Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.
Hii ni movie nzuri kuitazama kwa wale wanaopenda kuangalia movies za kufikirisha ubongo km unacheza puzzle games na hizi ndio movie mimi hua napenda sana kuziangalia maana ubongo hauwezi kujua nini kinafuata baada ya kila hatua kuna tukio jipya mpaka unatamani movie isiishe.
Ukipata nafasi...
MOVIE ILIYOTAZAMWA NA WATU WENGI ZAIDI KATIKA HISTORIA: NI AVATAR AU TITANIC?
Watu wengi wanadhani Avatar ya James Cameron ndiyo movie namba moja kwa sababu imeingiza karibu Dola Bilioni 3. Lakini, ukiangalia "Idadi ya Watu" (Reach), jibu ni tofauti kabisa.
Hizi hapa ndizo Movie 3 zenye rekodi...
Sisi wengine maskini tusiokunywa pombe na hatupendi wanawake ulevi wetu ni movie tu, series zangu kali za wakati wote ni hizi hapa chini.
1-Game of Thrones.
2-Vikings.
3-Into the bad land.
4-Spartacus
5- Snowfull na Black Mafia Family.
Weka zako na wewe mwanetu tupeane na vigongo vipya vya...
Kwa mliongalia IRIS ya kwanza kuna yule character alikuwa anaitwa Kim Hyeonjun
Miezi mitatu baada ya kumwokoa Rais wa Korea Kusini kwenye mkutano mkuu na kuacha kazi katika Shirika la Usalama wa Taifa (NSS) ili kuanza maisha ya kawaida, Hyeon-jun alikuwa kwenye gari akielekea kukutana na...
Filamu ya X-Men iliyotoka mwaka 2000 kutoka katika studio za 20th Century Fox inasalia kuwa miongoni mwa misingi mikuu iliyobadilisha kabisa mtazamo wa ulimwengu kuhusu filamu za mashujaa wenye uwezo mkubwa (superheroes) na kufungua milango ya mafanikio kwa sekta hiyo kote duniani.
Hadithi hii...
Baada ya video yake kusambaa ikimuonyesha Yuko na kijana mdogo akimuomba waka fanye tendo (twende ukanit@,,, ndo turekodi vizuri).
Kwenye video hiyo Bi Kauye anaonekana akiwa anamvuta kijana huyo waende sehemu, pia kijana huyo alikuwa akimrekodi huku bibi Kauye amemlalia kifuani.
Sasa...
Muigizaji Jim Caviezel, aliyewahi kuigiza nafasi ya Yesu Kristo katika filamu The Passion of the Christ ya mwaka 2004, sasa anarudi kwenye ulimwengu wa simulizi za Biblia akiwa na nafasi tofauti kabisa, kama Mfalme Herode katika filamu mpya Zero A.D.
Katika The Passion of the Christ, Caviezel...
Kwanza kabisa nitoe pole kwa kulifanya hili jukwaa lote linitazame mimi pekee kwa siku za hivi karibuni... Binafsi Itabidi mnizoee tu ninapenda sana kuwa the center of attention..
Narudi katika mode ya kawaida sasa baada ya kui feed ego yangu.
Leo Nitakuwa ni kiangalia movie ya spiderman...
Habari zenu ndugu wanna JamiiForums mimi Leo nimekuja kuuliza kama kuna mtu anayejua jinsi ya kuzipata zile movie zinazoonyeshwa kwenye channel star Swahili kwa wale wanaotumia startimes. Naombeni msaada wenu maana kuna movie ambayo niliiangaliaga na nahitaji tena kwa sasa Kuangalia tena
Movie kali Odyssey ambayo producer Christopher Nolan ndiyo movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu largely and anticipated.
Stering wa movie hiyo Matt Damon anaigiza kama Odyssey kama false wa ugiriki kutoka ithaka kwenye simulizi za zamani za kigiriki.
Baada ya vita vya Trojan Odysseus anarudi...
Unakumbuka zama za utotoni tukibishana kuhusu John Cena au The Undertaker? Wengi tuliamini wanauana kweli. Lakini leo tuweke mihemko pembeni na tuseme ukweli mchungu: WWE sio mchezo wa mapigano halisi, ni tamthilia (movie) inayochezwa live jukwaani!
Hapa kuna ukweli wa mchongo huu:
1. Kila...
Kuna theory inasema " Life is a movie about a character in which the actor is not the character. The actor is invisible so you are here on earth to act in the life of an invisible character "
Mfano wake ni kama vile movie kuhusu maisha ya Malcolm X... Mtu ana act maisha ya Malcolm X kwenye...
Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami.
Karibuni kwa mjadala
Kuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua siasa na matukio ya MO29.
Ila naona serikali inaendelea kutumia hivi vyombo na lengo kuu lao si kwa...
Sijui ni zimwi.
Sijui ni uraibu.
Nalala na kuwaza wadada wenye makebo makubwa, napenda kuchakata jagina zao, napenda kuchezea genta zao, kutokea kwenye mapaja, nafurahia kuona tila tila zao.
Nimeshafanya style zote, wanawakae wa aina zote, lakini bado sitosheki,
Imekuwa kama adventure...
Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie
1. The Wolf of Wall Street
“Jinsi ya Kumfanya Mteja Aseme NDIYO Haraka”
2. Glengarry Glen Ross
“Ukishindwa Kufunga Deal, Umefeli Maisha”
“Hakuna Huruma Kwenye Sales”
3. Boiler Room
“Jinsi ya Kuuza Bila Aibu (Na Kufunga Deals)”
4...
Mimi ni software enginerr mkongwe, mwenye uzoefu zaidi ya miaka kumi, na nilikua sijaanza kuchangamkia coding via AI, nilikua napiga codes zangu mwenyewe nikitarajia siku nitapata fursa nitajifunza kutumia AI. Sasa ikatokea mteja anahitaji nimtengezee mfumo wa hotel management, na kanipa siku...
kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo
maana me hapa napata shida moja nikitaka kuplay movies inafunnguka kabisa na unaona ila kuna background ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.