moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Tumetoka mbali sana kama nchi. Enzi zile hata ndege moja ikinunuliwa basi nchi nzima inahamia uwanjani kuishangilia!! Duh

    Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu Mbona jk alikuwa anaajiri almost walimu na madaktari wote nchima lakini hatukusikia mayowe na mapambo Mbona samia anafanya mambo...
  2. L

    Tafakuri: Dhana moja tafsri tofauti pimeni kilicho bora kiutekelezaji

    Nimewasikiliza G55 kwa makini wana hoja za msingi wanazotoa na dhana nzima ya No Reform No election na changamoto za no election kama mkakati wa utekelezaji. Nimemsikiliza TL kuhusu dhana na utekelezaji wake. Kwa maoni yangu zao la utekelezaji limebuniwa na kuzalisha njia mbalimbali za kufikia...
  3. Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi Pascal Mayalla,ni Mtanzania, mwana jf na ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila kwa vile Chadema inagharimiwa kwa fedha zangu,paid by taxpayers money,hivyo the taxpayers have all the rights and powers kujadili jambo lolote la Chadema over...
  4. Juma Mwambusi afukuzwa kazi Coastal siku moja kabla haijakutana na Yanga

    GSM mungu anakuona Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga. Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You Return to sender Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
  5. Wakuu nimepigwa na UTI moja kali sana. Kuweni makini.

    Katoto tu kwa 2005, aiseeh
  6. Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

    Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
  7. Nimekatiwa maji na watumishi kisa mita yangu inadaiwa tsh elfu moja na Mia Saba hamsini

    Wakuu, Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi, Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa...
  8. Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
  9. Viwanja Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hati miliki. Bei: Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  10. R

    PreGE2025 CHADEMA wanafahamu hata wakishiriki uchaguzi hakuna msimamizi atawatangaza kushinda hata kata moja licha jimbo

    Kama mwaka jana wagombea wa Chadema na ACT waliondolewa uchaguzi wa serikali za mtaa unadhani wasimamizi wale wale wataweza kumtangaza diwani wa upinzani? Uchu wa madaraka umekuwa mkubwa lakini undugu na ufamilia umeongezeka sana nchini jambo ambalo linapelekea utu kuondoka mioyoni mwa wajukuu...
  11. Siku moja utagundua kuwa hakuna mtu aliyekuwa akikutazama na ungeweza kufanya chochote unachotaka

    Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali. Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira. Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani. Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au...
  12. Handaki leye urefu wa zaidi ya kilomita moja laangamizwa huko gaza!!

    Habari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya magaidi hao na Kafri yanavyoangamizwa ndivyo Hamas wana kosa udhibiti wa Gaza.
  13. Al Masry kwenye michezo mitano iliyopita kashinda mechi moja tu, Simba hii anavuka

    Eid Mubarak watanzania wote. Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu. Katika mechi hizo tano amefungwa goli 7 na kufunga goli 7. Hii inatoa taswira kwamba, Simba...
  14. Edibily Lunyamila - Moja ya wachezaji bora Nchi iliwahi Pata. Yupo wapi?

    Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji. Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji tunapiga mtu goals kiukweli kweli. Si masikhara.
  15. Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  16. ATCL mmejichanganya ! Hizi safari nitazipangua moja hadi nyingine! Mlioko tayari mjoini

    Naona safari za bei rahisi nyingi sana Nianze zipi wakuu
  17. R

    Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  18. Hivi upitapo kwenye magumu na Mungu akakupa Option hizi mbili uchague moja utaenda na ipi?

    Option 1: Akuache uwe hai ila uteseke? Option 2; Achukue uhai ukapumzike? Mimi ntaenda na option ya pili, wewe je?
  19. Vijana chaguo ni moj; Kilimo au VETA

    Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA, Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo NDIO Maisha., Wale wenzangu na mimi nyumbani pakavu utaamua wewe usubiri ajira kwenda tandahimba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…