moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

    Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani. Je dini zinafundisha ukweli , ? Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha kujifunza chanya au hasi. Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu...
  2. Kwa usajili wa timu yako ya Bongo na Ulaya taja Top 3 yako na timu moja unayodhani itashuka daraja

    Kuelekea Msimu wa 2025/26 utabiri wangu unaweza kuwa hivi List yangu… 1. Man U 2. Liverpool 3. Man City Itakayoshuka daraja Arsenal Listi yangu ya Bongo 1. Simba 2. Yanga 3. Azam FC Itakayoshuka daraja Singida
  3. “Anzia Ulipo” inaweza kuwa ni moja ya ngoma kali ya Chino Kid

    https://youtu.be/Zy-ulZ9MyuU?si=Tz-O32qrJWjNpy_N
  4. Rais Samia atumia dakika moja kwaajili ya kumwombea aliyewahi kuwa Spika wa bunge Job Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
  5. Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

    Nina laki moja mkononi, itaki kuitumia ikapotea nawezaje kuizalisha ndugu zangu najikuta tu sina idea ya fasta kwa sasa?
  6. Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

    Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo. Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako. Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama...
  7. Karma ni moja ya njia ya masikini kujifariji

    Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle gani. Anayewaonea atakufa, ataacha mali aliowachukulia kwa utapeli na itakayorithiwa na watoto...
  8. Tanzania haikustahili kuwa moja ya wenyeji wa CHAN 2024

    Yaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini? This is not a good move. Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿 CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa. Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
  9. Greyson Babishomba awapa tip wanaoteseka na mapenzi: Zibeni tundu moja la pua

    Wakuu! Greyson Babishomba amekuja na dawa ya Wanaoteswa na mapenzi "Wanaoteswa na mapenzi wazibe tundu moja la pua na kupumua kwa kutumia tundu hilo moja, Hii husaidia kuondo maumivu ya kichwa na kuondoa msongo wa mawazo"
  10. Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  11. GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili. Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo...
  12. Bro akatupa movie moja tu alafu akapotea

  13. Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini

    Wanabodi Hu ni mwendelezo wa ushauri kwa Balozi Humphrey Polepole,nimeisikia ile sauti ya The voices from within kuwa, Balozi Polepole atavuliwa hadhi yake ya ubalozi!, hivyo ubalozi wa Polepole ni kwaheri!。Na akiisha vuliwa ubalozi, then atashughulikiwa kikamilifu!. Mtu huwezi kukata tawi la...
  14. F

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
  15. Moja ya sababu haufanikiwi katika Maisha yako ni udumavu wa Kiroho

    MOJA YA SABABU HAUFANIKIWI KATIKA MAISHA YAKO NIi UDUMAVU WA KIROHO. GROWTH AND DEVELOPMENT. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwaka wa kumi sasa huna mbele wala nyuma. Umedumaa. Chumba kimoja hichohicho. makochi yaleyale. Yaani hukui wala huongezeki. Kila unachogusa unakwama. Miaka unaenda...
  16. Huyu Pastor Kabigumila ni moja ya wachungaji wenye tabia za attention seeker

    Nimekuwa nikimfuatilia huyu anayejiita mtumishi nimeona ni wachungaji wenye tabia zote za wanasiasa uongo na unafiki mwingi alionao ndio unamfanya apambane ajenge njia yake ya kuingia siku moja kwenye mfumo kula pesa za serikali ni aina ya wachungaji wanaopenda attention za watu, anapenda...
  17. Rais Samia azindua miradi minne ndani ya wiki moja, adhihirisha kwamba Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Ndani ya wiki moja, Rais Samia Suluhu amezindua miradi minne ya uwekezaji yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla. 1. Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited 2. Uzinduzi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR 3. Uzinduzi wa...
  18. JF STORY TIME: Ugaidi katika Westgate; Moja ya Siku ya Giza zaidi jijini Nairobi

    Jumamosi yenye shughuli nyingi, Septemba 21, 2013, Mall ya Westgate lilikuwa imeshamili wanunuzi, familia, marafiki, na wafanyakazi. Majira ya saa 12:30 jioni, watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Kisomali al-Shabaab walivamia jumba hilo la maduka...
  19. Wafugaji wa kukuChukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya ku

    Wafugaji wa kuku Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako. ✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku Mdharau asili hufa masikini
  20. R

    Toa neno moja kwa wajumbe wa CCM kuelekea uchaguzi wa wagombea ubunge na Udiwani 2025 ndani ya CCM

    Kwangu mimi wale pesa kura wapeleke kwa mtu sahihi .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…