moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    (Ukraine) anajisifu: Ngumi kumi, nimekwepa tisa ni moja tu ndio ilinipata, kinachoonekana dogo amechakaa usoni, uso umevimba na macho hayaoni!

    Kiuhalisia Ukraine inachakazwa sana!! Ila vyombo vya magharibi vinapotosha ili kukwepa aibu ya kushindwa kuilinda ukraine kupitia air defenses walizopeleka huko! Asilimia 80 ya mji mkuu kiev hauna maji, na umeme na kila jimbo la ukraine hali ni mbaya hawana maji na umeme!! Kisa dogo...
  2. DRC: Balozi wa Rwanda apewa saa 48 za kuondoka Nchini humo

    Balozi Vincent Karega ameamriwa kuondoka Nchini ndani ya saa 48 kutokana na tuhuma za mara kwa mara za Rwanda kuunga mkono Waasi wa #M23, madai ambayo Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara Uamuzi wa kumfukuza Karega unatarajiwa kuzua zaidi mvutano kati ya Nchi hizo Mbili ambazo uhusiano wao...
  3. Marekani ni nchi moja ya raha sana. Wakiishiwa pesa wanachapisha tu

    Ukisikia nchi ni superpower usichukulie jambo dogo. Kuna faida nyingi sana. Mfano Marekani wakiishiwa pesa wanachapisha tu na kununua vitu kokote. Wanasafiri kutalii nk. Anachofanya ni kuhakikisha anaendelea kuwa superpower na kumdunda yoyote anayeleta fyokofyoko. Ukiwa raia wa nchi kama hiyo...
  4. D

    Hivi kuna mwanaume mpaka sasa anasimamia kucha saa moja?

    Habari za mchana ndugu zangu. Kama nilivyoalindika kichwa hapo juu, hivi siku hizi kuna mwanaume anaeweza kujamiana na mwanamke raundi ya kwanza wastani wa saa moja? Maana mbona kuna malalamiko mengi siku hizi zihusizo nguvu za kiume kupungua?😠 Salaam.🙏
  5. L

    China inaithibitishia dunia kuwa njia za kisasa

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing. “Njia ya China Kujiendeleza Kisasa” iliyotolewa kwenye Mkutano huo sio tu ilivunja mantiki ya baadhi ya nchi kwamba "usasa ndio mtindo wa kimagharibi”, bali pia inatoa njia mpya ya kujiendeleza...
  6. Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
  7. Serikali ya CCM iweke wazi kama kuna mgao wa umeme. Haiwezekani kila siku umeme uwe unakatika kuanzia saa moja na kurudi saa tano

    Wananchi wajipange na kununua majenereta. Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi. Wenye pesa za uhakika wanunue Solar power. This is too much.
  8. Ndani ya wiki moja, ndege nyingine ya kivita yaanguka Urusi na kuua, hivi zina nini?

    Mindege ya kivita inajiangukia yenyewe sijui inatunguliwa au marubani wamejichokea au wanetu wa Ukraine waliopo Urusi wanafanya yao.... A Russian warplane slammed into a residential building in the Siberian city of Irkutsk on Sunday, killing both crewmembers, authorities said. It was the second...
  9. Nimebobea kwenye masomo ya Physics na Chemistry. Natafuta kazi

    Mambo zenu wakubwa, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya fizikia na kemia. Shahada yangu nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4. A-level nilifaulu vizuri masomo ya PCM yaani Physics, Chemistry na Mathematics. Nimebobea vizuri sana katika masomo ya Physics...
  10. Taja wimbo mmoja wa hawa wasanii wakali wa R&B

    Nimejikuta nawakumbuka tu. Hao ni wakali wa R&B US, dada anajua kuchana akishika Mic. Tupia nyimbo yao moja twende sawa.
  11. B

    Kama kweli mnajipima na Simba kama njia ya kumtoa Club Africaine njia ni moja tu

    Kuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja. Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie, toeni uwezo wenu kamili uwanjani. Hiyo ndiyo namna pekee ya kujiandaa, punguzeni janja janja.
  12. Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa

    Juzi niliwauliza wanaJF. una mshauri nini kijana ambae yupo mtaani tu hana ajira mawazo yalikuwa ni mengi na ni mazuri pia. Ila na mimi leo nimeamua kuja na uzi ambao utakuwa na biashara kadhaa ambazo unaweza kuanza nazo kwa mtaji wa laki moja lakini cha kwanza kabisa lazima tujue kuwa biashara...
  13. Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Habari wana JF, Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa. Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
  14. Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

    Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
  15. Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
  16. Unayehoji kwanini Msudani Kafuzu kwa Kukufunga Goli Moja, Wewe Sare yako ya Dar imekuvusha Makundi CAFCL?

    Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au Umecheza vibaya wala haijalishi ila muhimu ni Kutinga Makundi huku ukiwaacha Wengine waje...
  17. J

    Naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Alitop na SUNDAR

    Naomba mwenye amewahi kutumia TV za Alitop na SUNDAR anisaidie kujua strength na weakness zake
  18. Bwawa la Nyerere ni uamuzi mgumu na wa kijasiri uliofanywa na Magufuli!

    Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika alikuwa kinara kwalo. Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu (Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa...
  19. N

    Ahadi ya billioni moja kwa wachezaji Yanga yawatisha Al Hilal, ya Vipers yawapa wazimu

    Ingawa ilifanywa siri kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo wanuka jasho wa Tanzania, fununu mchomoko ni kwamba yule tajiri wa kiukweliukweli asiye na ubahili hata kidogo, yaani yeye kumwaga mapesa hafikirii mara mbili wala hachungulii daftari, KATENGA BILLION MOJA Al Hilal apasuke kwao...
  20. Kwanini unalala sasa hivi, wakati ipo siku utalala moja kwa moja?

    Ipi ni sababu inayokufanya ulale sasa hivi? Unalala kwa sababu giza limeingia, au Unalala kwa sababu ya uchovu, au Unalala kwa sababu huna pa kwenda, au Unalala kwa sababu huna wa kukesha naye, au Unalala kwa sababu umelazimishwa, au Unalala kwa sababu huwezi kwenda viwanja, au Unalala kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…