moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa

    Juzi niliwauliza wanaJF. una mshauri nini kijana ambae yupo mtaani tu hana ajira mawazo yalikuwa ni mengi na ni mazuri pia. Ila na mimi leo nimeamua kuja na uzi ambao utakuwa na biashara kadhaa ambazo unaweza kuanza nazo kwa mtaji wa laki moja lakini cha kwanza kabisa lazima tujue kuwa biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Habari wana JF, Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa. Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

    Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
  5. JamiiForums Tanzania Unayehoji kwanini Msudani Kafuzu kwa Kukufunga Goli Moja, Wewe Sare yako ya Dar imekuvusha Makundi CAFCL?

    Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au Umecheza vibaya wala haijalishi ila muhimu ni Kutinga Makundi huku ukiwaacha Wengine waje...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Alitop na SUNDAR

    Naomba mwenye amewahi kutumia TV za Alitop na SUNDAR anisaidie kujua strength na weakness zake
  7. JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere ni uamuzi mgumu na wa kijasiri uliofanywa na Magufuli!

    Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika alikuwa kinara kwalo. Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu (Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya billioni moja kwa wachezaji Yanga yawatisha Al Hilal, ya Vipers yawapa wazimu

    Ingawa ilifanywa siri kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo wanuka jasho wa Tanzania, fununu mchomoko ni kwamba yule tajiri wa kiukweliukweli asiye na ubahili hata kidogo, yaani yeye kumwaga mapesa hafikirii mara mbili wala hachungulii daftari, KATENGA BILLION MOJA Al Hilal apasuke kwao...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini unalala sasa hivi, wakati ipo siku utalala moja kwa moja?

    Ipi ni sababu inayokufanya ulale sasa hivi? Unalala kwa sababu giza limeingia, au Unalala kwa sababu ya uchovu, au Unalala kwa sababu huna pa kwenda, au Unalala kwa sababu huna wa kukesha naye, au Unalala kwa sababu umelazimishwa, au Unalala kwa sababu huwezi kwenda viwanja, au Unalala kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  11. JamiiForums Tanzania Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo. Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
  12. JamiiForums Tanzania Simba hao makundi kuvuna bilioni 1

    Utomax taarifa iwafikie, Mnyama kaua uko 3-1. Anakuja kumaliza kazi kwa Mkapa na kuingia makundi CAF, billion 1 kibindoni.
  13. JamiiForums Tanzania Mohammed Hussein ni moja ya mzigo na udhaifu wa Simba

    Katika tathmini yangu ya uchezaji na mchango wa Mohammed Hussein kwa timu ya Simba, uchezaji wake umekuwa unaleta makosa mengi kwa timu. Mfano katika mechi ya leo, Zimbwe alifanya makosa mengi sana. Yaani inafikia wakati kila akipata mpira, unategemea kuna ujinga ataenda kufanya. Akiwa anakaba...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo namba moja Yanga ni Eng. Hersi Said

    Huyu jamaa ndiyo tatizo kubwa Yanga, pamoja na ndiyo kuwa sababu ya GSM kuweka Yanga ila jamaa hafai. Kila kitu anajua na anataka afanye yeye! Hawezi usiri kwenye mambo ya Yanga, mbaya zaidi anaingilia kila majukumu na tamaa yake ya kuonekana kwenye TV kila siku. Rais anaonekana kwenye TV zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Kutumia simu mbili ktk simu moja

    Habari zenu naombeni kujua je ni aina gani ya redmi yenye uwezo wa kutumia kujigawa simu mbili kwenye simu moja ukiachilia redmi note 11?
  16. JamiiForums Tanzania Akatwa kichwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsi moja

    Mpalestina anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja akatwa kichwa eneo la West Bank Haijafahamika ni vipi Ahmad Abu Marhia alifika katika mji wa wa nyumbani kwa wa Hebron Polisi wa Palestina wamemkamata mshukiwa wa mauaji ya mwanaume mwenye umri wa miaka 25-baada ya mwili wake kupatikana ukiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Anaandika, Robert Heriel Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha. Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
  18. JamiiForums Tanzania Je, bangi si haramu? Tunaelekea wapi baada ya Morocco kuhalalisha?

    Hili limenishtua sana. Morocco ni nchi ya Kiislamu kwa asilimia 99.9 inawezaje ruhusu ulimwaji wa Bhangi kwa kusema ni zao la Biashara? Hapa mbona kama wanatuchanganya?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya malori 600 yamekwama mpakani mwa Kenya na Tanzania kwa zaidi ya wiki moja

    ITV wametangaza kuwepo kwa foleni ya malori inayofika kilomita 7 kule Namanga yakisubiri kuingia Kenya Madereva wamelalamika sana na kusema hawaelewi sababu za msingi Waziri wa Biashara Namanga kuna tatizo gani? J5 ubarikiwe sana ==== Zaidi ya Malori 600 ya kusafirisha bidhaa kutoka...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China barani Afrika katika muongo mmoja uliopita umelenga kutatua moja kwa moja changamoto za moja watu wa Afrika

    Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, China imehimiza uwekezaji katika nchi mbalimbali za Afrika unaolenga kutatua moja kwa moja changamoto zinazowakabili watu wa Afrika. Kupitia kauli mbiu yake ya “kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja”, China imeweza kuanzisha programu na miradi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…