moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Quuen of the south moja ya series Bora Sana itazame hii.

    Wakuu nimetazama hii series mwanzo mwisho kupitia simu yangu. Ukiona Hilo jina utasema inahusu wanyama labda, Kwa kweli ni series nzuri Sana inayo husu madawa ya kulevya mitifuano ya kufa mtu, kuzungukana ndio kabisa wapo na uhalisia kabisa na Mambo ya madawa hawa wa Mexico hii wamecheza. Mambo...
  2. Fahamu jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo (Mfano: Milioni 1)

    Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na kuandika tu,Hauna ujuzi wowote ule ambao unaweza kuufanya na unaisha katika eneo ambalo lina watu...
  3. Ushawahi kuishi na mtu usiempenda / unaemchukia nyumba moja?

    Yani unaishi na mtu, ukimuangalia unasikia hasira, kila anachofikifanya kinakukera, did you? Waeza omba dunia iyeyuke
  4. Imani yangu ni kuwa Tanzania moja, Serikali moja itatutoa

    Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena. Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
  5. 2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

    WanaJF, Heri ya Mwaka Mpya 2023! Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea. CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025...
  6. William Ruto wa Kenya moja ya wakopaji maarufu barani Afrika kwa sasa

    WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA. George Michael Uledi. Kyela,Mbeya. Januari 9,2023. Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana katika Magroup mengi ya CCM na Magroup mengi ya diaspora ni kipande cha picha ya Rais wa Kenya Mh Ruto...
  7. Kilo moja ya Vitunguu yafikia Tsh. 30,221 Ufilipino

    Ufilipino inatazamia kuagiza vitunguu kutoka nje kwa ajili ya kuongeza usambazaji na kupunguza bei ya juu ambayo imechangia mfumuko wa bei wa miaka 14. Bei za reja reja za vitunguu vyekundu zimepanda hadi kufikia Tsh. 29,654 kwa kilo katika siku za hivi karibuni katika masoko ya Manila, bei...
  8. B

    Wanaume kabla ya kumhonga mdada pesa/kumhudumia, tujiulize hili swali moja tu

    Swali lenyewe ni hili, kama huyo mdada unae-date naye angekuepo kwenye nafasi ya kutoa msaada uliyo nayo wewe, huyo mdada angekupa huo msaada? Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya laki 3, je yeye angekuwa na uwezo na pesa za kutosha, hlf ninyi ni wapenzi, huyo mdada angekununulia...
  9. Tanzania iwe na ligi moja, Kombe la Mapinduzi ni mzigo kwa timu

    Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu ya visiwani lakini Iko kwenye ligi ya Spain. Mashindano ya mapinduzi cup Yana lengo la kudumisha...
  10. Room Moja Jiko na store

    Wakubwa katika bwana nahitaji good desing and very good economy ambaye anaweza kunipa hiyo mambo kama jaribio akiweza kuitimiza within budget nampa kazi nyingine ila awe mkweli kwangu uongo sijui siasa sijui ukanjanja aisee sitaki. nahitaji a good fundi ambaye anaweza jenga a good house ya one...
  11. Geography is real: Nipo Kigoma saa moja na nusu usiku jua bado linawaka

    Tulikuwa tunafanya mazoezi mchangani Ziwa Tanganyika, Ahmad kucheki time ni saa moja na nusu usiku ila kweupeeee kama mchana. Muda huo kule kwetu Unguja ni giza totoro. Kigoma ni Burundi.
  12. Hili ni moja ya tatizo kubwa kwa vijana wanaojihusisha na siasa nchini

    Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
  13. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

    TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari. Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine. Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine...
  14. CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

    Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi na mtu aliyemchapa. DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya...
  15. S

    Laana ya vifaranga: Tutarajie mapigo kama mafuriko, ukame, njaa, tetemeko, n.k kama sio wahusika wenyewe kupata pigo la moja kwa moja

    Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja. Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda...
  16. Nina kifaa kipya nipeni neno moja

    Anzani Kwa kutoa wosia Kwa chibaba wangu mpya .
  17. Mrembo wa chuo leo kakubali kwa matunzo ya laki moja kwa mwezi

    Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui...
  18. T

    Tree of Life Foundation kupanda miti milioni moja mwaka 2023

    Pamoja tunaweza. Taasisi ya Tree of Life Foundation iko mbioni kupanda miti ya matunda, kivuli na ya mbao kwenye mwaka mpya wa 2023. Upandaji huo utaambatana na utoaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi walio mijini na vijijini. Karibu tushirikishane pamoja katika kuyatunza mazingira ya nchi yetu.
  19. L

    Nchi za Magharibi zapaswa kuacha mara moja uchochezi wa “kutengana na China”

    Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China hivi karibuni limehoji zaidi ya makampuni 160 ya kigeni nchini China, na matokeo ya hojaji hiyo yameonyesha kuwa, asilimia 98.7 ya makampuni yana nia ya kudumisha na kupanua uwekezaji nchini China, na asilimia 10.2 yanapanga kuhamishia viwanda vyao nchini...
  20. Tahadhari: Misaada na ndoa za jinsia moja

    KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jerusalem Temple, Soko Matola jijini Mbeya, limekemea ndoa za jinsia moja ambazo zimeanza kushamiri nchini. Kutokana na hali hiyo, kanisa hilo limeiomba serikali kutokukubali misaada inayotolewa kwa sharti la kuruhusu ndoa za aina hiyo ili kuendana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…