mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Mkuu Dkt. Nchemba Bagamoyo

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ๐Ÿ•ฐ๏ธ 4:00 Asubuhi. ๐Ÿ“† Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  2. H

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ๐Ÿ“† 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ๐Ÿ“† 14 Oktoba, 2026.
  3. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
  4. H

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano w

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ๐Ÿ•ฐ๏ธ 4:00 Asubuhi. ๐Ÿ“† Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  5. Waziri Mkuu Nchemba Rukwa Kilele cha Mwenge

    Waziri Mkuu Dkt MWIGULU LAMECK NCHEMBA akiwa ameambatana na Mke wake, NEEMA MWIGULU NCHEMBA wakiwa wanawasili katika Kiwanja cha NELSON MANDELA Mkoa wa Rukwa, kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Kilele cha Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 27 ya Baba wa Taifa, Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
  6. Bashite ananikumbusha Waziri Mkuu katili wa Ethiopia, Mengistu Haile Mariam

    Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii mengistu haile mariam hakua na akili za...
  7. Huyu Chalamila, Mkuu wa Mkoa DSM, akapimwe!

    Mapepo si mapepo! Siyo bure, akapimwe!
  8. I

    Maurice Ogeta - Mlinzi Wa Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga Afunguka Mazito Kuhusu Maisha Yake na Baba

    Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
  9. Waziri mkuu azungumza na diaspora Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 11, 2026, amezungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza na nchi jirani (Diaspora). Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwigulu amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na kuelezea miradi ya maendeleo...
  10. Nashindwa kuelewa viongozi wote znz na sio tanganyika mpaka mkuu wa mkoa.

    Ni kwamba nchi imefikia kujipendekeza hata kesho raisi hakitokea malawi mtaenda kushinda huko na kuendesha mambo ya nchi huko.
  11. Faris Buruhani. Ateuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM Taifa.

    Taarifa za hivi punde ni kuwa mwenyekiti WA umoja WA vijana ccm mkoa Kagera ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa uvccm Taifa. Hongera kwake.
  12. Mji mkuu wa Tanzania ilipaswa kuwa Arusha, Mbeya, Kilimanjaro au Mwanza

    Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru. Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bila bandari Dar es Salaam...
  13. Aliyemrithi ubunge Keir Starmer, waziri mkuu mstaafu Uingereza.

    Sagal Abdi-Wali
  14. E

    Mkuu wa mkoa wa Pwani kuja na duka la ardhi

    Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
  15. Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  16. G

    Barua kwa Waziri mkuu na wizara ya Ardhi, Upimaji Haramu wa Ardhi wilaya ya serengeti.

    Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
  17. H

    Waziri Mkuu kufungua Jukwaa la Uwekezaji Tanzania nchini Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na...
  18. H

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐— 

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  19. Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa IPU Arusha

    Salamu za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jana tarehe 5 Oktoba 2026 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
  20. Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ