mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  2. Ofisi ya mkuu wa mkoa Ruvuma haina watalaamu wa kugundua UFISADI ....

    Habari wandugu. Harufu ya UFISADI. Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika . Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
  3. G

    Kwamba vyombo vyetu vyote vya habari vimeshindwa kufuatilia Ili kufanya mahojiona na Makamu mstaafu Hadi mkuu Pascal Mayalla

    Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kuchimba habari ambazo zinaleta sintofahamu kwenye jamii. Ushindani wa vyombo vya habari ni kuwa wa kwanza KULETA habari Kwa wakati haswa zile za kiuchunguzi. Ndugu Pascal Mayalla tusaidie mahojiona na Makamu au ndugu wa karibu kuondoa sintofahamu ambayo...
  4. Kuna dalili zozote za kuthibitisha ulimwengu umeumbwa na mbuni mkuu (intelligent designer) ?

    Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ? Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko, maporomokl El Nino, milipuko ya volcano n.k unathibitisha kuumbwa au kujiunda wenyewe?
  5. Wathamini wamuaga Mthamini Mkuu kwa Jogging ya kilomita 5

    Wathamini wamemuaga kwa heshima Mthamini Mkuu Bi. Eveline Mugasha kwa mbio maalumu (jogging) ya kilomita tano, ikiwa ni sehemu ya kumuenzi na kumpongeza baada ya kustaafu utumishi wa Umma. Jogging hiyo imefanyika leo, Jumamosi, Septemba 19, 2026, ikiwa ni ishara ya heshima, mshikamano na...
  6. Kwa hiyo mkuu wa Majeshi CDF atafurahi ikiwa Lissu atakutwa na hatia? Asee

    Ameongea Kingai na huu ni mfano wa watumishi wetu wa umma. Mahakama imedharauliwa na jeshi letu limechafuliwa na Kingai. Sifikirii kama maneno hayo ameyatoa kwa niaba ya CDF ama amejitungia. The only
  7. A

    KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kutoka kwa Miundo ya Mitihani ya Kidato cha sita kwa mtaala mpya

    BARUA YA MALALAMIKO Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S.L.P. 10, DODOMA. YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA Ndugu Katibu Mkuu, Tunakuandikia kuwasilisha...
  8. H

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  9. H

    Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu.

    Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu. 📍Simiyu
  10. H

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  11. O

    Makamu wa Rais Kithure Kindiki Ahakikisha Uchaguzi Mkuu wa 2027 Utakuwa wa Haki na Uazi

    Makamu wa Rais wa Kenya, Kithure Kindiki, ametoa hakikisho kwa washirika wa maendeleo wa kimataifa na jumuiya ya kimataifa kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 utakuwa wa haki, huru, na wa wazi bila ukiukaji wowote wa sheria. Akizungumza katika mkutano huo, Kindiki alisisitiza kuwa serikali iliyo...
  12. Wakili Komba: Maswali ya Wakili wa Serikali Mkuu Katuga, kwa Heche yamedhalilisha taaluma ya sheria

    Mwanasheria maarufu, Aloyce Komba ametoa maoni yake kuhusu maswali ya dodoso yaliyofanywa na mawakili wa Serikali wakuu, akiwamo Wakili Nassoro Katuga. Haya ndio maelezo yake: 1. Ilidhalilisha taaluma ya sheria kwani ilikusanya maswali mengi ya umbea wa kisiasa na maisha binafsi ya shahidi...
  13. Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

    Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani. Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo. Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu...
  14. H

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu. 📍Itilima - Simiyu. 📅 Septemba 14, 2026.
  15. H

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  16. Nimepewa Passport na Mkuu Tiss !

    Mkuu wa Tiss katoa agizo kwa Mkuu wa Uhamiji Prof Ngongo apatiwe Passport mara moja. Hizi habari za kwenda office za uhamiaji kuomba Passport zimepitwa na wakati. Sisi wakubwa tuna utaratibu wetu. Najaribu kufikiria kama angekuwa mtu fulani angeitwa majina yote. Ngongo kwasasa Tandamti.
  17. A

    DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Naitwa Silas John Charles. Nina malalamiko yangu dhidi ya kampuni ya Pigabet ambayo yamechukua muda mrefu bila kupata uamuzi, hali inayoninyima haki yangu ya kupata fedha ninazodai kiasi cha Shilingi milioni 27.7. Tarehe 30/10/2024, niliweka beti yangu kupitia kampuni hiyo na beti hiyo...
  18. Mkurugenzi wa Moshi Manispaa BILA kuhamishwa, kuna kila dalili (CCM) kukutana na changamoto kubwa zaidi katika Uchaguzi Mkuu 2030

    Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
  19. Je Wajua Mawakili ni Maofisa wa Mahakama?, Onyo la CJ Kuwa Mahakama Sio Sehemu ya Uanaharakati, Linawahusu!. Tujikite Kwenye Interest of Justice!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
  20. H

    Karibu Simiyu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Karibu Simiyu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. 📆 13 -16 Septemba, 2026.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…