mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkuu wa majeshi Israel amgomea netanyahu kuishambulia iran

    Mkuu wa majeshi wa Israel, bwana zamir,amemgomea waziri mkuu wa Israel Benjamin netanyahu kuishambulia iran siku moja kabla ya uchaguzi mkuu Israel Bwana zamir alimtaka netanyahu asaini nyaraka rasmi za amri hiyo Ili atekeleze Ili baadae mkono wa Sheria usimkute Netanyahu ana Hali ngumu ya...
  2. waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
  3. R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

    Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu. Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki. Wasalimie Wanaccm...
  4. H

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  5. H

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya - Waziri Mkuu Nchemba

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya chakula. Na zaidi ya yote, tuwekeze katika uwezo wa kilimo barani Afrika. Kwa kweli, kabla ya njaa haijatushinda, tuchukue hatua, tuwekeze na tuvumbue pamoja. Tujenge...
  6. T

    Shkamoo mbeya mkuu wa mkoa asalimu amri baada ya mgomo na maandamano kupinga kuondolewa mjini kiholela!

    Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao. Kutokana na shinikizo hilo serikali...
  7. Waziri Mkuu: Usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inauchukulia usalama wa chakula kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa na msingi wa kudumisha uthabiti wa uchumi. Amesema upatikanaji wa chakula na lishe ya uhakika una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi na kuiwezesha Serikali...
  8. Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

    Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma. Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa. Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na...
  9. L

    Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  10. T

    Mbeya hali ni tete baada ya kuanza utekelezaji wa agizo la mkuu wa mkoa

    Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
  11. Vijana na Uchaguzi wa 2030: Funzo kutoka kwa Jihan

    Great Thinkers, Ushindi wa Jihan Dimack katika Miss Grand International 2026 nchini Thailand umetupa somo kubwa kuhusu nguvu ya umoja. Watanzania waliungana kumhamasishia kura na kumuunga mkono kupitia mitandao na mikusanyiko mbalimbali. Kwangu, namna vijana walivyojitoa katika kampeni hiyo...
  12. U

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Dar iboreshwe

    Salute. Naomba niende kwenye mada binafsi naishi Dar es salaam kiukweli OFISI ya mkuu wa mkoa Dar ningependekeza serikali ijaribu kuboreshea iendane na hadhi ya Jiji kiukweli ukipita pale ni aibu majengo ya kizamani ukiangalie na vile vigae hadhi inapungua ningeshauri mfanye jengo lenye...
  13. K

    Je, Mchengerwa anaandaliwa nafasi ya juu CCM? Na ndio mrithi wa Balozi Migiro kwenye ukatibu Mkuu wa CCM?

    Nimeanza kutafakari kwa jicho la tatu la yajayo katika Siasa za CCM, na kuishia kujiuliza swali hilo juu. Hapo ndio namuona kiongozi mwenye kukemea rushwa na ufisadi ndani ya CCM kwa nafasi ya mtendaji Mkuu wa Chama. Kwa jicho la tatu unaona kauli ya Mchengerwa imekuja wakati sahihi ambapo...
  14. Pongezi nyingi kwa Prof. Eliamani Sedoyeka kwa Mapinduzi ya Maendeleo (IAA Mkuu WA Chuo)

    Leo natamani kutoa pongezi zangu za dhati kwa kaka yangu, Prof. Eliamani Sedoyeka, kwa kazi kubwa na ya mfano anayoifanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Kumbukumbu zangu zinarudi nyuma mbali sana, wakati ninaingia Kidato cha Kwanza katika shule ya ufundi ya Moshi Technical School (Moshi...
  15. Mkuu wa wilaya ya Tunduru ilitakiwa asiwepo Ofisini

    Kwa Mambo yanayo endelea Tunduru kuhusu migogoro na mauji mengi ya Raia ilitakiwa Mkuu wa wilaya Tunduru atumbuliwe maana ameshindwa kusimamia usalama wa wilaya ya Tunduru yeye kama mwenyekiti wa kamati ya usalama..
  16. M

    Historia mbadala: Hivi ingekuwaje kama UKAWA wangeshinda uchaguzi mkuu wa 2015

    Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa na ushindani sana mgombea wa CCM alipata kura milioni 6.8 na ule wa ukawa alipata milioni 6. Hivi vipi kama kwenye ule uchaguzi UKAWA wangeshinda urais na kupata majimbo mengi zaidi leo Tanzania ingekuwaje Kwenye nyanja za 1. Miundombinu 2. Demokrasia 3...
  17. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Press Conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa, TLSB, Dr Mboni Ruzegea Akizungumzua Kongamano la 4 la Maktaba

    Wanabodi Niko hapa Maktaba Kuu ya Taifa, kuwaletea live press conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba, Dr Mboni Ruzegea. Karibu https://www.youtube.com/live/2hjHsBrQJNo?si=ZjKG4sWP3KUGRlhg Mzee Pasco
  18. USHAURI WA KISHERIA: KWA NINI MKUU WA GEREZA LA UKONGA ANAPASWA KUFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUVUNJA KATIBA NA KANUNI ZA NCHI

    Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
  19. Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

    Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa...
  20. Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…