alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia...
Leo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona.
Katika ongea ongea nae nikagundua kachapwaaa kimapenzi, aliingia kwenye 18 ya dada mmoja Mlokole alafu akaona hapati anachokitaka akasepa mwenyewe😂😂🏃🏃
Kijana: Sister Penny bwana, me nilimpenda Sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.