mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Je, ni kweli kwamba Morani mmoja angeweza kumkabili na kumuua simba peke yake?

    hii stori nimekuwa nikizisikia mara nyingi lakini mpaka leo sijawahi kuamini moja kwa moja. Simba ni mnyama mwenye nguvu, kasi, makucha na meno ya kutisha. Hata wawindaji wa kisasa wenye bunduki humheshimu sana. Naambiwa kwamba zamani au mpaka sasa kulikuwa na baadhi ya Wamasai ambao shujaa...
  2. M

    Nimeona mama mmoja analia kwa uchungu mbele ya Mwigulu Nchemba kuwa mtoto wake alitekwa na polisi. Je haya ni maigizo yanayofanywa na Chadema?

    Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji. Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne. My take; hata kama...
  3. wa stendi

    Je ! Nikifunga plug 2 kwenye wire mmoja nikachomeka kwenye switch socket ya njia 2 nikawa sha nini kitatokea?

    Yaani kwa mfano nikachukua wire labda miter 2 au tatu na top plug 2 nikafunga plug moja huku na nyingine huku alafu nikapachikq kwenye swichi socket ya njia 2 alafu nikawasha je!nini kitatokea?
  4. Fbn

    Kumbukeni ukoloni wa wajomba na history wa kulipiza kuna mtu mmoja analipeleka taifa sababu ni ujombani

    Hapa kinachoendelea ndio kile kinachoendelea afrika kila kona,maana ndio muendelezo wa familia zengine zilipata embe dodo,zengine zina endelea kwa kujificha. kwa kwetu hapa leo mda huu 11:18 nimetoa mada siku ya alhamisi. Utabiri afrika inaweza kuwa sehemu zilizo saidia na ndizo zitakuwa...
  5. Wong Fei

    Tetesi: Kero soko kuu la vitunguu la kimataifa singida

    1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake 2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao...
  6. M

    Rais Samia, hebu sikia kilio cha wakulima wa Tanzania kuhusiana na Mbolea. Mfuko mmoja wa mbolea za DAP, UREA na CAN unauzwa 120,000-130,000

    Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa hakuna mbolea huku wale walionazo stoo wakiuza kwa bei ya kuumiza wakulima kwa wastani wa shilingi...
  7. A

    KERO Hatuna maji mtaani mwezi mzima, idara ya maji Arusha (AUWSA) hawashughulikii

    Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa! Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane. Cha ajabu ni kwamba...
  8. DogoWaNjombe

    Mtu mmoja afariki kwa kung'atwa na nyuki eneo la Bweri, Musoma Mkoani Mara

    https://www.youtube.com/watch?v=Do0-6e7Bs-Q
  9. DogoWaNjombe

    Wachezaji wa Real Madrid wapigana mazoezini, mmoja apelekwa hospitali

    Nyota wa Real Madrid, Fede Valverde, ameripotiwa kulazwa hospitalini baada ya kuzuka tena kwa ugomvi mkubwa kati yake na mwenzake Aurelien Tchouameni, hali iliyoanza wakati wa mazoezi ya timu siku ya Jumatano. Kwa mujibu wa taarifa hizo, wachezaji hao wawili walihusika katika mabishano makali...
  10. American nigga

    Natafuta Kunguru! tsh 7000 kwa kila mmoja

    Kama kichwa kinavyojieleza natafuta kunguru mzima, kama upo dar es salam wasiliana nami. dm ahsanteni.
  11. K

    Nchi hii kuna shujaa mmoja tu, yuko jela. Ndiye vijana wanamuamini

    Bila Tundu Lissu amani Tanzania itakuwa ndoto mnabaki kutishia tu kama kabla ya Oct 29
  12. Loading failed

    Wakristo tujengeni hoja hapa: Mchungaji akikutongoza ukamkataa ni laana? Alisikika mtu mmoja akisema

    Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini... Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie mama Cc. Mhe. Dkt Dorothy Gwajima . waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  13. Mad Max

    Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  14. Rijali jandoni

    Waheshimiwa viongozi, 2026-2035 ni muda wa ujenzi wa treni za katikati ya miji ili kuongeza uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja

    Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama. Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu, nilifurahi kuona swala la kilimo kwa vijana likitiliwa mkazo hiyo itakuwa chachu ya maendeleo kwa vijana...
  15. Eli Cohen

    Tumekuwa na ndoto kama waafrika kwamba itakuja kutokea mtu mmoja wa kutukomboa lakini nasikitika kusema it will never happen

    UBINAFSI ULAFI UKANDA TAMAA UNYAMA UMALAYA WA KISIASA. Hivi ni vitu ambavyo vipo kwa kila mwanadamu ila kwa mtu mweusi ndio pumzi yake. Tulipata watu wachache ambao waliviweka hivi kando ila mkaishia kuwageuka nyie wenyewe na kuwaua. Mnakula vya watu kwa ulafi huku mkisingizia wazungu kwa...
  16. ndege JOHN

    Kwanini serikali isi-focus miaka mitatu miji wa mkoa mmoja mmoja kama ilivyofanya kwa Dodoma

    Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Jamaa mmoja kaniuliza; Hivi Mtibeli unavyowakandia Wanawake unapataga kweli wanawake? Jibu langu ni hili

    JAMAA MMOJA KANIULIZA; HIVI MTIBELI UNAVYOWAKANDIA WANAWAKE UNAPATAGA KWELI WANAWAKE? JIBU LANGU NI HILI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kati ya vitu ambavyo Sisi watibeli havijawahi kutusumbua ni upatikanaji wa wanawake. 2. Na sio ilimradi wanawake. Bali wanawake wenye sifa na vigezo...
  18. Stability

    Tila tila ndio mpango mzima kwa wadada sasa hivi, kila mmoja wao anapenda kuwa nayo

    Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tukiweka Dini pembeni pamoja umasikini narudia Tena kusema mke Mmoja hautoshi angalao wawili watatu hata wane si mbaya.

    Maelezo mnayo ninyi wakuu. NB: PICHA HII NDO NAMNA CCM ILIPOTUFIKISHA.
  20. R

    Jaji Chande et al, mnasikiliza upande mmoja mnatoa hukumu bila kuwapa upande mwingine haki ya kusikilizwa while they are available to cross examine

    Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine! Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
Back
Top Bottom