au mchawi yeyote atakayeinua kinywa chake kwa uovu juu yake amekwisha. Sitanii niko serious. Jiwe alizingua sana nikamwomba Mungu akamvuna ...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni

    Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni.
  10. X

    JamiiForums Tanzania Huwa mnafanyaje wenzetu? Kuna namna mfanyabiashara anakubali punguzo mpaka unashtuka

    Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa fulani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia" Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini...
  11. JamiiForums Tanzania Ulipofikia ujenzi wa reli ya SGR Morogoro mpaka makutupora

    https://youtu.be/GyaJZGMF0a4
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa IMF Wanatudai Trilioni 3 na Bilioni 400 (3,400,000,000,000)

    Nchi kadhaa barani Afrika zinaomba msaada wa kifedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), misaada inayoambatana na masharti magumu ya kisera yanayoathiri maamuzi ya kiuchumi na uhuru wa nchi husika. Kwa mujibu wa Businness Insider Africa katika orodha Misri inaongoza kuwa na deni kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?

    Mdau ......Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?
  14. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe hili sakata la CPA seni, limefikia wapi? Mpaka sasa

    "Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (Director of Finance and Administration) wa Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), CPA George Mahigu Seni, amesimamishwa kazi kwa kupinga mauaji ya watu wasio na hatia Oktoba 29. CPA Seni anatuhumiwa kuchapisha maneno ya uchochezi kwenye WhatsApp group ya...
  15. JamiiForums Tanzania Sababu ni Nini mpaka inakuwa hivi

  16. JamiiForums Tanzania Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO SUA kuna wanafunzi hasa wa 1st year wanateseka sana. Mpaka sasa hawajapata pesa ya kujikimu

    Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi watu wa Arusha mjini mpaka sasa mmenufaika nini na Makonda kuwa mbunge wenu?

    Mlimchagua kwa mbwembwe.. Vipi kuna lolote zuri alilolianzisha hapo Arusha mjini tulijue?
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe

    Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe mpaka October 2030. Ili uchumi ukue vizuri sana, na utalii ukue vizuri sana, na wananchi wapate vipato vizuri sana. Inaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu. Kuna baadhi ya agents...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Mwijaku unataka kusema wewe unaifahamu game na majiji hapa Tz mpaka Dudu baya

    Mtu umetoka zako kijijini ukafika chuo juzi leo unataka kujiona kama umezaliwa DSM. wanaomsikiliza Mwijaku naona akili zenu zipo sawa naye.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…