Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.
Nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi, Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni.
Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili, Mwaka 2022 na Mwaka 2024 wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao...
Kumbukizi, Wabibi wa kichaga uko moshi vijijini wanasema walimchagua mbunge akarudi kuwaonesha kitambi hakuna kitu amewasaidia
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chanzo: habari24media
Mh. Jaji Mkuu,
Kwanza nikupongeze sana sana sana kwa kuchaguliwa kuwa Jaji wetu Mkuu wa Tanzania.
Wakati huu unaingia, tunakumbuka kuwa Jaji wetu mstaafu alikuwa akisisitiza sana sana haki na utawala bora. Mungu ambariki.
Pamoja na haya, wapo baadhi ya mahakimu wanaosumbua sana wananchi, hasa...
Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,
Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya...
Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho.
Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania.
Kumbukumbu zinaonyesha, miaka kadhaa nyuma, Boniface Mwamposa aliwahi kusimika hema kubwa kiasi katika...
Ni mda sana sijaja Moshi kwa sahivi niko Moshi zifuatazo ni sifa ambazo nilikuwa nazimiss
Pasafi-moshi paradise sana aisee sio sawa na miji mingi hapa Tanzania
Hakuna makelele ni ngumu kusikia watu wanaropoka kama dsm
Watu ni wastaarabu sana
Napata usingizi mzuri sana hali ya hewa nzuri sana...
Tumsifu Yesu Kristo!
Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo.
Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la Upadre mnamo June 25, 1950.
Pamoja na Jubilee ya miaka 75 ya Upadre, pia Padre Lui anaadhimisha...
🏠 HOUSE DESCRIPTION (2 UNITS)
Each unit includes:
🔹 Ground Floor: Lounge, Dining, Open Kitchen, Public Toilet
🔹 First Floor: Family Room with Balcony, 2 Master Bedrooms
💰 COST BREAKDOWN PER PHASE:
Foundation – TZS 32,000,000
Wall & Column (Ground Floor) – TZS 15,000,000
Slab – TZS 41,000,000...
Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya moshi wa gesi ya kutoa machozi katika mitaa ya Nairobi wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25.
Tukio hilo lilitokea katikati ya maandamano ya kitaifa yaliyoongozwa na vijana, hasa kizazi cha Gen Z, waliokusanyika kuadhimisha mwaka mmoja...
Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi.
Kuna shule Zina idadi ndogo ya wanafunzi lakini walimu ni wengi kuliko shule zenye idadi kubwa ya...
Anonymous
Thread
manispaa
moshi
msingi
sawa
shule
shule za msingi
uwiano
walimu
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala inayozunguka kauli ya “No Reform, No Election” ambayo sasa imekuwa gumzo mitandaoni na imeanza kujitokeza pia kwenye majukwaa ya wazi, hasa Jana Usiku kwenyr Tamasha la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Kama Mtanzania ninayeamini katika utulivu...
Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi(53) wakati miili yao ikizikwa katika makaburi ya familia yaliyopo eneo la Kariwa chini, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Wanandoa hao ambao ni wakazi wa Msufuni, Msaranga, wanadaiwa...
Wandugu
Kama alivyosema, leo moshi unafuka. Tujiandae kwa press kubwa kuwahi kutokea chini ya ardhi ya Tanzania
Nakushauri urekodi, tupatie kideo, live press haitaishi ushavamiwa.
Kila la kheri
Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo.
Vijana hao, ni wale waliofanya maombi na kufaulu katika usaili uliofanyika katika maeneo mbalimbali nchini.
Taarifa ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika.
Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya.
Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/=
Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.