mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Unamlinganisha Mungu na Nani?

    Mara kwa mara nimekutana na komment za watu mbalimbali wakidharau neno la Mungu kwa kigezo kwamba Mungu kama yupo kwanini hakujibu maombi yao? Watu hao wengi wao waliwai kuwa watoto wa Mungu na waliwai kushuhudia nguvu za Mungu lakini kutokana na changamoto za hapa na pale wamejikuta wakidharau...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini -Waziri Mkuu Dkt Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
  4. JamiiForums Tanzania Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nchemba kuwa Makamu wa Rais na Makonda kuwa Waziri Mkuu

    Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM" Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid" Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu awataka Watanzania kuimarisha malezi, kulinda amani na kutimiza wajibu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuendelea kuimarisha malezi ya watoto na vijana, kulinda amani, kuheshimu tofauti na kutimiza wajibu wao kwa taifa, akisisitiza kuwa haki na wajibu haviwezi kutenganishwa. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Jumanne, Agosti 25, 2026, wakati...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ataka ubunifu upelekwe sokoni

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na taasisi zake kuhakikisha bunifu zinazozalishwa na Watanzania haziishii kuonyeshwa kwenye maonesho, bali zinaendelezwa, zinalindwa na kupelekwa sokoni ili zitoe suluhisho kwa changamoto mbalimbali na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chake Chake avamia danguro ambalo lipo eneo la Chanjamjawiri, atoa onyo kali kwa wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo

    Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika eneo la Chanjamjawiri, Kisiwani Pemba. Katika tukio hilo, DC Zuhura amebaini kuwepo kwa kondomu...
  9. JamiiForums Tanzania Hasiye sikia la mkuu, Nyerere alisema wahaya na wachaga hawafai kuwa viongozi mnakengeuka,Mbowe hajawai enda ukonga ILA Leo kaenda na kurudi haraka.

    HAYA makabila ni Malaya kama Malaya wengine, Leo mbowe anaenda DSM kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme na anadai ana haraka kuondoka anawai ndege anashindwa kwenda ukonga kumwona mwenyekiti wake wa CHADEMA? Hawa ni Malaya kama Malaya wengine .
  10. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TABOA; Watanzania Wajiandae Na Nauli Mpya

    Watanzania wajiandae gharama za usafirishaji tutaziongeza kwa sababu ukifika Stendi ya Magufuli ushushe uchukue lori au usafiri mwingine ukodi upeleke ofisini kwako ili yule anayekuja kupokea huo mzigo aukute ofisini kwako. "Na tunasikitika sana Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba alituomba baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania FINALLY FRIDAY🎊: unaipokeaje hii weekend mkuu? Salama? Kwema?

    Yeah maisha magumu Kila kona gharama zimekuwa ngumu All in all, isikunyime nafasi ya kujinafasi. Utaibukia beach? Movies? Plaza? Pub? Club? Home na familia? ENJOY YOUR WEEKEND.
  12. JamiiForums Tanzania Kuna swali moja matata sana litaulizwa kwa mkuu IGP na CDF ikiwa wataamua kwenda mahakamani. Nani aliamuru vijana wapigwe risasi 0ctober 29?.

    Oya siyo poa tusifike huko.
  13. JamiiForums Tanzania Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aionya Uturuki kuingilia Syria!!

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alionya kwamba Israeli haitavumilia uvamizi wa kijeshi wa Uturuki nchini Syria unaotishia nchi ya Israel Netanyahu alisema Israeli tayari ilikuwa imetoka ONYO Kali kwa Uturuki: "wasipeleke vifaa vyao vya kijeshi huko Syria." "Inavyoonekana wali dharau ONYO Hilo,"...
  15. JamiiForums Tanzania Patrick Vieira Atekuliwa Kuwa Kocha Mkuu Mpya wa Senegal

    Shirikisho la Soka nchini Senegal limemtaza rasmi gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Patrick Vieira, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo (‘Lions of Teranga’). Vieira, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Ufaransa kilichotwaa Kombe la Dunia mwaka 1998...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Yule waziri mkuu wa kupachikwa na ziara zake yuko wapi?

    Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kumekuwa na changamoto kubwa kwa Wazalishaji wa mbegu wa ndani, na hivyo wengi kuagiza kutoka nje

    Imekuwa changamoto kubwa kwa wazalishaji wa mbegu wa ndani na wakulima wa Tanzania. Inawezekanaje jukumu la msingi la taasisi husika kutotekelezwa ipasavyo? Wazalishaji wa ndani wanakabiliwa na changamoto ya kupata mbegu za vizazi kutoka mamlaka husika kwa ajili ya kuzalisha mbegu za...
  18. JamiiForums Tanzania Msigwa: Tuhuma za Tanzania kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Zambia sio za kweli ZIPUUZWE

    Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia. Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
  19. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema atashinda uchaguzi mkuu wa Zambia na hapatakua na Re-Run elections.

    Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia. Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…