moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

    Ni siku ya tatu sasa akihutubia ktk moja ya safu ya mafundisho yake katika jamii. Askofu wa Kanisa la TAG hapa Ubungo Kibangu Maarufu kama Mzee wa Upako ametoa maoni yake juu ya kesi anayohisi huenda ni ya kuzingizia ya Ugaidi dhidi ya Mbowe. Askofu huyo licha ya kudai kuwa wafuasi wa chama...
  2. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Asante Mwigulu kwa kutoa funzo la kuwa na moyo wa kusaidia

    Ni Upendo Imani na Miujiza tu kuwapata watu wenye roho ya kujitolea ya kuwasaidia wengine. Wakati Msanii wa miondoko ya HIPHOP Chidbenz akihojiwa radio Wasafi FM kipindi cha malavidavi alipata nafasi ya kueleza namna Dr Mwigulu alimtafuta kwa udi na uvumba kumsaidia pale alipopata janga la kuwa...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana kisasi kibaya sana, ole wako uingie kwenye 18 za X girlfriend wako uliyemuumiza moyo na hajakusamehe

  4. E

    JamiiForums Tanzania Kuna mrembo mmoja anautesa moyo wangu nimeamua kumwimbia huu wimbo na hii ndio picha yake yupo humuhumu

    Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi. Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha. Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda. Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea...
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi

    Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi "Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume." Kwa ibada, maombi, heshma MUNGU atatuwezesha Mungu awajalie upendo wa moyoni uupendo upitao upendo wowote, upendo utakaowapa...
  6. Mwadime

    JamiiForums Tanzania Mzungu mwenye moyo wa kibongo

    ndugu zangu, Kwanza nijitambulishe kwa kuthibitisha mimi ndiye mzungu wa asili ya Kimarekani. Jina langu ni Riley (kifupi 'Rai') au pia watu wa kabila Taita huniita Mwadime - uchague lile unalolipendelea kuniita. Kabla ya janga la UVIKO 19 niliwahi kuishi Afrika Mashariki haswa Tz takriban...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tanzania itakombolewa na wenye Moyo

    Siyo siri kuwa hii nchi ni ngumu sana. Uwekezaji uliopo dhidi ya haki na usawa ni mkubwa sana. Kwa makusudi demokrasia na uhuru wa watu vimeminywa vilivyo ili kufanikisha hayo. Hali hii haitaondoka yenyewe bila ya makabiliano. Ni muhimu kufahamu watesi wetu hujipanga upya kwa kila hatua...
  8. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Heri tungejadiliana mambo haya kwa moyo safi

    LEO nikisema dungadunga si salama Mtu anaweza kusema, “Ah, wewe mpinzani tu.” Lakini kama ningesema miaka kadhaa iliyopita kwamba, “Jamani, itakuja dungadunga ambayo itakuwa si salama” na nikataja mambo kadhaa yanayobainisha namna itakavyokuwa, halafu miaka 10 baadaye hayo yakatokea, ukisema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC japo mnaniumiza Moyo kwa Matokeo yenu, ila kwa Kuwapenda Kwangu tafadhali uzingatieni huu Ushauri wangu mambo yatakaa sawa sasa

    1. Timu ipelekwe upesi kwa Mtaalam wetu ama Yule wa Zanzibar au wa Morogoro na achaneni na hawa wa Mikoa mengine kwa Wanatumika vibaya na Maadui zetu. 2. Utaalam wa Kutumia Makafara ( hasa ya Damu ) tuachane nayo na sasa turudi katika ule Utamaduni wetu ambao Marehemu akina Mzee Bamchawi na...
  10. Masibayi

    JamiiForums Tanzania Yataka moyo kuwa mchezaji wa mpira wa miguu Tanzania

    Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana. Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh! Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh! Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

    Leo tena kama kawaida tunakuletea moja kwa moja yanayojiri kwenye Mahakama kuu , divisheni ya Uhujumu Uchumi , ambako kesi ya ugaidi unaogharimu kitita cha tsh laki 6 inaendelea. --- Jaji ameshaingia Kesi inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021, Jamuhuri dhidi ya Halfan Bwire, Adam Hassana...
  12. zink

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo hili la moyo

    Habari wakuu natumaini wote wazima wa afya. Kuna siku ilitokea kwa ndugu yangu mmoja hivi umri 29 years mapigo yake ya moyo yalikua yanadunda haraka sana, hali hiyo ilipelekea kwenda hospitali ya taifa ya muhimbili kwa ajiri ya vipimo na alivyofika muhimbili kitengo cha cardiac Jakaya...
  13. Bayga

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini mashabiki wa mpira wanakufa kwa matatizo ya moyo?

    Mashabiki wengi kipenzi wa mpira wapo hatarini kufa au kuathiri afya zao kutokana na magonjwa ya moyo, Kiharusi na matatizo ya kisaikolojia kwa mjibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la Current problem in cardiology na katika jarida la Stress and Health mwaka 2020.  #Picha | Mwanaspoti...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mambo matano ya kutia moyo kwenye tukio la muuaji Hamza

    1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana. 2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi. 3. Clip zinaonyesha...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu moyo wa kujitolea wa madaktari

    Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita madaktari wameonyesha umuhimu mkubwa katika jamii yetu, kwani wao walikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya janga la COVID-19. Tunakumbuka mwanzoni wakati janga hili linaanza, baadhi ya madaktari walilazimika kufanya kazi kwa muda mrefu, na kuna...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Katiba ndio moyo wa taifa

    Ni mimi meneja wa makampuni naomba hii maana ikumbukwe vizazi na vizazi ya kwamba. "Katiba ndio moyo wa taifa" Shughuli zote zinazofanywa ndani ya nchi zinasukumwa na katiba ambao ndio moyo. Moyo ukiwa mbovu hushindwa kusukuma damu vizuri mwilini na kupelekea mwili kushindwa kufanya kazi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya unesi inahitaji moyo

  18. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Neema Mushi: Moyo wa mtu ni kichaka na mtanisamehe

    Ni hivi wanajamvi lives come and go hivyo tuishi kwa upendo hapa duniani na tukumbuke moyo wa mtu ni kichaka. Uzi tayari wakuu wa kaya.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume na sisi tunabakwa, moyo unauma sana

    Kuna kipindi Dada angu alijifungua kwa operation kwenye hospital moja kubwa apa mjini nikawa nimeenda asubuhi moja kumuona Wakati natoka wodini napita reception nikakutana na Dada mmoja age kama 40 mzuri na shape ya maana akanisalumia kwa adabu alionekana km mwenye stress ivi Akaaniita pembeni...
Back
Top Bottom