moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 TANROADS yasaini mkataba wa Km 3.8 kwa Tsh Bilioni 54 na Wachina kujenga barabara ya Njia Nne Mbagala Rangi Tatu–Kongowe

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
  2. TANZANIA: Viongozi hawajihughurishi na matatizo ambayo hayawanufaishi moja kwa moja.

    Sijui kwa jimboni kwako, sijui kwa upande wa kada yako Kama kijana, mtu mzima au mzee. Ila iwe iwe wapinzani, iwe wale wa chama tawala Lakini in general wanasiasa wa Tanzania hawapendi kabisa na hawawezi kujishughurisha na vitu ambavyo havina faida ya moja kwa moja kwa wao wenyewe. Hoja hii...
  3. Unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 huku viwanda vikinunua kwa sh 20

    Kama Tanzania inataka kuachana na umaskini basi ni wazi unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 kwa matumizi ya wananchi na sh 20 kwa matumizi ya viwanda Faida ya unit kuwa bei ndogo Ukuaji na kuongezeka maradufu kwa shughuli za viwanda Ukiajia wa biashara Kuongezeka mapato serikali Mfano...
  4. Simba waliandika barua Moja tu, Yanga makelele kila siku

    Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu. 😄😆😀😃
  5. Moja ya hasara ya kuoa, ni mke kukukasirisha hadi unashindwa kufanya kazi au kuvurunda

    Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi. Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake...
  6. M

    Je, ikitokea Simba amemaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga nafasi ya pili na imebakia mechi moja ya Simba vs Yanga, Je Yanga mtakaa kucheza?

    Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda kucheza kweli? Yaan Yanga amebakiza mechi moja na Simba ili awe bingwa, mtakaza msicheze Simba awe...
  7. M

    Shida ni Siasa- Aliyekuwa M.kiti wa Simba amethibitisha Rais Samia ndio aliekeza Mechi ya derb 20/21 isogezwe saa moja

    Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa...
  8. Ujio wa Mapinduzi ya Viwanda vya Giza

    Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama viwanda giza, kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi bila mwanga wa taa, kwa kuwa havihitaji uwepo wa...
  9. Msaada maelezo ya kutambua Chanjo ya kuku ya TATU MOJA kama imepoteza ubora.

    Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonesha ubora au usalama wa chanjo. Wanasema...
  10. Ashurey ndio dancer namba moja wa kike Tanzania

    Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania. Vigezo anavyowapita wengine wote. 1. Anajua kucheza style zote za muziki 2. Ni mbunifu 3. Moves zake zinabadilika 4. Anaweza kucheza freestyle 5. Ni trainer mzuri sana
  11. Moja ya Apps nzuri kuwa nazo kwenye simu.

    Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia...
  12. M

    Kila nkifanya ubunifu mshindani wangu anaiga ,wote tuko na aina moja ya biashara vinywaji na vyakula

    Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
  13. Nina ndoto, siku moja Ulaya, Marekani na China watakuja kuwa chini ya Afrika

    Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
  14. ZINAUZWA HARAKA UPANGA! 🏢 Apartments mbili za vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 kila moja!**

    **ZINAUZWA HARA 🔑 Vipengele Vikuu: ZIPO KATIKA UBORA: Zipo katika majengo yenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: Zinauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. 📞 Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225 000 ⚠️ Angalizo: "Hizi sio za...
  15. S

    Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
  16. Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Alikuwa ni mpenzi wangu, dem wangu, nilimpenda sana kwa ghafla, nilipoanza nae mahusiano muda mchache tu nikaanza kupanga plan nyingi za kutimiza nae malengo fulani katika maisha, Nikaanza kuwa na mawazo ya kutamani awe mke wangu siku moja, nikaanza kumtambulisha kwa ndugu na marafiki...
  17. S

    Mamlaka zimelipa kisogo suala la kupambana na mapenzi ya jinsia moja.

    Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"! Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule...
  18. Waziri WA MICHEZO anatakiwa awe amejiuuxulu kwa VITUKO vinavyoendelea pale tff..Mama Samia sema neno Moja tu roho yetu ipone

    Rwanda hawana tabia ya kuendekeza ujinga kama huuuu N KANCHI kadogo lakini hakajawahi kukoseankunfundisha adabu pale anapokosea Mpaka sasa nilitakiwa kuona MH WAZIRI WA MICHEZO akiwa amejiuuxulu na KUOMBA radhi kwa UPUUXI WA TFF na BODI take uliotokea Else anatakiwa awe ameshafyrka Ile BODI...
  19. Ugomvi wa ndugu 2,waliojariwa ofisi moja

    Hawa ndugu wakiumu,waliozaliwa na mama mmoja ila baba tofauti,wote ni madereva na asili yao ni wahindi.Maisha yao wanayoishi ni kama waafrika kabisa,kwa kila kitu,kula,kuvaa,mademu ni kama wafanyavyo wabantu.Wameajiriwa na tajiri mmoja,sasa bosi wao akawaambia kuwa wajiandae kwa safari ya kenya...
  20. Kulazimisha Vijana Jobless Kuhudhurua Vikao vya Harusi Mkikusanya Mamilioni ili Mchome kwa Siku Moja ni Upunguani wa Hali ya Juu

    Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa misplaced priorities umekuwa janga sugu miongoni mwa Watanzania. Tunaishi kama watu waliopoteza dira—tukisherehekea anasa na matumizi ya kipuuzi huku tukilia na kulalamika kuhusu ukosefu wa ajira, huduma mbovu za afya, na umaskini. Ni jambo la kushangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…