moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

    Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi. Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kuwa kwenye mahusiano na single mother yataka moyo

    Nakumbuka mwaka jana katikati nilipata kufahamiana na single mother mmoja toka kwenye mtandao maarufu wa kijamii. Mwanzoni sikujua kama ni single mother mpaka tulivyoanza kuzoeana ndipo alinambia kwamba ana mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka mitatu alizaa na jamaa mmoja ambae kwasasa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote

    Ni wakati wa kumwomba Mungu. Ni wakati wa umoja. Tanzania nakupenda.
  4. JamiiForums Tanzania Matajiri wote wangekuwa na Moyo kama wa Bill Lugie Tanzania tungekuwa mbali sana

    Nashukuru sana kuwa JF na pia Max Melo kumkaribisha humu Billionea Lugano. Huyu jamaa kwa kweli amekuwa model wa vijana wengi wachapakazi hapa Nchini nadhani na nchi za nje pia ambazo kutwa kucha anatembelea. Jamaa hana majivuno, anashare mawazo na sisi watu wa daraja la kati wa uchumi wa kati...
  5. JamiiForums Tanzania Tuko kati ya janga,tuwe na moyo wa kishujaa. Hakuna kuhitaji lockdown tuchukue tahadhali kitalaamu

    Direct kwenye mada; Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi. Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na muathirika nao wamepata maambukizi. Kujitenga kufanyike kwa umakini hata kwenye majumba ya watu...
  6. JamiiForums Tanzania Timu ya Azam imekumbatia wachezaji na viongozi wanaopenda timu nyingine Tanzania, hawana moyo

    Mfano, kama Sure Boy angetakiwa na Simba angeruhusiwa kwenda Simba na kama Perfect Chikwendwe angetakiwa na Yanga angesajiliwa na Azam. Azam imejaza viongozi na wachezaji wasiokuwa na moyo na Azam, wako Azam kwasababu ya hela tu ya tajiri wao tu. Wachezaji na viongozi wanaihujumu timu kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Usiusemee moyo Wanawake chukueni hili funzo toka kwa dadayenu Jaydee

    Katika nyimbo zote za Jaydee naipenda sana hii ya USIUSEMEE MOYO japo katupiga madongo sana wanaume lakini yani ukweli ndani yake, wanawake mkichukua hili funzo mtaishi kwa amani sana. Fuatilia hii mistari. "Umepika chakula huli, huoni chapoa Umpweke mwenye moyo duni nakupa pole dada Kula...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa mishahara katika Utumishi wa umma, kunavunja moyo na kusababisha watu kubeza kusoma sana

    Wakati watu wanahimizwa kusoma tangu utotoni na kujiendeleza hata wakiwa makazini, ila ukweli ni kwamba, kusoma sana na kupata ma-degree mengi, sometimes huwa hakuna maana sana na hii ni kutokana na ulipaji wa mishahara serikalini kutegemea mtu anafanya kazi katika taasisi au shirika gani la...
  9. JamiiForums Tanzania Chonde chonde ndugu zanguni naombeni msaada wenu. Nina wakati wa kuhuzunisha moyo

    Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa. Nisiyemfaa, mjinga, bwege na fala. Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwako Mpenzi Bite, "nisamehe mpenzi wangu wa moyo"

    Ni miaka 5 sasa tangu tutengane lakini bado nakupenda na nakukumbuka sana. Mapenzi yangu kwako hayajawahi kuisha na kwamwe hayatoisha kwasababu nakupenda kwa dhati toka uvungu wa moyo wangu. Mi ni binadamu na sijakamilika ninamakosa mengi na kweli nimekukosea Sana japo sijawahi kukili mbele...
  11. JamiiForums Tanzania Nimenyang'anywa Watoto wangu na moyo unaniuma maana nawataka sanaa

    .... Nyuzi ifutwe .... Moderator
  12. JamiiForums Tanzania Mama yangu anakohoa sana, inasemekana kuna vikohozi vya moyo. Naomba msaada wa dawa

    Aisee naomba msaada wa dawa gani nimpe mama yangu maana anakohoa Sana Tena kwa muda mrefu huu ni mwaka wa tatu. Ila sio korona maana hamuambukizi mtu na kazi anafanya Kama kawaida ila kwakweli amekohoa muda mrefu mpaka namuonea huruma. Nimejaribu kuulizia Kuna wanaosema ana kikohozi Cha moyo...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango maneno uliyotamka siku unaapishwa yalitoka ndani ya moyo wako? Ulikuwa unawakebehi Watanzania?

    Wahenga wanasema tembea uone. Ndio maana hata mzee Mwinamila alipokuwa hai aliwahi kutunga wimbo akimwambia Mwl Julius Nyerere atembee aone ili ajionee kwa macho yake nchi anayoitawala na watu wake wanaishi kwa namna gani. Nimepafanya kijiziara kidogo suo moto, maana sijapangiwa na mtu. Ila...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

    Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi. Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif asema licha ya kuapishwa madai yao ICC yako pale pale!

    Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale. Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya. Nadhani hizi zitakuwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    NIMERUDIA kuisikiliza Hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mara kadhaa. Hii ni hotuba inaweza kudumu kwa muda mrefu sana kama rejea sahihi ya maamuzi sahihi yaliyowahi kufanywa na CHADEMA, tangu mfumo huu wa vyama vingi uanze. Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo katika siasa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ana moyo wa kipekee sana, huwa anasomesha wafanyakazi wa ndani (house boy & girl) hadi Chuo Kikuu

    Hakika hapa duniani kuna binadamu wanatabia njema sana! Jirani yangu pamoja na mkewe! Wana maisha ya kawaida kabisa kama yangu ya kipato cha kati! Wakiishiwa hela wananiazima, vivyo nami nawaazima vyao nikiishiwa. Tuna maisha ya kawaida sana! Lakini Jirani Siku zote hapo kwake haishi kupokea...
  18. JamiiForums Tanzania Nimemvunja moyo sana mke wangu, kama una chochote cha kuniambia au kunishauri wewe nishauri tu

    Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho. Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya Magu, usiwatetee na kuwalinda waalimu wasiokidhi vigezo vya Ualimu Mkuu; unawavunja moyo wanaostahili nafasi hizo

    Nawasalimu wanajukwaa. Bila kupoteza muda, naleta hoja yangu kwa DED MAGU; itokanayo na hotuba yake aliyoitoa majuzi kwenye semina ya mtihani wa darasa la nne kwa waalimu wa shule za msingi. Kati ya mengi uliyoongea, ulimzungumzia pia Mwl. Mary Maganga wa Magu S/Msingi, ukionyesha kuridhishwa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kuwa na hofu na mapigo ya moyo kwenda kasi

    Ushauri wakuu ni kwa namna gani naweza epukana na kadhia hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…